uhuru

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Habari wakuu! Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Nairobi: Ruto ashinda Kura kituo walichopiga Kura familia ya Uhuru Kenyatta

    Licha ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kuwataka Wakenya wasimpe kura mgombea urais wa Kenya Kwanza na Naibu Rais, William Ruto bali wampe kura hizo mgombea urais wa Azimio la Umoja, Raila Odinga ameshindwa kumbeba mgombea huyo katika kituo alichopigia kura. ====== Licha ya Rais wa Kenya...
  3. vnn

    JamiiForums Tanzania Kama NHIF imefilisika, tafadhari watumishi wa umma wawe na uhuru wa kuchagua mfuko wautakao

    Dharau zimeanza sasa! Serikali inakoelekea itatufikisha kwenye point ya mwisho. Haya mapendekezo kuwa mteje wa nhif atibiwe kwenye kituo kimoja tu huu ni upuuzi kwamba kama nilikua natibiwa mwanza nikiugua nipo dar nisitibiwe? Eti mgonjwa haruhusiwi kutibiwa zaidi ya mara tatu kwa mwezi...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kuwe na Uhuru wa Mahakama katika masuala ya Kidemokrasia

    Kama wote tutakuwa sawa chini ya sheria na hakuna hata mmoja atakayekuwa juu ya sheria hiyo ndiyo itakapokuwa nchi yenye misingi ya kisheria. Sheria inatakiwa imuhusishe kila mtu ndani yake ukiingiza na serikali ndani yake kwani serikali pia imebeba watu inaowatumikia katika kufanya kazi katika...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto kwa Uhuru Kenyatta: Acha kuwatisha Wakenya na Kuniongelea

    Deputy President William Ruto has yet again launched an onslaught against his boss, Uhuru Kenyatta, following a series of remarks made by the Head of State recently. In a bare-knuckle response to alleged threats by President, the DP has fired back at Uhuru telling him to focus on his retirement...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na haki sawa kwa Mwanamke

    Rais Samia Suluhu Hassan anaitambua nguvu ya mwananmke ndio maana ameteua wanawake wengi kwenye uongozi wake ile dhana ya mwanamke hawezi imefutika na hii ni maana halisi ya haki sawa. Kwa sasa Tanzania ina Wakuu wa Mikoa wanawake 8 tena wenye uwezo sana. Hii ni rekodi ya kuwa na Wakuu wa Mikoa...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta hatasahaulika kwa muda mrefu sana, ni kiongozi mstaarabu sana

    Kama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta. Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi. Yuko down to earth. Huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake zenye vichekesho vingi. Na si kwamba ni mtumwepesi, ana mali nyingi tu za kutosha. Lakini...
  8. 0

    JamiiForums Tanzania Fumbo la kuku

    Pamoja na udhalimu wote ambao kuku anafanyiwa na bidamau bado kuku hajawahi kuuwaza Uhuru wake..!! Sio kuku tu hata binadamu hajawahi kufikiria kumpatia kuku Uhuru wake ili akaishi mbali kwa amani pasi na hofu ya kisu chake..! Kwa hifadhi ya mabanda machakavu pamoja na shibe ya masalia ya...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Shukrani ya Wapigania Uhuru ni kuacha watoto wasiojua baba zao Maeneo ya karibu yaliyokuwa makambi yao

    Salaam, Kwa kweli sijapenda hawa wapigania uhuru kutoka Namibia, Msumbiji, Zimbabwe kutuachia watoto wasiojua baba zao, leo siku ya mashujaa kuna kambi kule Mtwara ni huruma. Mama mmoja anajieleza walivyokuwa wanatongozwa na kuvalishwa magwanda ili waingie makambini. NB: Tunaomba zoezi la...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Gerezani Day: Gerezani wawapa mitaa wazee wao waliopigania uhuru wa Tanganyika

    GEREZANI DAY 2022: GEREZANI IMEBADILI MAJINA YA MITAA KUWAENZI WAZEE WAO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Leo WanaGerezani wameadhimisha siku yao ya familia kwa kuwarehemu masheikh, wazee wao na wenzao waliotangulia mbele ya haki. Shughuli ilifanyika Shule ya Kisarawe na ilitanguliwa kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya waishitaki Hungary kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu kwa kuwanyima uhuru mashoga/LGBT

