Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,027
12,338
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
 
Wale wakristo mliokuwa mnawachokoza na kuwatolea lugha chafu kisha wanawajibu Kwa upendo saivi wamezeeka sio sisi hatuwachikiii dini zingine ila mkileta unyumbu unyumbu wenu tunakula sahani moja
Kwanza niondoe katika hilo kundi "mlilokuwa" mimi sio mtu wa mrengo huo unaofikiri wewe.

Turudi kwenye ukristo hivyo unakubali dini ya Ukristo haina upendo wowote zaidi ya chuki ya chini kwa chini ?
 
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?

Uislamu ni Dini ya Amani, ila hii amani ni baina ya Muislamu na Muislamu.
 
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Ni kweli chuki ipo sana tu.
Ila pia nchi nyingi za kikristo zimepokea waislam na kuruhusi watamalaki na imani zao tu kitu ambacho huko kwa wengine hakiwezekani.
Sema umeongea ukweli deep down likija syala la imani ndio hivyo.
Mimi mkristo ila rafk zangu wengi waislamu nadhani kati ya rafiki 10 bas nane watakuwa Waislam
 
Back
Top Bottom