uislamu

  1. Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

    Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani. Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi. Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
  2. C

    Jua kwanini siku ya Ijumaa ni muhimu kwa Imani ya Uislamu kuliko siku zote za wiki

    1. Ni siku ya ibada maalumu kwa swala ya jumah. 2. Quran ilianza kushusha siku ya ijuuma kwa Kipenzi chetu Muhammad (saw) 3. Itakua siku ya ijumma ndo Qiyamah itatokea. kati swala ya ijuuma na swaratul Asr. 4. Ilikua siku ya ijumma ndo Mtume Muhammad (saw) kapelekwa Isra wa Imraji. Na sababu...
  3. Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

    Maendeleo ni muhimu katika jamii za Kiislamu. Uislamu na maendeleo ndiko kutakidhi mahitaji ya kimsingi ya watu. Kiwango cha maendeleo duni katika maeneo ya Wailslamu hapa nchini kinaonyeshwa kwa kutumia mifano iliyo hai. Maeneo mengi ya Waislamu kuna tatizo kubwa la kukidhi mahitaji ya...
  4. Wakristo tumefundishwa hivi kuhusiana na upendo

    Wakristo sisi tumefundishwa hivi; Mathayo 5:43-44. Mmesikia kwamba imenenwa, umpende jirani yako, na umchukie adui yako; 44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi. Ila sijui wenzetu wa upande wa pili wamefundishwa nini kuhusiana na upendo?!
  5. Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

    Jamaa ame_tweet hii picha sasa hizo comments kutoka kwa jamii ya kiislam wamegoma kumuelewa jamaa wakidhani anataka kuokoka!.
  6. World Islamic Cup, 2022 Qatar

    Qatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
  7. Nimegundua dini ya Kiislam haina unafiki

    Moderators naomba mada hii msifikirie nataka kuleta udini maana katiba ya nchi yetu haina dini naongelea dini moja tu ya uislam sitataja dini nyingine kuzikandia maana ni ukweli ulio wazi kati yetu hadi sasa hakuna ambaye ana uhakika ni dini ipi mungu anaikubali.Najua kuna dini za Ibrahima yaani...
  8. Kuna Waislamu wanachafua Uislam

    Mimi ni catholic lakini kwenye ukweli lazima tuseme zimepita awamu Kama 5 hivi Ila kila awamu watu wenye majina ya kiislamu ndio utajwa hasa kwenye kashifa za madawa ya kulevya na uhujumu uchumi. pia fatilia majina ya Panya road dsm wengi wao ukifatilia utakuta Wana majina ya kiislamu...
  9. Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

    Na Jumaa Kilumbi, 31.10.2022 Punyeto ni nini? ni kitendo cha kujiridhisha kingono kwa kujichua sehemu za siri. Lakini ieleweke kuwa Punyeto ni kitendo cha kiasili kibailojia na hufanywa na watu wengi sana. Japokuwa ukiuliza watu wengi hawasemi ukweli ila kila mtu anajua anachokifanya anapokuwa...
  10. Ukristo ni Uzungu na Uislamu ni Uarabu?

    Najaribu kuwaza ni kwa nini watu wengi wanaonesha kuwa ili uwe muislam mzuri ni lazima utumie mambo mengi ya kiarabu kuanzia kuvaa mpaka kuongea kwa lafidhi ya Kiswahili cha Kiarabu. Lakini pia Wakristo wengi nao ili ionekane wewe ni mteule wa mungu uzungu ni lazima uwe ni sehemu ya maisha...
  11. M

    Kwa upande wangu huwa nawaona wanao zipinga dini za uislamu na ukristo kama binadamu walio firisika akili

    Kumradhi kama kuna ambaye nitamkwaza lakini huu ndio ukweli Watu wengi wamekuwa na kasumba hii...... Anauchukia uislamu ama ukristo kwa sababu tu asili yake sio Afrika na badala yake ni dini zilizo letwa tu At the same time anasema sijui dini zetu za asili tunazikataa na kuziona hazifai...
  12. Ili kijana wako awe mwanaume anahitajia Baba. Wavulana wanahitaji mifano ya kiume ili waepuke tabia za kike

