uhuru

  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ni bora utumwani penye mahitaji muhimu kuliko uhuru pasipo na mahitaji muhimu

    Hata waisrael walifikia kipindi kuchoka na shida wanazopata safarini kuelekea kaanani walitamani Musa awarudishe Misri kwa farao utumwani walipata mahitaji muhimu.
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Lindi yamzika Sheikh Mpigania Uhuru Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi

    Kama tusingeandika historia yetu waliokuwa hawapo hiki kizazi kipya kisingeijua historia ya Sheikh Hassan Kinyozi. Tungemzika Sheikh Hassan Kinyozi kama tunavyowazika masheikh wetu. Tusingeliweka jeneza la mwalimu wetu mabegani na vifua mbele tukijua kuwa tunamzika shujaa aliyepigania uhuru wa...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

    Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki dunia akiwa na umri wa kiasi cha miaka 90. Nakumbuka kama jana siku nilipofika Lindi kwa basi dogo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za Marekani: Democrats kampeni yao ni ya kuruhusu ushoga/LGBT na uhuru wa kutoa mimba.

    Mwanadada huyu hapa ana furaha sana mgombea wa Democratic ameshinda kwenye jimbo lake kwa hiyo anafurahia kwenye jimbo hilo kutoa mimba itakuwa ni ruhusa! Alikuwa na wasiwasi kuwa kama angeshinda mgombea wa Republican, utoaji mimba ungepigwa marufuku kwenye ji,mbo lake!! “We won!” That was...
  5. sanalii

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Uhuru zisifanyike au kusiwe na vikosi vinapita pita

    Comedy zilizofanyika zinatosha kwa hiyo miaka yote, ni muda sasa kuangalia mantiki ya kinachooneshwa, kama wanafanya vitu ambavyo haviendani na uhalisia ni bora wakaailika wachekeshaji basi. Ule ukakamavu waliokua wanaonesha nib fake tu
  6. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wenye jinsia mbili hawapewi uhuru wa kuchagua jinsi yao?

    Watoto wengi wanaozaliwa na jinsia mbili mara nyingi hufanyiwa upasuaji na wazazi kupanga wawe jinsi gani. Sasa kwanini wasiachwe wakue ili wao wenyewe waamue jinsia wanayoitaka? Hapa nazungumzia intersex ama watu wanaozaliwa na jinsi mbili.
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tangu tumepata uhuru ni hayati Julius Nyerere na hayati John P. Magufuli waliujua kwa undani na umaskini wa watanzania wengi na kuwaonea huruma

    Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula. Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha. Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike...
  8. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Orodha yangu ya Marais bora kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho tokea tupate uhuru

    Jambo rafiki! Moja kwa moja kwenye mada. Hii ndiyo orodha yangu ya Maraisi bora kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho tangu tupate uhuru. NB: Mimi ni mtoto wa 90's, kwahiyo wengine nimefanya utafiti kwa mapokeo ya mdomo kupitia wazee wangu. 1. Ali Hassan Mwinyi Huyu kwangu ndiyo raisi bora tangu...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru bado maji shida. Huku ni kukosa maono

    Najua serikali yetu imefanya mengi sana ,Pia nimshukuru Mungu kuwa na viongozi ambao toka uhuru wamelinda amani ya nchi yetu na kutetea umoja na mshikamano wetu. Kiukweli, zipo nyanja tumepiga hatua kwakiasi na zipo nyanja ambazo bado sana. Swala la maji:Hasa kwa mkoa au jiji linalochangia...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tunataka Katiba ya kutuondoa utumwani ili tuanze maisha mapya ya uhuru

    Kazi ya kuandika katiba inapaswa kupewa umuhimu wa juu kwani ni tendo takatifu linalotupeleka kwenye maisha mapya ya uhuru wetu. Taifa letu bado liko katika mfumo wa kikoloni lakini mkoloni wa sasa ni mweusi sio kama wale weupe wa zamani. Viongozi wa kwanza wa taifa letu ndio waliamua...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2023: Mwanzo wa harakati za kudai uhuru

  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania una 'Makomandoo' wa 'Majanga' au ni hawa tu wa Maonyesho ya Karate na Kuvunjiana Mbao Migongoni katika Uhuru / Muungano Day?