    Kwa Ulaya hilo ni kosa kubwa sana, yaani kuwanyima uhuru mashoga kuongelea hadharani uchafu wao!! Lakini hili la hangary linashangaza zaidi, iko hivi: Hungary ilipitisha sheria ya kuwalinda watoto chini ya miaka 18 dhidi ya propaganda za mashoga. Walizuia kuongea au kuwaonesha au kuwafundisha...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii picha imenirudisha miaka mingi baada ya Uhuru

    Mfano wa nyumba hizi zilizojengwa na Wajerumani ziko Amani, Tanga. Hiki kijumba kidogo ni jiko, kwa wakati ule wengi walipikia kuni. Hili jiko lilikua na sehemu ya kuhifadhi meter moja ya kuni. Walijenga hydroelectric power kutumia maporomoko ya mito kule Amani na kulikua na umeme. Waliweza...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Dondoo katika Historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika

    WATOTO WA KAZI KAZINI: DONDOO KATIKA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Karibuni mtaona video fupi fupi zikieleza historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Fuatililia.
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru, Mzee Bilali Waikela amefariki dunia

    Wanaukumbi. Inna lillahi waina ilayhi rajiuun Ndiyo Lugha pekee ambayo inaweza Kuliwaza Mtetemo wa Moyo, Huzuni na Simanzi Kubwa Waliyonayo Waislamu na Watanzania kwa Kuondokewa na Mzee wao, Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru aliyemhami Mwalimu Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanzania)...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 William Rutto: Nilimfanya Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya

    Akizungumza mjini Meru katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Mlima Kenya Mashariki, Makamu wa Rais Ruto amesema wakati Mahakama kuu, ilipoamuru uchaguzi wa marudio mnamo 2017, Rais Kenyatta hakutaka kurudia na alimlazimisha kurudia uchaguzi huo kwani asingemruhusu kuacha kazi aliyoifanya kwa...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi lampa uhuru kamili Rais wa zamani wa nchi hiyo

    Rais wa zamani wa Burkina Faso, Roch Kaboré, amepewa "uhuru kamili" na majenerali wa kijeshi waliompindua katika mapinduzi mwezi Januari katika juhudi za upatanisho wa kisiasa Bw Kaboré aliruhusiwa kurejea katika nyumba ya familia yake katika mji mkuu, Ougadougou, mwezi Aprili baada ya kuwekwa...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Burundi ilitaka kuunganika na Tanganyika ilivyopata Uhuru na ingekuwa sehemu ya Tanganyika?

    Jana Julai mosi, wananchi wa Burundi waliadhimisha miaka 60 tangu nchi yao ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Ubelgiji Jumapili ya Julai mosi, 1962. Mwaka moja kabla ya siku ya uhuru kulikuwa na uchaguzi wa kwanza chini ya usimamizi wa Umoja Mataifa na chama kilichoshinda katika...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uhuru Kenyatta amwambia Ruto hafanyi kazi amekalia mdomo tu

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemjia juu Naibu wake, William Ruto kuelekea Uchaguzi Mkuu akisema kama ameshindwa kufanya akiwa na nafasi ya juu Serikalini ataweza vipi kwa mara nyingine anapoomba nafasi ya Urais Kenyatta akizungumza katika Sherehe za Ushirika amesema: “Mimi nasikitika kuona...
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru na rais wa Marekani wajadili suluhu la ugomvi DRC

    Hatimaye DRC inakwenda kupata amani ya kudumu, rais Uhuru ameshikilia hili bango kwa kutumia nguvu nyingi sana... The US government has hailed Kenya’s President Uhuru Kenyatta for getting DR Congo and Rwanda to a meeting last week, saying it could ease tensions between the two neighbours. US...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Shule yawavalisha wanafunzi sketi bila kuzingatia jinsia

    Shule ya Sekondari Nyakasura iliyoko Magharibi mwa Uganda imekuwa gumzo baada ya wanafunzi wa kiume wa nchi hiyo kuvaa sketi ikiwa ni sare ya shule hiyo ambayo imeanzisha tangu Mwaka 1926. Mkuu wa shule hiyo amesema mavazi yanayoonekana sio sketi bali ni mavazi ya heshima yaliyokuwa yanavaliwa...
Back
Top Bottom