uhalisia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Think2

    JamiiForums Tanzania Airport ya Arusha ni local sana kuliko uhalisia wa jiji lenyewe

    Sis watanzania na Serikali yetu hii yaani jiji la Arusha linakuwa na uwanja wa ndege wa ajabu ajabu namna ile mapato ya utalii yanaenda wapi? Kwanini serikali isiupanue uwanja na kuwa wakimataifa zaidi. Just imagine AFCON2027 itakuaje kama kiwanja cha ndege ndo kile ukitoa hako kajengo...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini na watu kuwajibika, basi AFCON 2027 inaweza kuwa bonge la failure badala ya fahari

    Suala la kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 kwa Tanzania, Kenya na Uganda ulitangazwa kama ushindi wa kihistoria kwa Afrika Mashariki. Lakini kadri siku zinavyosonga, ndivyo uhalisia unavyozidi kuwa mchungu. Ila nimeshangazwa sana na taarifa na habari za Tanzania kuomba msaada wa taifa la China mwaka...
  3. zaza1

    JamiiForums Tanzania “Wanaojitolea Wanapendelewa” — Huu Ni Mtazamo wa Akilini Mwake, Sio Uhalisia wa Mtaani

    Kauli ya Naibu Waziri Mhe. Regina Ndege Qwaray kwamba wanaojitolea wanapendelewa huku akisema kujitoa sio kigezo cha ajira, ni kauli inayokera na inayokosa uhalisia. Ukweli ni mmoja: hii ni tafsiri yake binafsi — akili yake — sio hali halisi inayowaumiza maelfu ya vijana. Kama kweli...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    JFs Members uzima upo? Nisiwachoshe niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Safari ya chuo kuelekea mtaani inaanza tu pale graduation inapoisha Hii naongelea experience yangu Nilipongenzwa kwa bashasha kede kede kwenye graduation yangu na kupewa moyo nishatoboa kazi zipo tu Sasa baada ya miezi...
  5. opondo

    JamiiForums Tanzania Nimepanga nisome open university degree ya ICT, Lakini malalamiko ya watu humu ni Mengi je ni uhalisia?

    Mimi ni mtumishi, Nilipata ruhusa ya kwenda masomoni lakini sikwenda kwasababu ya ukiritimba uliopo halmashauri kwamba ukienda masomoni basi uwezi kupanda daraja, na Mimi napanda daraja Mwakani, nimetimiza miaka mitatu ya ajira Sasa, naona nikasome kitu kingine, passion yangu ni Mambo ya...
  6. rushanju

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo uhalisia wa wakatoliki wa mchongo

    Hawa anayewalipa ni nani? Anafaidika nini? Je, wanadhalilisha dhehebu au wanadhalilisha ukristo kwa ujumla au wanajiaibisha wao?
  7. dosho12

    JamiiForums Tanzania Multiverse/parralel universe au wazo la many world interprentation wenye quantum mechanics je ni wazo tu kisanyasi au lina uhalisia ndani yake

    Multiverse ni wazo la kisayansi linalosema kuwa kuna uwezakano wa kuwa na ulimwengu au dunia nyingi na miongoni mwao huenda zikawa sawa na dunia yetu kumaanisha kuwa na version ya watu wa dunia na kanuni sawa na za dunia, ‎ ‎Wazo hili sio geni bali limeanza zamani watu kama Atomist [mwana...
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mistari hii kwenye alama hii inamaanisha kila mstari ni mita 100

    Kumekuwepo na video ambayo inasambaa kwenye mitandao wa facebook pamoja tiktok ikielezea kuhusu matumizi ya alama yenye nembo 50 na matumzi yake katika barabara. Kwa kutumia ufuatiliaji kupitia account rasmi ya RAS Tanzania (Taasisi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani Tanzania (Tanzani Road...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayokeketa mabinti yanajitetea ni kuwatuliza waishi na mwanaume mmoja ila kwa sifa walizonazo huku mitaani ni tofauti kabisa

    Kuna makabila bado yanaendelea na hizi tamaduni za kikatili za kuwakata clitoris mabinti wakiwa na imani kwamba watatulia kwenye ndoa Mfano kuna baadhi ya maeneo ya Singida, Dodoma na Manyara, yamekuwa yakiendelea na huu utamaduni lakini kwa intelejensia zinazokusanywa mitaani imefikia hatua...
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Aweso: Bili ya maji inayokuja iwe na uhalisia, watu hawakupata maji

