ujanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Half american

    JamiiForums Tanzania Huu ni ujanja au ushamba?

    Hivi mtu unatokaje huna hata mia? Aibu nyingine zinaepukika kuwa na akiba ya hela yako binafsi ni muhimu sana. Hii inawakumba sana Ke wengi. Back up plan ni muhimu sana.
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukifuatilia kile kinachoitwa ujanja wa mjini ndio ushamba wenyewe

    UKIFUATILIA KILE KINACHOITWA UJANJA WA MJINI NDIO USHAMBA WENYEWE Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna Watu Washamba na wajinga kama vijana wa mjini wale wanaojiita na kujiona wajanja. Ninawaita Washamba na wajinga kwa sababu ya mambo wanayoyafanya na yale wanaojivunia nayo. Taikon ni mtu...
  3. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Hakuna dawa ya kumroga mtu? maana nishaibiwa tayari na ujanja wangu huu

    Kufanya biashara mtandaoni ni riski kubwa sana pia nawahurumua watu wanaotegemea kufanya biashara mtandaoni maana kadiri mambo yanavyobadilika hamna mtu ataamini vitu vya online ingawa ingekuwa inatumika ipaswavyo ingerahisisha zaidi kwa kuokoa muda na usalama pia. Ila kadri siku vinavyosonga...
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Rais Samia kazidiwa ujanja na aliowaamini

    Sukari bei juu! Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero! Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao! Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki! Nishati ya mafuta bei juu! Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao! Mfumko wa bei...
  5. Tman900

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa Mabasi, Makondakta na Wamiliki Mabasi wana ujanja ujanja (Utapeli)

    Kwa mliowahi kutembea nje ya Africa naomba mnipe uzoefu wenu mliyoyaona Uko nje ya Afrika hususani kwenye Swala la usafiri wa mabasi yanayoenda safari ndefu kutoka Mji fulani kwenda mwingine maana kwa Tanzania kuna usanii mwingi kwenye usafiri wa mabasi. Kama Kuna changa Moto ulishawai kutana...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ujanja ndio Akili

    Ngoja nikwambie kitu. Hii dunia huwa ina siri kubwa sana, na kamwe usimwamini mtu hata kama anakuongozaga ibada sehemu ya kusali. Hii dunia ina watu wajinga na wajanja, wajinga ni asilimia tisini na wajanja ni asilimia kumi. Kwenye hao kumi pia wametofautiana. Asilimia saba ni wale ambao...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Waarabu wakataa ujanja wa US. Waikatalia kujadili yahusuyo baada ya vita vya Gaza.Kinachotakiwa ni kusitishwa kwa vita na kufufuliwa kwa Palestina

    Ile dilomasia ya kinafiki ya Marekani kuwazuga waarabu inazidi kukwama. Mawaziri wa nchi za nje wa jumuiya ya nchi za kiarabu wamemkatalia waziri wa masuala ya ulinzi wa Marekani kujadiliana nao juu ya namna ya kuiendesha Gaza baada ya vita kumalizika.Mazungumzo ya aina hiyo yamepata vikwazo...
  8. Ikulu T

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa Rais Samia kutumia mpira kujizolea kura huku ripoti muhimu ya CAG iliyojaa wala rushwa ipo kapuni

    Frankly speaking Samia hajui chochote kuhusu mpira! Support za kinafiki ambazo huwa anatoa huwa ni ushauri anaopewa na ma-master mind wa CCM ambao wameshajua kuwa ukiwateka mashabiki wa Simba na Yanga basi kura karibia zote unazo. Swali dogo tu; je ni lini umemsikia Samia akipongeza timu kama...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa CCM wamtangaza Makonda siku ya kusaini mkataba na DP World

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetumia mbinu za kijasusi kwa kusaini mkataba kati ya Bandari ya Darisalama na muwekezaji dp world kutoka dubai na siku hiyo hiyo kutoa taarifa kwa vyomba vya habari kumtangaza paul makonda kuwa katibu wake wa itikadi na uenezi Lengo la kuunganisha matukio hayo...
  10. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Miamala ya mpesa bado inaendelea au tunakatwa ujanja?