    Wavulana wanahitaji mifano ya kiume. Wanahitaji baba anayewaongoza kwa kielelezo na kwa upole lakini anayewatia moyo kwa uthabiti. Uadilifu ni muhimu kwa wavulana. Wanaitikia vyema nidhamu iliyo thabiti, ya uaminifu na ya haki. Swahaba wa Mtume (s.a.w) aitwae `Umar alikuwa akitembea na mtoto...
  13. Syria, Uturuki zilikuwa Christian Countries kabla ya Uislamu

    Kabla ya Uislamu kuja nchi ambayo leo hii zinatambulikana na Uislamu zilikuwa ni Christian Countries. Hata jina Syria linatokana na Asyrian ambapo asili yao ni Ukristu, mpaka leo hii Asyrian people ni christian wapo lkn ni minority. Uturuki nayo kabla ya Uislamu ilikuwa ni flourishing...
  14. Wilaya ya Rungwe, Ijumaa wanafunzi huwa hawarudi nyumbani saa 5 kama mtaala unavyotaka

    Kati ya mambo ya ajabu nchini, ni hili la kutofuatwa mtaala la wilaya ya Rungwe. Yaani wilaya yote imeamua siku ya Ijumaa vipindi vya darasani vitaisha muda wa kawaida ( saa 9 kwa msingi na saa 11 kwa sekondari) Hakuna uhiari wa kuwepo au kutokuwepo shule muda wa swala ya ijumaa, tofauti na...
  15. Nigeria tayari, Uislamu unaenda kuimeza Ulaya, wakristo watakuwa dini ya upili

    Nchi nyingi za Ulaya zinapokea Waislamu wengi sana, si ajabu hata kuna mitaa ambayo ni ya Waislamu tu (Wakristo hawaruhusiwi). Waislamu hujazana kwa hizi mbinu: - Kuomba kuishi Ulaya, wengi hupewa ruhusa ya visa kwa sababu Nchini kwao kuna vita na maisha duni, wakifika Ulaya wanaita familia...
  16. Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

    Swali la uelewa, Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi? Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa c.c FaizaFoxy
  17. Huruhusiwi kumuingilia 'mke mdogo' wa baba yako hata kama Baba yako alimuacha kwa talaka

    Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
  18. Uislamu na Ukristo ndiyo vimeleta ubaguzi wa kijinsia, Afrika haikuwabagua wanawake

    Katika historia ya Tanzania kuna mtu aliyeitwa Kisabengo. Kisabengo alikuwa ni mtumwa wakati ambapo Sultani wa Zanzibar anatawala Zanzibar na pwani ya Afrika mashariki. Alikuwa ni mtu mwenye nguvu sana. Baada ya muda akatoroka atumwa akiwa na watumwa wengine akiwa kiongozi wao. Baada ya...
  19. Uislamu haujakataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani, siungi mkono wasio waislamu kuzuiwa kula mchana

    Habarini za kutwa nyote. Naomba niseme kwamba katika dini yetu ya uislamu hakuna pahala mtume kamkataza asiyekuwa muislamu kula mchana wa ramadhani. Na wala hakuna pahala qurani imekataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani. Na wala hakuna sehemu wakati wa mtume imeonesha kwamba...
  20. Je, kinywaji aina ya ‘mnazi’ ni halali kwa Waislamu?

    Moja kwa moja kwenye hoja. Kinywaji hiki cha 'mnazi' ni maarufu sana na kinatumiwa kwa wingi katika ukanda wa pwani wa nchi yetu ambao kwa kiasi kikubwa una idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiisilamu. Kwa kuwa kinywaji hiki kina 'ulevi' ndani yake, yaani kwa kunyoosha maelezo ni pombe, na kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…