uhakika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sir Kisesa

    JamiiForums Tanzania Taarifa kabla hujasema chochote itafakari kwanza ukweli au usahihi wa hoja husika

    Ndio tittle ya uzi huu... Sote tunajua matokeo ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia kupelekea vijana wengi kutumia fursa hio vizuri wengine wanatumia vibaya. kuna watu wanatumia teknolojia kuiba, kutapeli na mengine kama hayo , kesi nyingi za kitapeli tumeziona kila kona pasina ukomo wake...
  2. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba misimu 3 makocha 7 anatafutwa kocha wa 8, mna uhakika kuwa shida yenu ni makocha?

    Hii sio afya kwa mafanikio ya wenzetu mbumbumbu, muda mwingine inabidi kuwapa ushauri tu ambao mnaweza kuchukua ama kuuacha ikiwapendeza kwa maana akuna Yanga Bora bila Simba imara na akuna Simba Bora bila yanga imara! Aiwezekani makocha ndio wawe mbuzi wa kafara Kila mara pindi mambo...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuwasaidia Wajasiriamali Kuzalisha Bidhaa Bora Ili Kupata Soko la Uhakika

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Mhe. Kigahe amabainisha hayo Aprili 16,2024 katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma wakati akijibu swali la msingi la...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dr Samia atamaliza Muda wake, Zahanati na Shule Hata Diwani anaweza kujenga, Tumuombee Aache Legasi ya uhakika 2030 sio Mbali.

    Watumishi wa Mungu tunaendelea kumwombe Dr Samia Suluhu Hassan ili Mwenyezi Mungu amjalie neema ya kuyafahamu haya na ampe nguvu na ujasiri wa kuyatekeleza kwa Uwezo wa Allah. 2030 sio mbali Dr Samia kwa vyovyotw vile hatakuwa tena Rais wa Tanzania baada ya hapo. Je tutamkumbuka kwa lipi...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtifuano wa Uchaguzi wa CHADEMA kwenye Kanda usipime. Hakuna mwenye uhakika wa kushinda

    Hii ndio Taarifa ya sasa inayozunguka kila mahali. === Pazia la uchukuaji na urejeshaji fomu za kusaka uongozi katika kanda nne za kiuongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), linafunguliwa rasmi leo Ijumaa Aprili 12 hadi 22, saa 10 alasiri. Nafasi zinazowaniwa ni mwenyekiti na...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

    Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa unlocked kwa software, Umeenda kuprint pdf stationery wezi wa data wananyonya folder zima la camera...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ukifanya biashara hizi na kuweka nguvu haswa uhakika wa kufanikiwa ni 100%

    Mafuta Vyakula Madini Usafirishaji Fedha Media Elimu Afya Dini/kanisa Michezo Utalii Mifugo Vifaa vya ujenzi Mimi nimejikita kwenye vyakula? Changamoto zipo ila napambana
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika CCM ikiondoka madarakani kwa njia yoyote ile haki na sheria, itadai haya yanayodaiwa na CHADEMA

    CCM hawataki mabadiliko ya haki kwa vile ubatili wa sasa unawanufaisha/yanawanufaisha. Siku ikitoka madarakani, CCM itayadai haya haya yanayopiganiwa na chadema maana ndio UKWELI NA HAKI. CCM tendeni haki ili kesho HAKI iweze kuwalinda, vinginevyo mnajipalia mkaa! Mkitoka mtakuwa kama KANU...
  9. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania CHEMSHA BONGO: Nina Uhakika watakaopata Hawatazidi hata Kumi, "KIPIMO CHA IQ"

    ☆☆Tupunguze Stress kwanza ¤☆☆☆ Angalia Video kwa makini sana Na ukipata Jibu niambie hapo Chini hiki ni kipimo cha IQ na utambuzi wa haraka na ueleze umepataje jibu Kila Nikikumbuka Jibu la Hilo swali lilivyopatikana Namuangalia Huyo mzee nacheka Sana maana Alivyoona wenzake wamepata ndo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nina Vifaa vya Kufanyia Biashara ya Chips. Nahitaji Connection ya Location ya Uhakika Hapo Dar