    Hiv serikali bado ina yale makato kwenye mpesa au walifuta. Muda huu nimefanya muamala imekuja hv
  11. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Hivi tabia ya kupiga picha na hela, ni ujanja au ushamba?

    Naona watanzania kwasasa wengi wao wamekuwa na hulka ya kupiga picha na hela trna hela za kutosha. Je tabia hii wewe unaichukuliaje, ujanja au ushamba?
  12. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

    Kunahitajika PROGRAMU ya dharura kuliokoa hili jiji. Sina maana ya kusema vijana wote wa Arusha ni wahuni na waalifu ama kusema Arusha si salama kabisa, La Hasha! ni kwamba uhuni ni kama umefumbiwa macho usambae mithiri ya kansa ya kidole inavyosambaa mwilini kwahio sio jambo la kufumbia macho...
  13. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Tukubali amapiano tayari imetuzidi ujanja

    Wakuu Tangu muziki huu ulipoanza kusikika nchini kutokea huko south Africa. Sasa imekuwa fashion kila wimbo unaotoka basi jua ni amapiano tu na tumezoea imekuwa kawaida kabisa.! Mpaka wazee nao wanaruka amapiano.! Unabisha? Nenda mpaka kwenye sherehe wanapiga na wazee wanaruka tu...
  14. bahati93

    JamiiForums Tanzania Wachina huu sio ujanja

    Hivi wachina mbonaa wanatusababishia hasara, ona leo nataka ninunue wembe wa dorco nimeishia kununua sijui ushenzi gani.
  15. DR SANTOS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufanya ngono na kila mwamke anaekatiza mbele yako sio ujanja ni kujitafutia mikosi

    ACHENI KUGONGAGONGA HOVYO!!! Vijana wengi wanapambana sana lakini hawafanikiwa, kila wakijitahidi kujitoa kwenye janga la umasikini wanashindwa kabisa. Unashangaa tu mambo yako wala hayaendi, unafanya hivi na vile lakini hakuna kitu. Umekuwa na ndoto zako za muda mrefu, unaamini zitakupa sana...
  16. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuumbuliwa kwa kitu ulichokuwa unajifanya kukijua sana?

    Nirudi kwangu kwanza, kipindi nikiwa nasoma mkoa kama umefika Dar ulionekana bonge la mjanjaa! Sasa nikiwa shule ya msingi chini ya 2000 huko mwalimu yoyote akiuliza swali la nani anajua Dar es Salam, Big stone and coner stone nakuwa wa kwanza kusimama. Nani anajua maji ya bahari yana ladha...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Money is the King of Love. My money is my ego

    Wasalaam JF, Money is the king of love. Money is the only magnet that women have since failed to resist. Nawakumbusha wanaume tafuta pesa wanawake watakutafuta wewe. Chase money and women will Chase you. Thank me later. Wadiz
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ujanja ujanja wa Serikali ya CCM katika Picha

    Hii ndiyo serikali yetu kwenye ubora wake: Kwa mtaji huu kuna haja ya kuziangalia upya zinazoitwa siri za rerikali. Pia Kuna haja ya kukiangalia upya kinachoitwa "collective obligation" kwenye kuitetea serikali.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Serikali, hata haya hamyaoni?

    Hivi serikali kwa kimya chetu mnadhani mmetushawishi? Hivi hata haya siyo ujanja ujanja wenu usio kubalika? 1. Malipo ya shule vyuo vikuu tunakolipa kupitia loan board 100% + interest. Kwa maana vyuo vya umma havina tofauti na vyuo binafsi. 2. Malipo ya hospitali ambapo dawa, kumwona daktari...
  20. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Enzi hizo kwenye mitihani ilikuwa akili kidogo, ujanja mwingi

    Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani. Baadhi ya matukio Tuko necta ya fomu 6 kuna demu mmoja aka kamatwa na ki karatasi kimekunjwa kwa ustadi mkubwa...
Back
Top Bottom