uhusiano

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuboresha Uhusiano kati ya Raia na Vyombo vya Usalama?

    Je, una maoni au ushauri utakaoboresha uhusiano kati ya Raia na Vyombo vya Usalama? Usikose kujiunga nasi katika mjadala wenye tija utakaolenga kutafuta suluhu ya kuimarisha uhusiano kati ya raia na Vyombo vya Usalama Julai 25, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi 2 Usiku, kupitia Twitter Space ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nilimfukuzia Kwa miezi saba kanitolea nje leo kanipigia anasema hataki uhusiano na Mimi ila ijumaa hii nimpleke live band!

    Wanabodi, baada ya kuandika ule uzi wangu wa "Maisha yangu baada ya miaka 37" wengi walinishauri niache nyumba ya laki tatu nikapange ya bei nafuu ili nitoboe. Kweli nimehamia nyumba ya laki na nusu wapangaji tupo sita ndani ya geti. Ni uswahilini fulani ukitoka nje ya geti unakutana na mihogo...
  3. JamiiForums Tanzania The Emirate of Dubai siyo nchi na uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano ila ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwa mujibu wa Katiba

    Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano. Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Biashara ya China na Afrika yaimarisha uhusiano wa kibiashara na kujenga siku njema za baadaye

    Maonyesho ya Tatu ya Biashara ya China na Afrika yamemalizika hivi karibuni hapa China, ambapo bidhaa mbalimbali kutoka nchi za Afrika ikiwemo kahawa kutoka Ethiopia, maua kutoka Kenya, na bidhaa nyingine nyingi zimeendelea kupata umaarufu kwenye soko la China. Maonesho hayo yalianza mjini...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mnataka tuwaamini ili tuwape nchi wekeni hapa mkataba wa uhusiano wenu na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS)

    Mwaka 2004 CHADEMA iliingia ubia na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS) ili iwajengee uwezo wa kisiasa, kiutawala na kiufundi (technical assistance including capacity building for local leaders, programmatic support and structural coordination). TUWEKEENI HUO MKTABA HAPA WA UBIA
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuna Uhusiano gani kati ya kanisa na serikali?

    Nilimsikia Padre Kitime , akiongelea suala la Bandari , alisema siku za nyuma Rais hayati Benjamin Mkapa alipotaka kubinafsisha shirika la ndege , kanisa lilimuita mbele ya baraza la maaskofu na kumkarisha . Hii kauli ya "Kumkalisha kwenye kigoda" ina maana zaidi ya kawaida. Ni kweli serikali...
  7. JamiiForums Tanzania Nepotism katika uhusiano wa kijamii na Uongozi

    Nepotism is the practice among those with power or influence of favouring relatives, friends, or associates, especially by giving them jobs. Nepotism is the act of granting an advantage, privilege, or position to relatives or close friends in an occupation or field. These fields may include but...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu alishawahi kuwa na uhusiano na kiumbe jini

    Salaam wote! Nimeaona sio vibaya nikawashirikisha hili wakuu daah, maisha ya duniani kama huyajui unaweza dhania unayajua kumbe kuna vingi vitu huvijui. hata ule chumvi nyingi lakini vipo bado vingi hutakuwa huvifahamu. Hawa viumbe tunawasikia wanaitwa majini wapo lakini mara nyingi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ni pale tu Marekani inapotekeleza ahadi zake kwa vitendo ndipo uhusiano kati ya China na Marekani unaweza kuboreka

    Kuanzia Februari hadi Juni, zaidi ya miezi minne baada ya "tukio la puto", Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hatimaye aliwasili Beijing asubuhi ya tarehe 18 na kufanya ziara ya siku mbili nchini China. Watu wengi wanaojali uhusiano kati ya China na Marekani wanauliza kuwa, kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia awateua Lukuvi, Bulembo, Balozi Luhwavi na Omar Kheir kuwa Washauri wa Rais Siasa na Uhusiano wa Jamii

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi Washauri wa Rais wafuatao:- (i) Amemteua Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb.) kuwa Mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jami). Mhe. Lukuvi ni Mbunge wa Jimbo la Ismani, Iringa; (ii) Amemteua Bw. Abdallah Bulembo...
  11. JamiiForums Tanzania Kujihisi kama umechoka kuishi

    Habari, Je, kuna mtu hufikia hatua akawa katika hali niliyonayo muda huu? I mean kwamba kuna wakati ukifika nikitafakari maisha yangu nahisi kama kukata tamaa, yaani kuhisi uchovu tu from no where. Yaani sijui niiweke vipi ila kuna muda tu ukifikaga tafakuri ya maisha hunijia, najikuta...
  12. JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano ule mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo na hiki kinachoendelea sasa hivi?

