Kwa mtu mweusi alivyodanganywa, kudhalilishwa na kubaguliwa kweli bado anahitaji ukristo na uislam au utaahira wake?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,720
1696884571750.png

Wamisionari walitupeleleza na kupasisha habari kwa wakoloni waliotutawala na kutupeleka utumwani,
Walinyakuwa ardhi yetu kwa kubadilisha na biblia,

Walitupora majina yetu.

Walitukana mila zetu na kuziita za kishenzi wakati wao ndiyo walioleta kila aina ya ushenzi kuanzia ubaguzi na usenge.

Walituletea ubaguzi na kutufanya sisi tubaguane na kuchukiana.

Walitujaza ujinga

Walitujazia mashule wakatufundisha ujinga

Waislam nao walituletea utumwa wa kujitakia

Kama wakristo, walipora majina yetu na kutukana mila zetu

Walitujaza chuki na ubaguzi baina yetu huku nao wakitubagua na kutunyonya

Walitujazi misikiti badala ya shule

Walijenga mazingira ya kutuibia kwa kutulazimisha kwenda Makka

Walituletea uganga wa kienyeji kwa kila shehe kuwa mganga wa kienyeji anayejidai kutumia nyota na maneno ya kiarabu wakati ni utapeli wa kuogopa umande na uvivu

Walituletea quran tukalaaniwa kwelikweli hadi kuchukiana sisi kwa sisi.

Leo Saudi Arabi yalipo makao makuu ya uislam inalindwa na wa kimarekani. Ajabu watu wa kiafrika ya kikiristo na kiislam yanachukiana. Wote waliwatukuza wayahudi na kutufanya sisi kuwa makapi. Waliita majangwa ardhi takatifu wakati ardhi takatifu ni Afrika ambako kila siku wanakimbilia.

Wanangu naomba kuwasiliasha.
 
Na watu walivyo wanafki wanapenda kweli kusema 'hizi dini tumeletewa na wazungu' ila hawataki kuziacha

utaskia oo 'mimi namuamini mungu ila sina dini' wakati ni mlokole tu aliyechangamka

tuache unafki
 
na watu walivyo wanafki wanapenda kweli kusema 'hizi dini tumeletewa na wazungu' ila hawataki kuziacha

utaskia oo 'mimi namuamini mungu ila sina dini' wakati ni mlokole tu aliyechangamka

tuache unafki
Mwanangu una bonge la pwenti. Ni unafiki pande zote kwa walaji na waliwao. Huu ndiyo uhayawani tunaoitwa tukienda maghreb ambako mswahili anaitwa kila jina hadi hayawani au mnyama na wakija kwetu tunawachekea tokana na kutokujijua wala kujiamini
 
Back
Top Bottom