babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,221
- 3,167
Video ikionyesha waandamaji wakiangusha sanamu ambayo imedumu toka karne ya 18.
Sanamu ya Edward Colston katika sehemu ambayo inajulika The centre, Bristol.
Wakiwa wanaitupa Bristol harbour.
Sanamu ya aliyekuwa mfanyabisha maarufu ya utumwa katika karne ya 17 imeangushwa na kutupwa harbour na waandamaji wa Black Lives Matter.
Sanamu hiyo ilijengwa katika mji wa Bristol, United Kingdom katika karne 18. Lakini imekuwa ikileta malalamiko mengi. Watu wakitaka iondolewe kwa sababu inaonekana ni kama kumpa heshima mtu aliyejipatia utajiri kwa kuwauza waafrika na wengi wao kuwasababishia mauti!