uhalisia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hatupaswi kufurahia matokeo ya Kidato cha Nne, hayana uhalisia

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Toka mwaka jana nilianza kupata mashaka makubwa kuhusu haya matokeo yaliyosheheni division one za saba kiasi cha kutia shaka. Leo nimebahatika kupata sababu mbili za kuyapuuza haya matokeo ya kisiasa; 1. A kwa sasa inaanzia 75% badala ya 81%...
  2. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Porojo na Uhalisia Katika Kashfa ya Ndugai

    Abuu Kauthar Siku hizi kila jambo linalotokea ni hoja ya kudai katiba mpya. Ni hivyo hivyo imekuwa katika kashfa ya Job Ndugai ya kuipinga serikali na chama chake hadharani, jambo lililopelekea hasira za wana CCM na kulazimika kujiuzulu. Limezungumzwa sana suala la mihimili ya utawala...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Hii dhana ya mihimili ati inajitegemea ni dhana isiyokuwepo na inayoaminiwa na wanaharakati waliokwenye ndoto na si uhalisia

    Sayansi ya utawala inabainisha kuwepo kwa serikali ambayo ni mfumo wenye mihimili mitatu- watawala na watumishi wa dola, bunge na mahakama. kati ya hii mihimili mitatu hakuna unaojitegemea wala ulio huru kutoka kwa mwenzake. Na hii ndiyo maana ya mfumo. Si sawa kudhani kuwa ipo sehemu ya mfumo...
  4. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Je, CCM na TISS wanakuzwa nguvu zao kuliko uhalisia (Overrated)?

    Kumekuwepo na propaganda ya miaka mingi kuwa CCM inajua kuandaa na kulea viongozi sio tu ndani ya nchi mpaka nchi jirani (Enzi za Mwalimu) nakumbuka hta Mhe.Polepole alisema wana master plan ya kuongoza nchi mpaka 2075!! Kinachonishangaza toka Mama SSH aingie madarakani ni kama vile CCM...
  5. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Tozo za visima hazina uhalisia - mtazamo wangu

    Nilikuwa nasoma jarida moja nikaona kuwa mtu akichimba kisima kwa ajili ya matumizi yake ya nyumbani anatakiwa kulipia kodi ya shs 8,300 kwa mwezi. Wakati huo huo matumizi ya kawaida ya nyumbani kwa maji ya Dawasco hulipia kati ya 4000 na 10,000 hivi. kwa namna nyingine ni kama vile watu...
  6. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Lakini DPP tulikushauri ufute hii kesi ya Mbowe haina uhalisia wowote

    Mimi kama Wakili mkongwe ndani na nje ya nchi kwakweli sijawahi kushudia kesi yenye vituko na mikamganyiko mingi kama hii inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na wenzeke. Yaani Mawakili wa Jamhuri wanajichanganya wanaharibu mambo, mashahidi wanajichanganya hawaelewi ni wapi...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la wamachinga halina wala halijawahi kuwa na uhalisia hapa nchini! Tuache kujidanganya

    Kundi la vijana wasio na ajira rasmi linaongezeka kwa kasi kubwa sana, kila kukicha wanakuwa wengi leo kuliko jana. Mzee kikwete alikuja na ufumbuzi eti wa kujenga machinga complex ambayo matokeo yake haijapunguza tatizo hata tone moja. Namuona rais wa sasa anajaribu kupitia njia ileile eti...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kupitia Sabaya, mmeiona picha ya Hayati Dkt. Magufuli tuliyemlalamikia?

    Tunaendelea..... Katika awamu ya 5 mambo mengi ya hovyo yalifichwa kupitia propaganda mfu za uzalendo. Watu wengi waliumizwa na kudhulumiwa. Kesi za uongo na kubambikiza zilikuwa za kufikia tu. Tuliopewa macho ya kuona haya na wapenda haki tulipiga kelele ikaonekana tunakosa uzalendo...
  9. MWAG

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jamii Forums: Habari Katika Kurasa Salama

    Unajua nini kuna mitandao ya kijamii ukiifuatilia utacheka sana wakati mwingine inasikitisha kwasababu waandishi hawana tena uweledi yaani hawaandiki tena uhalisia wa maisha wanaandika kile bosi anataka hii ni hatari kwani kwani waandishi ndo watu pekee wanao weza kubadili uongo uonekane kweli...
  10. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa Mifumo ya Uzalishaji/Utawala na Jamii Zetu kwa Mfano wa Ng'ombe

    Ujamaa (socialism): Una ng'ombe wawili, na unampa jirani yako mmoja. Ukomunisti (communism): Una ng'ombe wawili, serikali inachukua wote wawili na inakupa maziwa. Ufashisti (facism): Una ng'ombe wawili, serikali inachukua wote wawili na kukuuzia maziwa. Unazi (nazism): Una ng'ombe wawili...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na Uhalisia wa Miamala ya Simu

