1. Kazi yenu ni kutoa passport sio kujua mtu anaenda wapi. Passport ni haki ya kila mtu. Jifunzeni kutoka nchi nyingine.
2. Sasa hivi Tanzania ajira hamna. Mnanyima watu passport maana yake wafe na njaa wakiwa Tanzania. Jifunzeni kwa nchi jirani. Kenya, Uganda hata Rwanda raia wao wanafanya...