    Habari za Jioni wana Jamio Forums. Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu nzuri iliyochangamka niweke jiko langu la Kuuza Chips, Kuku, Mishkaki n.k. Pia kwa kufanya hivyo...
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Habari za uhakika Mayele anarudi Tanzania na anasajiliwa Azam FC

    Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha. Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya. Soka letu kivyetuvyetu.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yawapa uhakika wa huduma ya Maji wakazi wa Bonyokwa na Kisukuru

    Mradi wa kuboresha huduma ya maji Bonyokwa uliofikia asilimia 70 ya utekelezaji wake huku ukihusisha ujenzi wa bomba kubwa na kufunga pampu ya kusukuma maji (Booster pump) unatajwa kwenda kujibu changamoto za kihuduma katika maeneo hayo. Kukamilika kwa kazi hii kutasaidia kuongeza upatikanaji...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoenda tu Uwanjani kutizama Mechi Yanga SC husumbuka mno Kimatokeo, ila akienda ni uhakika 100%?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Replies ( Mirejesho ) yenu kutokana na Mada husika.
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ataka barabara za uhakika kijijini

    Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema umefika wakati wa kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuangalia namna ya kutengeneza barabara za zitakazodumu muda mrefu maeneo ya vijijini. Mwigulu amesema hayo alipojibu hoja ya dharura ya mbunge wa Rorya, Jafar Chege aliyeomba mwongozo...
  15. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Farhan, hivi ulichokiandika unamaanisha ni kweli hukujua? SIAMINI Ila huenda we ni kundi lile la wanafiki wapiga Mapambio mnaoogopa kukusoa

    Habarini Wanajukwaa Mimi nimeamka salama Chini ya Udhamini wa Majini ya Yanga yamenituma niende Twitter(X) Asubuhi ya Leo ila nilichokutana nacho nimeumia sana nikajiuliza hivi kwanini tuna watu hawa hii Nchi. Bahat mbaya wamepata bahat ya kujulikana na kupendwa ila hawana Msaada kabisa yani...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanafiki mnaomlaumu Refa Kayoko wa leo mna uhakika sikuwahi kuwaambia kuwa ni Mwananchi na Tajiri wa Ice Cream naye sasa Anahonga?

    Tatizo lenu baadhi yenu mkanichukulia poa sana hapa JamiiForums ila baadae huwa mnakuja Kunipigia Salute. Hapa hapa JamiiForums mwaka Jana ( 2023 ) nilisema kuwa Mwamuzi ( Referee ) Ramadhan Kayoko ni 100%. Mwananchi. GENTAMYCINE nakumbuka nilienda mbali zaidi na Kuwatahadharisheni mapema tu...
  17. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zenye umeme wa uhakika

    African Countries with Stable Electricity 1. Ghana 2. Cape Verde 3. Cote d'Ivoire 4. Algeria 5. Tunisia 6. Morocco 7. Seychelles 8. Mauritius 9. Egypt 10. Gabon 11. Benin Republic 12. Kenya 13. Botswana 14. Senegal Libya has the cheapest electricity and fuel prices in Africa. Fuel...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hizi Oral HIV test zina uhakika kiasi gani?

    Jamani hebu wataalamu niambieni. Maana mie ngoma ninayo miaka 20+ situmii ARV lakini nimepima zile oral mara tatu zote zinasoma negative. Sasa sijaelewa hii inakuwaje
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wapi Wanauza Power bank za uhakika?

    Kutokana na umeme kutokuwa wa uhakika ni vyema kuangalia plan B. Ni wapi wanauza power bank za uhakika zisizo feki zenye guarantee? Wadau wenye kujua tujulishane.
  20. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Taifa lisilo kuwa na Umeme wa uhakika ni Taifa liloamua kuwa masikini

    Habari wanajamvi! Kwa muda sasa tatizo la umeme linazidi kumea na hakuna matumaini ya huu mgao kuisha, Najaribu kujiuliza kama Mtanzania hivi serikali imeshindwa kabisa kumaliza tatizo la mgao wa umeme? Sina haja ya kuelezea Faida za nishati hii muhumu kwa maendeleo ya nchi hilo kila mtu...
Back
Top Bottom