    Kama wapo huwa wanakuwa wapi katika Majanga ya Mafuriko, Moto ( Mioto ) kama huu wa sasa wa Mlima Kilimanjaro na Ajali? Nasubiri Mirejesho yenu na leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa hapa ni Kusoma tu Maoni yenu nyie 'Great Thinkers' wa JamiiForums na najua mtakuwa na Madini ya kutosha juu ya hili.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu ina uhuru, uhuru wa wachache: Mazungumzo na wavujajasho wa Manzese na Jangwani

    https://twitter.com/share?text=‘Nchi yetu ina uhuru, uhuru wa wachache’: Mazungumzo na wavujajasho wa Manzese na Jangwani&url=https://udadisi.com/nchi-yetu-ina-uhuru-uhuru-wa-wachache-mazungumzo-na-wavujajasho-wa-manzese-na-jangwani/ “Nchi yetu hii sisi ina uhuru. Sasa mbona ina uhuru wa watu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baada ya Uhuru, Nyerere aliwatema waliopambana tangu mwanzo

    Kwanini aliwatema watu Kama Abdulwahid Sykes Bibi Titi Na baadhi katika serikali yake Nawasilisha
  15. N

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya Mwalimu Nyerere

    Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage alipinga vikali ukabila na kusisitiza umoja katika taifa letu. Rais Samia Suluhu anaishi falsafa za Mwalimu Nyerere na kuzitekeleza kwa vitendo. Leo ikiwa ni siku ya kuhitimisha mbio za mwenge wa uhuru uliowaka nchi nzima kumulika maendeleo...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Mpigania Uhuru na Muaisisi wa TANU Moshi Mjini Kituo Cha Mayatima Cha Halima Selengia (1919 - 2013)

    Marehemu Bi. Halima Selengia aliyefariki dunia mwaka wa 2013 akiwa na umri wa miaka 94 alikuwa kati ya waasisi wa TANU mwaka wa 1954 na mmoja wa wanawake waliokuwa mstari wa Bi. mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Bi. Halima Selengia anaingia katika kundi la akina mam wapigania uhuru...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akana kufanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta

    Rais wa Kenya, William Ruto amekanusha madia hayo kuwa alifanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta wakati wa kampeni za uchaguzi wa Rais wa Agosti 9, 2022. Tetesi ni kuwa walikuwa wakifanya kazi pamoja huku Kenyatta akidanganya umma kuwa anamuunga mkono mgombea wa Azimio, Raila Odinga. Ruto...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Unamjua ''Bamanga'' Katika Historia ya Uhuru na Mapinduzi ya Zanzibar?

    UNAMJUA ''BAMANGA'' AHMED SAID KHARUSI KATIKA HISTORIA YA UHURU WA ZANZIBAR? Leo nimeletewa picha ya Ahmed Said Kharusi maarufu, ''Bamanga.'' Maktaba yangu ya picha imepambwa sasa na picha mbili za mzalendo huyu ambae hatajwi katika historia ya Zanzibar. Nimemtaja Ahmed Rashaad Ali mara nyingi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uhuru wa kifedha. Hatua ianze sasa

    Uhuru wa kifedha ni jambo la kufikirika kwa watanzania wengi na takwimu pia zinaonyesha ni asilimia ndogo sana yawatanzania walio na uhuru wa kifedha basi bila ata kufika mbali ata usalama wa kifedha nalo si jambo la kawaida. Usalama wakifedha ni hali ya kutokuwa na wasiwasi wa fedha kwani una...
  20. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto kuwaapisha Majaji 6 waliokataliwa na Uhuru Kenyatta

    Akizungumza Jumanne, Septemba 13, Rais Ruto amesema kwa mujibu na ahadi yake ya kuunga mkono Uhuru wa Idara ya Mahakama, ameidhinisha uteuzi wa majaji ambao waliteuliwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) mwaka wa 2019. Rais aliongeza kuwa ataongoza hafla ya kuapishwa kwao Jumatano, Septemba...
Back
Top Bottom