uislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la kudharauliwa na kukashifiwa uislam, waislam kupitia watendaji wa serikali kupitia alama zao za utambulisho; ni ideology warfare

    Tutakumbuka siku chache zilizopita ilisambaa barua iliyoashiria chuki, ubaguzi wa Kidini wa watendaji wa Serikali (Tume ya utumishi wa walimu - Muleba Kagera) kwa kukataa kumpatia barua ya kumthibitisha Mwalimu kwa kuwa anafuga ndevu nani Mvaa kanzu. Barua ile si tu ilimkashifu Mwalimu bali...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Je kati ya Waafrika wanaofuata dini zao za asili na wanaofuata ukristu na uislam nani WAJINGA?

    Piga kura yako hapa ikiwezekana weka utetezi wako kwaajili ya kuunga mkono kura yako.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madaraka katika uislam

    Sayyidna Abu Dharr Al-Ghifari (RA) – Kukataa Uongozi Mtume Muhammad (SAW) alimkataa Abu Dharr alipoomba nafasi ya uongozi: (Sahih Muslim) Abu Dharr alikuwa mcha Mungu sana, lakini alikatazwa uongozi kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kushughulika na majukumu yake. Yeye mwenyewe alikubali...
  4. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Fanya haya ufungue Mbingu yako ya 7 ya ufahamu

    Mbingu ya saba” si tu mahali angani bali ni hali ya juu kabisa ya fahamu, uelewa, na muunganiko na Mungu/Nguvu ya Juu. Katika mafundisho ya dini na mila nyingi: Mbingu ya kwanza hadi ya sita ni viwango vya uumbaji na uhai wa kiroho. Mbingu ya saba ni ya juu zaidi, iliyojaa mwanga, hekima, na...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo Papa mweusi, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi?

    Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini. Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ujio wa waarabu/uislam na wazungu/ukristo ndani ya Afrika

    Uislamu ulianzishwa kwa Afrika katika karne ya 7, mwanzoni kupitia kimbilio la Waislamu wa mapema nchini Ethiopia na ushindi wa baadaye wa Waislamu na biashara katika Afrika Kaskazini. Dini hiyo ilienea kupitia njia za biashara kuvuka Jangwa la Sahara kuingia Afrika Magharibi na pwani ya Afrika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka uishi kwa raha usiingie katika Siasa, zama katika Uislamu

    Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu. Mambo ya Msingi katika Uislamu...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kama Uislam/Quran na Ukristo/Biblia vingekuwa vya thamani wazungu na waarabu wasingevileta kwa Waafrika na wangeenda wao mbinguni kwanza

    Habarini, Ni kiasi cha kufikiri kidogo tu na wala haihitaji nguvu nyingi au muda mwingi juu ya ukweli. Kama waarabu wanatuuzia mafuta kwa bei kubwa na waliwauza WAAFRIKA kama bidhaa hivi kweli mtu mwenye akili zako unaweza kusimama na kupiga kelele kuwa watakupeleka mbinguni? Kama wazungu...
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Uislam ni hadithi za maisha ya jamii ya qurayshi na machache kutoka kwenye biblia

  10. H

    JamiiForums Tanzania Domokrasia,ukristo na uislam siyo kwaajili ya Waafrika wanaojitambua!!

    Ni wajibu wa Waafrika wote wasomi na wasiokuwa wasomi kukaa chini na kutafakari juu ya domokrasia,ukristo na uislam kwa maendeleo ya Afrika. Ni wazi vyote hivi vimeingizwa Afrika ili kuwapumbaza Waafrika wasiweze kuamsha akili zao na kuzitumia ipasavyo kuwaletea maendeleo yao wenyewe pasipo...
  11. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Ukristo na Uislam

    Mtasalimiwa na Boss la DP World Nilijua ndani ya ukristo tu ndo kuna madhebu yanayopingana huku yote yakimuamini YESU.Ebu ona hapa. 1.Wakati kuna wakrito wamefunga Kwaresma kuna wakristo hawana habari na huo mfungo na hawautambui.Ila wote ni waumini wa Kristo. 2.Wakati kuna waislam wamemaliza...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Je, bado kuna Waafrika wenye akili wanaoamini kuwa Uislam na Ukristo ndiyo dini za kweli za Mungu?

    Habarini, Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini. Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza...
  13. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Uislam na Ukristo (Monotheism) havina nuru

    Sipo Hapa Kubeza,Kukashifu au Kutweza Dini Au Imani ya Mtu yeyote", Hivyo Tafadhari Wazee wa kuita Wengine Wapinga kristo Au Makafiri Mpite Mbali Huu Uzi Hauwahusu". Sina Shaka Na Uwepo Mungu Kwa Uelewa Wangu wa Kupembua Mambo Nimejiridhisha Na Kuthibitisha Uwepo Wa Mungu". Ila Kwa Miaka 23 Ya...
  14. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kusilimu ili nioe mwanamke wa kiislam, naombeni ushauri kabla sijachukua maamuzi

    ugonile, huu mwaka nilikua na mpango wa kuoa ila nimeghairi baada ya kuchuja kati ya wachumba wangu wote nlokua nao [wote wakristo] hamna mwenye quallities ninazozitaka na ukizingatia na sheria za dini ya kikristo kwenye masuala ya matrimony kiujumla imebase sana upande wa pili endapo ndoa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kweli Waafrika wameshindwa kutambua Ukristo na Uislam siyo kwaajili yao?

    Jabarini, Hivi kweli hata wasomi wa Kiafrika wenye Phd wamegoma kabisaaaa kutambua kuwa Ukristo na Uislam siyo kwaajili yao bali ni kwaajili ya warabu na wazungu/wakoloni. Yaani wameelezwa kuwa Waafrika wametokana na manyani na wakati huohuo wameelezwa kuwa wametokana na udongo pia wametokana...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Mwinyi Baraka: Uislam na Uzalendo

    https://youtu.be/vMA8MAZBB2Y?si=RWfDDfmV8WrzNacW
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kuamini ukristo na uislam wakati vimejengwa kwenye uongo?

    Wanabodi, hakuna haja ya kuzungusha. Hakuna ubishi. Waanzilishi wa Ukristo na Uislam ni Yesu na Muhammad. Hakuna ubishi kuwa hakuna anayejua namna hawa waanzilishi walivyofanana wala kuwa. Hakuna ubishi, wakristo wana picha feki za wazungu waliomuigiza Yesu. Hakuna ubishi, waislam hata...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Konganano la Mwinyi Baraka: Uislam, Waislam na Uzalendo

    https://youtu.be/flAHcqxtR2s?si=PHKyLVAvpsOunFa5
  19. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania Middle East kuna dini kuu tatu (Christianity, Islam na Jews). Kwanini Uislam na Ukristo uliletwa Africa na sio Uyahudi?? What went wrong with Jews?

    Middle East kuna dini kuu tatu (Christianity, Islam na Jews). Kwanini Uislam na Ukristo uliletwa Africa na sio Uyahudi?? What went wrong with Jews??.. ~ SIPENDI SIASA ~
  20. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu ni mkamilifu, kwanini aliipitisha urethra (mrija wa mkojo) katikati ya tezi dume?

    Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu. Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo: 1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO? Kutegemea Umri...
Back
Top Bottom