uislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na...
  2. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hawa Wayemen, Pakistan na Iraq ni wa Uislam upi? Mbona Dubai na Saudia ni watu poa sana?

    Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza. Overall experience...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mungu alitupa uhuru wa kutenda, kuamini, kunena (FREEWILL), kwanini ukiingia katika uislam hakuna uhuru wa kutoka ?

    Kuna kipindi kinafika mtu unaamua kuhamia dini nyingine hasa kwa sababu dini uliyonayo ulichaguliwa na wazazi / walezi / mazingira tangu ukiwa mtoto usiejitambua wala kupevuka kiakili. Kwa wakristo wala hakuna taabu, utahamia dhehebu lengine la kikristo ama uislam, wala hakuna adhabu yoyote na...
  4. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Shida ni nchi ya kisekula kutengenezwa katika Ukristo na Uislam hili ni kosa kubwa lilifanyika na linaendelea kufanyika

    Nitazidi kupiga kelele kadiri niwezavyo na kutoa tahadhari kadiri niwezavyo katika moja ya makosa yaliyo fanyika Tanzania ni kutengeneza nchi kimaandishi ya kisekula lakini kivitendo ni ya Ukristo na Uislam pekee. Watanzania wanajipongeza kwamba ni nchi isiyo ya kidini lakini ni nchi iliyo...
  5. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

    Yaani jamii zote duniani ikiwemo watu weusi kuna wenye matatizo ya akili, kuna wasio na dini na kuna wahuni, lakini jambo akifanya Muarabu basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna Muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya...
  6. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

    Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo. Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia. Lakini kuna kitu nazidi...
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wazungu hutumia Uislam kutengeneza magaidi badala ya dini nyingine?

    Kwa mtazamo wangu katika dini zenye misimamo mikali Uislam ni wa mwisho. Ukifuata misimamo ya Yesu tu utakuwa zaidi ya tishio. Kwa mujibu wa nadharia za njama (Conspiracy theories) inaonekana magaidi karibu wote huwa ni project za Wazungu. Mfano Osama Ibn Laden alitengenezwa na US ili...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa mtu mweusi alivyodanganywa, kudhalilishwa na kubaguliwa kweli bado anahitaji ukristo na uislam au utaahira wake?

    Wamisionari walitupeleleza na kupasisha habari kwa wakoloni waliotutawala na kutupeleka utumwani, Walinyakuwa ardhi yetu kwa kubadilisha na biblia, Walitupora majina yetu. Walitukana mila zetu na kuziita za kishenzi wakati wao ndiyo walioleta kila aina ya ushenzi kuanzia ubaguzi na usenge...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

    Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu. Hapakuwa na makorombwezo Wala...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Ukristo na Uislam, waafrika walikuwa wanaabuduje??

    Kabla ya kuja Kwa Ukristo na hatimaye Uislamu Afrika, watu wa Afrika walikuwa wanaabuduje? Jee na wao walikuwa wana siku, wiki, mwezi na mwaka Kwa mfumo huu uliopo Sasa au ilikuwaje? Walimini Kuna dhambi? Au kwao dhana ya dhambi haikuwepo?? Mtu akizaliwa ama kufa walikuwa anatafsirije. Akifa...
  11. Chomo

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz kuvaa rozali, amebadili dini au uislam unaruhusu?

    Haya ndugu yetu yupo Mwanza huko anapiga shoo muda huu, ila nashangaa amevaa rozali... masharti ua chama yanampeleka vibaya huyu mtu au ni kuwa kachagua njia ambayo anaona ni sahihi kwake?
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania Vyeo katika uislam vinapatikana vipi na vikoje?

    Huku mtaani naona vijana wanaitana sheikh, mufti, maalimu, na wengine wainaitana akii, je haya ni majina ya waislamu au ni vyeo? Utaratibu wa vyeu ukoje huko.
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi watu kutanguliza Uislam au Ukristo kwenye mambo nyeti kuliko Utaifa maana yake nini?

    Wasalaam JF, Tafadhari wanajukwaa naomba majibu naona hili swala muhimu la nchi kabisa na vizazi vyake la bandari limekaa kiushabiki wa dini naona waislam wameamua kwa makusudi kujivika uislam kuliko Utaifa wala chochote kile, nawasikia ingekuwa mzungu ndio anawekeza bandari za Tanganyika...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hoja za Uislam ni hoja binafsi,tunachotaka bandari yetu isiuzwe,full stop.

    Kwa hakika hoja za Uarabu, Uislamu na Ukristo zilizotolewa katika suala la mkataba danganyifu wa bandari ni hoja binafsi ambazo hazina mashiko katika suala la uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Pia Uzanzibari, Utanganyika ni hoja binafsi, tunachotaka bandari yetu isiuzwe,full stop kama...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa fikra za watanzania zinaamuliwa na ama Uislam au Ukristo

    Asalam. Dini ina umuhimu sana katika maisha ya Tawala za Kidunia. Dini ni nyenzo muhimu ya ama kujitambua ama kuwa kutazama mambo katika mlengo flani Kwa Tanzania, Waislam wanajiona nduguzao ni waislam wenzao. Wakristo wanajiona ndugu zao ni wakristo wenzao. Mitazamo hii inaathiri mambo...
  16. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

    Katika dini ya Ukristo, maandiko matakatifu ya Biblia yanapinga ulaji wa nguruwe kwa sababu inachukuliwa kuwa ni mnyama najisi. Hii inapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7-8 ambapo inasema " Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. .Hamtakula...
  17. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Biblia inavyosema juu ya kuinuka kwa Uislam

    Unabii huu unaupata kwenye kitabu Cha UFUNUO 9. 1 Malaika wa tano akapiga baragumu, nikaona nyota iliyotoka mbinguni, imeanguka juu ya nchi; naye akapewa ufunguo wa shimo la kuzimu. 2 Akalifungua shimo la kuzimu; moshi ukapanda kutoka mle shimoni kama moshi wa tanuru kubwa; jua na anga...
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Diamond atakiwa kuchagua dini kati ya Uislam au Ukristo

    Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka. Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo. Ambapo sheikh amesema...
  19. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

    Asalam alaykum! Nilisilimu lakini baadhi ya members humu wakawa wanapinga na kusema mimi sio muislam bali ni mnafiq. Sasa Leo nataka kujua kutoka kwa wajuvi wa dini ya kiislam definition ya Uislam/Muislam. Huenda ikanisaidia kuwa muislam safi. Na ikiwezekana wanipe sifa ambazo mtu anapaswa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

    Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislam mgawanyo wa urithi uko kama ifuatavyo: Wajane hurithi 1/8, Wengi huendelea kutunzwa na watoto wao na nimeona kwa huu mgao unalinda wasiwe na tamaa za kutaka mwanaume afe ilinwapate mali, k Wazazi - Wazazi hupewa 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la...
Back
Top Bottom