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiongea na wananchi wa Bunju, ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji DAWASA kutoa bili zenye uhalisia kutokana na watu kukosa maji. Pia soma > GE2025 - Mamlaka za maji kudaiwa kubambikia wateja bills imeanza kitambo, kwanini Samia achukizwe kipindi cha uchaguzi?
  11. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu msioe wanawake wa aina hii. Kumbukeni dunia haina huruma kwa mwanaume

    Habari wakuu. Hapa naongea na Vijana we zangu Wanaoitafuta miaka 40 Na wale wanao jitafuta kimaisha miaka 25+ Kama ulikuwa na wazo la kuoa wewe mchizi wangu au umemuacha mke wako/mpenzi wako Kwa sababu mbalimbali na badae unafikiria kuoa tena basi weka akilini kwako hii mchizi wangu. Kamwe...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunajidanganya kuwa soko letu kwa wadada ni kubwa tukiwa na miaka 29-35 na kuendelea ila uhalisia sio huo

    Wana Jf salaam Nikipita pita kwenye mitandao naona wanaume wengi tunajifariji tukisema mwanaume anakubalika zaidi na wadada akiwa na miaka 30 kwenda juu, ila that's not a case, hata wanaume mvuto wetu huanza kupungua sana tukifika miaka 30+ Mwanaume utakua na soko kwenye miaka 30's kwenda...
  13. themanhimself176

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uhalisia wa mitandao Tanzania: Namna 'Jeshi la amani kwanza' linavyozima hoja za haki

    Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia kwenye zama mpya ambako mitandao imekuwa uwanja mkuu wa siasa. Na kadri wananchi wanavyozidi kuuliza maswali kuhusu uhuru, gharama za maisha, ajira, rushwa, na usimamizi wa rasilimali—ndivyo kundi fulani la “walinzi wa amani” linavyozidi kuonekana...
  14. scientificall

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa msemo wa waja leo waondoka kesho

    Habari wadau... Baada ya ahadi ya miaka mingi moyoni mwangu ya kwenda kutembea na kuijua tanga isemwayo kwa mengi. Sasa imewadia na nahitaji kutimiza nlichokiahidi moyoni mwangu. Nataka sasa nikayaone mazuri ya Tanga haswa upande wa totozi. Nataka nikatulie kwanza korogwe week then Handeni...
  15. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Kivunja chungu 'praying mantis' hana madhara kwa binadamu

  16. S

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Je, mvua kunyesha wakati jua linawaka ni ishara ya kuwa simba anazaa? Ama uhalisia ukoje?

    Wakuu Nimekumbuka ile dhana ya muda mrefu kuwa mvua ikinyesha basi ni ishara kuwa simba anazaa huko porini. Je wewe ulisikia nini kuhusu jambo hilo? Na je uhalisia ni upi?
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Uhalisia ni Polisi Walishindwa kulinda Mali za Raia kipindi cha Maandamano

    Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao. Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao. Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji? Kwanini Polisi waliiua watu?
  18. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Sarafina 1987: The Soweto youth uprising scene. Sasa nimeona maana yake, ina uhalisia kuliko nilivyodhania kabla..!!

  19. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wale mliokuwa mnampigia chapuo Gamondi yanga aje yanga mnazidi kuona uhalisia wake

    I salute you Wakuu Kama nakumbuka hapa kati wakati wa kocha Folz pale yanga watu wengi walikuwa wanashauri kuwa Gamondi arudi yanga tu haina haja ya kuzunguka Lakini shida ya Gamondi ile ile ndio iliwakwamisha yanga kumrudisha.. Tatizo la Gamondi ni hana subira hata kidogo yeye anajali pesa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tuangalie uhalisia wa kura alizopata Mama Samia

    Wao wanasema kapata kura milion 31 na ushee ambazo sawa na asilimia 98, Kiuhalisia huyu Mama hata kura milion 10 hazijafika,kwa hiyo tukimpendelea tukasema kapata kura milion 10 itakuwa sawa na kapata adilimia 31 ya kura zote,maana yake wanaompinga ni wengi zaidi kuliko wanaomkubali,ingawa...
Back
Top Bottom