    Sabato NJEMA Wakuu! Ufanisi ni mdogo, faida ni hafifu. Mtaji ni Duni, Muda unaopotezwa ni mwingi Hali inayozorotesha uchumi wa wafanyabiashara na serikali Kwa ujumla. Hicho ndicho kinafanya kuwe na haja ya kuleta Wawekezaji katika Bandari yetu. Uwezo wetu ni mdogo, uwezo wa kinidhamu na...
  13. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu yatoa ripoti ya kifo cha Nusura Hassan Abdallah, chasema hakuna uhusiano na ajali ya Waziri Dkt. Festo Dugange

    Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (#THBUB) imesema kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Hassan Abdallah kilitokana na shambulio kali la kupanda kwa sukari na upungufu wa damu. Kifo cha Nusura kilihusishwa na ajali ya gari iliyomhusu Dkt. Festo...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Tax akutana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania, wakubaliana kuimarisha uhusiano wa Kidiplomasia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini, Mhe. Andrey Avetisyan katika ofisi za Wizara Jijini Dododma Leo tarehe 31Mei 2023. Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamekubaliana...
  15. JamiiForums Tanzania KOREA ya Kaskazini kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika

    KOREA Kaskazini imesema siku ya ya Alhamisi kuwa inakusudia kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika na kuapa kupanua uhusiano huo wa "urafiki na ushirikiano." "Tumejitolea kuziunga mkono kikamilifu nchi za Afrika katika juhudi zao za kufikia amani, utulivu na uadilifu wa kisiasa...
  16. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini uko imara

    Na Mwandishi Wetu Pretoria, Afrika Kusini Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi amesema uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini uko imara na unaendelea kukua siku hadi siku katika nyanja mbalimbali ikiwemo sekta ya Utamaduni. Balozi Milanzi amesema hayo Mei 22...
  17. JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu na baba yangu party 2.

    Wakuu mmebarikiwa sana. Leo taeleza upande mwingine kuhusu mama yangu na ma mdogo na ndugu wa mzee kisha mtaunganisha na ule uzi mwingne wa kwanza maana pengne kuna watu humu wanakurupuka kunilaumu tu. UPANDE WA MAMA: tulizaliwa watatu mimi na wadogo zng wawili, kifupi nijisemee mimi bnafs...
  18. JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu na baba yangu

    Wakuu mmebarikiwa sana sana. Moja kwa moja kwny hoja, kwny familia yetu mimi ni first born bahati mbaya mimi na wadogo zng hatukulelewa na mama mzazi maana inasemekana mzee na mama waliachana tukiwa bdo wadogo so mzee alioa mke mwngne. Mwaka nliomaliza kdato cha 4 ndo ilikuwa mara yng ya...
  19. JamiiForums Tanzania Musiba lazima ujue Membe ana wategemezi, wana haki ya kufungua mirathi na kukufilisi

    Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba. Warithi wake wakiamua kuendelea kumkaba kohoni Musiba hawezi kuchomoka. Musiba alikuwa mtoto aliyelelewa vibaya. Ni mithiri ya mtoto wa chief wa kijiji aliyewatukana wanakijiji...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Je kifo cha Nusura Abdalah wa UDOM chaweza kufanana na kifo Marylin Monroe na uhusiano wake na Rais wa USA JF Kennedy?

    Tarehe 04 August 1962 kilitokea kifo tata cha muigizaji Mrembo kule Marekani, Marylin Monroe. Kifo hiki kilizua utata mno ila Majasusi wa FBI walijitahidi hadi Marehemu akazikwa na ikawa mwisho wa tetesi. Hata hivyo tetesi hazikukoma. Iko hivi, Rais Kennedy na mdogo wake aliyekuwa mwanasheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…