Habari za muda huu.
Niende kwenye mada Moja kwa moja.
Chama Cha Mapinduzi hakijakosa hela kiasi cha kuandaa harambee ya watu kukichangia pesa za kuendesha shughuli za uchaguzi.
Miaka yote chama kimekuwa kikishiriki uchaguzi pasi na kuhitaji watu kukichangia.
Lengo kuu la harambee ile ilikuwa...
Je, unaweza kutumia nyenzo mbalimbali za kidigitali zinazokuwezesha kuthibitisha uhalisia wa picha?
Mdau, huku ukieleza nyenzo uliyoitumia, bainisha eneo halisi ambapo picha hii ilipigwa.
Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.
Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi...
Wajumbe amani iwe kwenu.
Katika maisha ya kawaida, huenda ulishawahi kutokewa na hii hali hasa katika hali ya msongamano wa watu au magali. Mtu anakuwa mbele yako, anatembea kwa kujivuta, au anaendesha chombo taratibu sana ilhali wewe una haraka zako na hataki umpite! Binafsi huwa nachukia sana...
Salaam
Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani.
Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
Leo kama zilivyo siku nyingi natumiaga pia usafiri wa umma. Leo nikapanda daladala za mlandizi wakati mimi natelemkia katikati kabla ya kufika mpaka wa Dar na Kibaha. Si unajua kwa mtu anayejielewa kubana matumizi?😏
Pale nilipopanda Mbezi mwisho, alipanda mdada mmoja umri wake yuko chini ya 20...
Gari V8 moja ni kipato cha mtu mmoja kwa miaka 30 kama kilivyowekwa kwenye mpango wa 2050 at a rate of 1.6 milioni Tsh per month
HATUTAFIKA POPOTE , NI KUJIDANGANYA
Miongoni mwa masuala yaliyofanikisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto ni ahadi nyingi alizotowa kwa raia wa Kenya.
Moja ya ahadi hizo ilikuwa ni ajira kwa vijana.
Limekuwa tatizo kubwa nchini humo, lakini Rais Ruto anasema tatizo hili halijaanza na yeye.
Source: TRT AFRIKA
Niwaslimu ndugu zangu na tuendelee kuuipa akili kazi.
Kuna TOFAUTI kati ya jibu na jawabu ,jibu ni maoni ya MTU kwa KADRI ya taarifa alizonazo na JAWABU ni uhalisia wa mambo bila kujali hali au mapokeo ya MTU husika (it's a fact based)
Sasa!!!
Watu wengi tunatamani majawabu Moyoni lakini...
Juni 19 ni Siku ya Selimundu (Sickle Cell) Duniani, ikilenga kuongeza uelewa kuhusu ugonjwa huu wa damu, changamoto za waathirika, na umuhimu wa elimu, upimaji wa vinasaba na huduma sahihi za afya.
Hata hivyo, kuna Taarifa Potofu nyingi kuhusu Seli mundu zinazosababisha hofu na unyanyapaa, na...
Umiliki na Usajili wa Mali
Wapenzi wageni, mabibi na mabwana, leo tunakusanyika kujadili mada muhimu inayohusiana na umiliki na usajili wa mali. Katika ulimwengu wa kisasa, neno "usajili" limekuwa na maana pana, na linaweza kuhusishwa na masuala mengi, ikiwemo usajili wa magari, nyumba, na hata...
Katika utulivu wa usiku, peke yako, kabla hujalala, kuna sauti ile ya ndani inayokuuliza:
“Ningekuwa nani kama singezaliwa hivi nilivyo?”
Sauti hii haijibu kwa haraka, haipigi kelele, lakini huacha mdundo fulani moyoni—wa tafakuri, wa uchungu, wa kukiri kimya kuwa maisha hayakuwahi kuwa meza...
Nimemsikia masanja mkandamizaji anapigia debe mradi wa maji mwanga katika segment yake maarufu kama mtalii wa ndani.
Kwenye tangazo Hilo masanja anasema eti kwenye mradi ule zimetumika trilioni 335 fedha za kitanzania.
Hili jambo linawezekanaje wakati hiyo hela kwa uelewa wangu ni bajeti ya...
Ni dhahiri kuwa mahakama ya Tanzania imeteleza vibaya kwenye kesi ya Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu. Hii siyo tena kesi ya kawaida, bali ni landmark case ya kuonesha ni kwa namna gani mhimili wa mahakama umegeuzwa kuwa chombo cha kisiasa na si tena kimbilio la wanyonge. Juzi, wakati kesi ya...
Tangazo ulitengenezwa kabla ya Mechi ya mkondo wa Kwanza May 17, 2025 shabiki akijigamba Morocco Kwa tutampiga na Kwa Mkapa hatoki Mtu.
Sasa kwao Berkane kashinda na Mechi haiko Kwa Mkapa lakini linaendelea kutolewa siku Hadi siku. Huu ni ukosefu wa ubunifu.
Project ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo.
Natabiri baada ya Uchaguzi Mkuu waliohamia Chaumma kwaajili ya kupata Ubunge hawatoamini macho yao baada ya kuukosa huo ubunge.
Wataanza kutoka Chaumma na kutangatanga kwingineko.
Siku zote muda ni mwalimu mzuri
Umewahi kukutana na mazungumzo mtandaoni yaliyo katika ujumbe mfupi yakihusisha watu maarufu au viongozi wa kisiasa mathalani kutoka makundi sogozi ya Whatsapp?
Je, umewahi kujiuliza kuhusu Uhalisia wake?
Usiwe mwepesi wa kuamini maudhui kama hayo kwani teknolojia ya Akili Mnemba inaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.