Kenya 2022 William Ruto amuomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta

Kenya 2022 General Election

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Naibu Rais wa Kenya William Ruto amemwomba msamaha Rais Uhuru Kenyatta baada ya wawili hao kutofautiana pindi tu uchaguzi wa 2018 ulivyokamilika.

"Najua kuwa kuhudumu kama Naibu wa Rais huenda sikufikia matarajio ya bosi wangu Rais Kenyatta, na ninaomba unisamehe," Ruto.

Ruto ameomba msahama huo wakati wa mkutano wa kila mwaka wa maombi ya Alhamisi ulioandaliwa na bunge.

Pia soma

Deputy President William has apologized to President Uhuru Kenyatta if he may have failed to meet his expectations.

Speaking at the National Prayer Breakfast on Thursday, DP Ruto admitted that he may have failed his boss during their 10-year tenure, but he also said he had forgiven those who had wronged him.

He stated that his goal in the run-up to the General Election is to be 'free of the debt of hurt.'

"Serving as Deputy President I may have fallen short of the expectations of my boss and his excellency the President, my good friend, I ask for your forgiveness," said Ruto.

"I know also in this journey many people have hurt but I forgive everybody. I want us to go into this election free of the debt of hurt and free of debt of forgiveness."

The second-in-command also took the opportunity to wish President Kenyatta well as he prepares to leave office in August, to enjoy the legacy he has built during his tenure.

"And as you head to retirement, it is my prayer that God will give you every aspiration of your heart and make it possible for you to enjoy the legacy that you have built and the peace that God will give you," Ruto said.

Concerning the upcoming General Elections, DP Ruto assured Kenyans of peace, adding that if he does not win the seat, he will accept the election results.

"I know there is a lot of anxiety as to what will happen in the election. I want to speak on behalf of my team and we will do anything possible within our power to make sure that the elections are peaceful," said Ruto.

"I believe that whoever will be elected in this election will be the will of God and we will respect the will of God as expressed by Kenyans."

Source: 'I may have fallen short of your expectation, forgive me,' DP Ruto tells Uhuru
 
Ameshaona hapo hana chake. Kura zizidi au zisizidi.
 
Kenyatta anamchora tu..hofu kubwa ya Rutto na hata amekuwa akiisema Mara kwa Mara majukwaani ni Kenyatta asitumie fimbo aliyomsaidia kuwa Raisi kumwadhibi nayo. Lazima Rutto ajishushe hawezi kutunishia misuli na Kenyatta .
 
Sasa kama hajafikia matarajio nafasi ya naibu Rais, Urais atauweza? He just shot himself on own foot!
Hakika amekiri. Hajawatumikia wakenya sawasawa iweje atake makubwa zaidi kwa uraisi.

Kajipimia na kuona hatoshi
 
Zimebaki siku chache tunzeni hii quotes mlete mrejesho.Ipo hivi duniani nzima ikiwemo serikali zote za duniani zipo chini ya nguvu za mamlaka ya watawala wa ulimwengu usioonekana, chochote kabla hakijafanyika ktk ulimwengu wa macho tayari kilishafanyika au afikiwa ktk ulimwengu usioonekana.
Uwe unataka utaki unakubali ukubali sisi sote tunaongozwa na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu ambazo zipo ktk ulimwengu wa siri.
Kama serikali tu inawatambua wazee mfano wazee wa Dar ukadhani ni wazee as wazee sababu ya mvi au umri upo nyuma upo wrong,wale ni watu wazito Sana katk ulimwengu ulionekana wapo physical kuwakilisha wakuu wa ulimwengu usioonekana.
Ni SAwa na vatican, vatican si kama vatican ni zaidi ya vatican,thus wakuu wote wa duniani bila kujali dini ni lazima wasalute kwa Pope. Raila Odinga alimshinda UHURU uchaguzi uliopita akawa ajakubaliana masharti ya wakuu wa dunia thus akachezewa mchezo akapewa UHURU, Then anaitwa akaitwa akayakubali masharti thus anachukua this time hata Kenyatta analijua hili ndo maana kaamua kuwa upande wa Raila.
Kwann kambi ya Raila itashinda.
1.Wakenya wamechoka kutawaliwa na kabila/ ukanda mmoja miaka yote, wanataka kubadilisha ladha.
2.Kambi ya Odinga ni strong Ina wagombea smart na wameshauzika miaka mingi sana yaani Odinga na Martha Karua kuliko kambi ya Ruto pia ni wanasiasa mahiri na ni wachapa Kazi wakenya wanaona watavusha na sio ile kambi ya mafisadi.
3.Kambi ya ODIMA yaani Martha na Odinga Ina makampeni meneja smart na makini Sana kuliko kambi ya Ruto.
4.Ruto anajibomboa mwenyewe kwa kauli zake za chuki na visasi na ukosefu wa nidhamu.
5.Ruto ana visasi hana utulivu wa akili yaani sio matured and civilized enough kuongoza nchi,kiburi mjuaji mapepe yaani saikolojia yake haijabalance bado kulinganisha na Odinga,pia ni dictator hofu atawaletea machafuko wa Kenya.
6.Wakuu wa duniani hawawezi ruhusu hayawani aingie ikulu, Kenya ni muhimu Sana kama base ya kucontrol East, and Central Afrika ikiwemo Ghuba ya Aden. Utulivu wa Kenya ni muhimu Sana kwa interest zao.
7.Katika ulimwengu usioonekana wao chaguo lao ni Odinga kwa maana ni rahisi kumcontrol kinyota na sio Ruto yeye hayupo kabisa kwenye radar zao.

Wiki ijayo sio mbali tunzeni post hii.RAILA AMORO ODINGA ndie next president wa Kenya.Upige kura usipige kura tayari wakubwa wa Dunia walishapanga Odinga
 
Kuna inchi flani aliingia jembe la nguvu kwenye urais, akawanyoosha wazungu
Mpaka wakakimbizana, hivi hawakulijua hilo wakampa urais?
 
Back
Top Bottom