Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 563
- 1,364
Wakuu mmebarikiwa sana.
Leo taeleza upande mwingine kuhusu mama yangu na ma mdogo na ndugu wa mzee kisha mtaunganisha na ule uzi mwingne wa kwanza maana pengne kuna watu humu wanakurupuka kunilaumu tu.
UPANDE WA MAMA: tulizaliwa watatu mimi na wadogo zng wawili, kifupi nijisemee mimi bnafs japo tawagusia madogo kdogo, skulelewa na mama kbs ila na shangazi yangu tu ambaye ndiye nilikuwa najua ni mama yng mpk namaliza darasa la 7 nilikuwa namuita mama nikiamini ndiye mama yng, kuna sku moja ulitokea msiba kijijin nikasafiri na aunt mpk uko na uko pia ndo nyumban kwao na mama yng nakumbuka tulishuka mahali fulan bila aunt kuniambia kwmb tunapoenda ni kwa mama yng, tukiwa tunatembea mimi mbele aunt nyuma, nilipshana njian na mama mmoja akiwa anatembea haraka kumlaki aunt aisee stasahau kwmb si mimi wala mama yng aliyekuwa anamjua mwenzie aunt ndo akamwambia umemuona mwanao akashtuka yuko wp akaonyeshwa mimi ilishangaza sn sn.
Inshu ni kwmb mama alimsusa mzee mpk na watoto na mpk leo hatujui nini kilitokea si baba wala mama waliowahi kueleza kinagaiubaga nn kilitokea.
Ila mama ukiongea naye ana watuhumu wifi zake ndo walifanya mipango ya mapnduz aliporud wkt ameenda kujfungua akakuta amepnduliwa na dada wa kazi.
Na hawapend kbs ndugu zake na mzee hasa wifi zake tuhuma ni nyng sn sina haja ya kuzieleza humu mpk na ushirikina umo.
KUHUSU NDUGU WA MZEE: hasa ma aunt kwa kifupi kuna namna naanza kuamini uwenda kweli walichakata mipango ya kumpndua mama, kwan aunt aliyenilea kuna kauli aliwahi zisema zlinishangaza sn moja wpo aliwai nambia nikienda kwa baba yng ole wng nisababshe eti mzee aachane na ma mdogo nilishangaa sn kwn hata skuwa na mpango huo, lakin pia ni kama kuna mipango waliifanya kuhakiksha mi natengana na mzee wng kwaajili ya maslahi ya yule mtu waliyemuweka pale maana waliamin mimi takuwa tishio kwa ma mdogo ukzngatia mi na mzee tulikuwa wamoja sn na mipango mingi mzee alikuwa aknishriksha kuliko ma mdogo kfupi nilikuwa naskilizwa sn na mzee na alikuwa ananiamini sn mpk nikawa tishio kwa ndugu zake ukzngatia mzee kabla hajastaafu ndugu zake wengi walikuwa wanamtegemea na miongon mwao ndo aunt zng. Weng hawakupenda kuona nakuwa na nguvu wakiamin mzee hatowaskiliza tena kama zaman zaid yangu mimi.
Kwaiyo scenario kubwa sn hapo katikati mpk mzee kuwa hivi kuna watu wanafaidika na mgogoro huu na hawataki uishe kbs japo mdomon wanataka uishe.
Hata wadogo zng mpk leo hawaamin kimetokea nn mpk mi kupshana na mzee.
Nadhan mmepata pcha kdogo.
KUHUSU MA MDOGO: kwa mujbu wa maelezo ya baadhi ya ndugu na mama yng ni kwmb ma mdogo alikuwa dada wa kaz ambaye alifanyiwa mipango ya kupewa mji wkt mama akiwa yuko kwao ameenda kujfungua akakuta mji umekamatwa na dada wa kaz na anapewa nguvu na dada zake na mzee. Kfupi mama aliamua kuondoka kwake na kurud kwao sjui kuna nguvu gn ilimsukuma kuondoka easy ivyo bila hata sent 5 akarud kijijin bt inasemekanampk ushrikina ulitumika kumpa huo msukumo wa kususa mpk watoto wake.
KUHUSU KUOMBA MSAMAHA: kwanza mimi spo tyr kwenda kusujudia kaburi eti naomba msamaha kwa maiti. Ukzngati bibi mwnyw mpk anafariki hakuwai kuunga mkono msimamo wa mzee kwaiyo alikuwa upande wangu mara mwsho kukukaa nae akiwepo na mzee bibi alihoji shda iko wp mzee alisema mbele ya mama ake hakuna tatzo kbs ingawa kwa jcho la 3 ni kama ma mdogo hakuwa anapenda. Msamaha nliomba wa magoti na machoz mpk wadogo zng walilia wadogo upande wa mama yng na ma mdogo maana nao hawaungi mkono mgogoro huu wananielewa na kunikubali. Na ndo maana hata mzee alianza kuwapanga wanitenge maana mzee anaijua nguvu niliyonayo kwa madogo mpk leo pamoja na mzee kujaribu kuniachanisha nao si madogo wa ma mdogo wala wa mama yng.
Baada ya msiba wa bibi nlienda kwa mzee ndan ya mwez huohuo kuzungumza naye ajabu akageuka tena na kuleta masharti mapya ambayo nimeyaeleza awali bnafs siwez abadan kwenda kusujudia kabuli siwez siwez, khs hao ndugu zake alisema hao nlishazungumza nao sn wala hawana shda ingawa nao ni chanzo cha mgogoro huu maana una maslahi kwao. Hata madogo waliwainambia hawa ma aunt hawa nisiwaamin kwan nao ni tatzo kubwa sn kwny mgogoro huu niwe makini.
Haya wakuu mpk hapo bdo mnasemaje sasa nawaskiliza.