    Dkt. Mwigulu Nchemba amesikika hadharani akisema miamala ya simu haijaathirika na uwepo wa tozo mpya kwa jina la uzalendo: Hii si kweli na huu ni ushahidi ukiwahusisha mawakala na wenye mitandao: Achilia mbali kuwa wengi wetu tuliokuwa wateja wa shughuli hizi za miamala tumeachana nazo...
  12. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Siasa za uwekezaji na uwezeshaji, tofauti na uhalisia wake

    Baada ya kuwa msomaji na mfuatailiaji na mchangiaji mzuri sana wa Jamii Forums kwa muda mrefu, ingawa uchangiaji wangu hapa JF umejikita katika mambo ya biashara, ujasiriamali na mengineyo machache, leo nimeona nitoe dukuduku langu kwa uchache kwenye siasa. Lakini mada yangu hii ya siasa...
  13. meningitis

    JamiiForums Tanzania Je, vitisho vya kuuawa Zitto vilikuwa na uhalisia?

    Hapa chini nawaletea kipande cha maelezo ya Zitto katika moja ya threads maarufu zilizowahi kutokea humu jamvini ambapo bavicha walikuwa wakishambuliana. #Ninasikitika sana kuona wanachama wa CHADEMA wanavyoweza kutumika kwa maslahi ya kundi fulani kuharibu heshima ya viongozi wao mbele ya...
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Askofu Cheyo zama za kujikomba zimeshapita, tafadhali punguzeni sifa nje ya uhalisia

    "Tangu uingie madarakani, tumeshuhudia serikali yako ikichukua hatua dhidi ya viongozi mbalimbali wenye tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka." Askofu Alinikisye Cheyo. My Take: Ukiondoa Kakoko na Sabaya who is the other? Kasome ripoti ya CAG halafu mngemuuliza mama vipi kuhusu kina...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jazanda ya Njozi: Wakiotacho hakina uhalisia

    Naendelea kuwaamsha walio lala kwa ukelele wenye kukidhi haja. Siku mbili nyuma nilihudhurisha uzi wenye kichwa au anuani isomekayo "Bahari imechafuka", yakasemwa yaliyosemwa,wengi wakasema nimevuta bangi,wengine nimekula nini ?, waliuliza,yaani wakawa na mshangao na kupuuza ila wapo walio...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kuna uhalisia kuhusu Corona hatuambiwi?

    Ndugu Watanzania wenzangu nawasalimu, Zipo nadharia nyingi kuhusu Ugojwa wa Corona, na kumekuwa na jitihada nyingi za ndani na nje ya nchi yetu za kupambana na virusi hivi vinavyotishia ustawi wa sayari yetu. Tumekuwa tukisikia tahadhari nyingi kuhusu matumizi ya Chanjo (Vaccines) za Corona...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Jacqueline Msongozi: Mgao wa dawa hauendani na uhalisia, wananchi wanahangaika

    Mbunge wa Viti Maalum (Ruvuma) Jacqueline Ngonyani Msongozi amesema Dawa zinazoenda Kituo cha Afya cha Msindo sio sawa na uhalisia wa eneo na wananchi bado wanahangaika Amesema mgao wa Dawa ni mdogo na haukidhi mahitaji. Naibu Waziri TAMISEMI, Festo Dugange, amesema Kituo kimekuwa kikipata Dawa...
  18. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Noorah aliimba uhalisia kabisa, huu ndio ulikuwa mziki wazee

    Hivi kuna burudani zaidi ya hii kwenye muziki? Halafu mtu atashangaa kwanini sipendi hizi takataka za Dabliyusibii! Af anatokea kenge mmoja anasema sikuhizi kuna mziki? Noorah was a pure talent huyu ndiye msanii ambaye aliingia mainstream bila kupitia u underground!
  19. U

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kulingana na Uhalisia: Namba mbili au namba tatu mmoja lazima apumzishwe

    Wana JF Nawasalimu wote Nianze kwa kusema mimi sio Mganga wala Nabii ila ninenayo ndiyo ukweli unaotokana na uhalali wa hatimiliki kwa mujibu wa maagano. Hizo namba tajwa hapo juu yaani 2 na 3 zina wenyewe ila bahati mbaya tu kipindi hiki kifupi wenyewe wamezikosa bila kutarajia na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wasomi wenye PhD Tanzania wametupa supplimentary ya Biashara na uchumi: soon Taifa litadisco

    Tulipoanza awamu ya tano nakukusanya wasomi wote mashauri nakuwaingiza wizarani na mashirika ya umma niliamini taasisi wanazoongoza zinakwenda kupiga hatua hasa yakimkakati endapo tu wasomi hao wataacha mentality za lecturers kwenye biashara na uchumi. Miaka michache baadaye walioteuliwa hasa...
Back
Top Bottom