Mchambuzi Farhan, hivi ulichokiandika unamaanisha ni kweli hukujua? SIAMINI Ila huenda we ni kundi lile la wanafiki wapiga Mapambio mnaoogopa kukusoa

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Habarini Wanajukwaa Mimi nimeamka salama Chini ya Udhamini wa Majini ya Yanga yamenituma niende Twitter(X) Asubuhi ya Leo ila nilichokutana nacho nimeumia sana nikajiuliza hivi kwanini tuna watu hawa hii Nchi.

Bahat mbaya wamepata bahat ya kujulikana na kupendwa ila hawana Msaada kabisa yani mtu mnametegemea awasaidie kwenye soka maana amefanikiwa kufika sehemu anayoweza kukutana na watu tofautitofauti au anaweza kuongea kitu kikawafikia wengi na mnajua kabisa huyu ni mtu wa soka.

Ila anakuja na Ngonjera za kwamba eti AFCON ya Mwaka 2023-2024 ndio imemfumbua kujua kua Ma Legend wanatakiwa wapewe kipaumbele linapokuja swala la Team ya Taifa katika Michezo.

Nimeuma sana coz mi hili swala sio kwamba nimeanza kuliona juz, hili lipo miaka nenda rudi sio kwa Team za Taifa tu hata Vilabu Vikubwa Ulaya vimefanya hili na vimefanikiwa sana..

Kilichoniumiza zaid ni pale Mchambuzi wa Maswala kama haya anatoka mbele za Umma kusema Issue hii Wakat AFCON imeisha na Nchi Yetu ilifanya UPUPU na kwenye Kamati ya Hamasa WAZIRI aliwaweka Wachekeshaji ambao sijui hata kama wanajua Sheria 4 za Mpira wa Miguu.

Ila Ulikaaa kimya Mkaona wale watu waliokosoa ni watu wasiopenda maendeleo ya hii Nchi..Leo tumeharibu Nchi iliyoheshimu Mpira na kumuheshimu Drogba anatoka huko anasema AFCON ya 2023-2024 Imemfunza eti tuwekeze kwa Ma Legend.

Frankly Mi hua ni shabiki ake sana Farhan ila kwa hapa Kijana Mwenzangu umepuyanga na kama upo humu au yupo mtu humu anamfahamu Mwambien ajirekebishe.

Yani najiuliza kwanini haukukusoa Ile Issue ya kina mwijaku na Baba levo+Joti?
Jibu najua utasema Hukujua.

Swali hapohapo kama hukujua jambo dogo kama hili Mambo makubwa ya Soka utakua na Uelewa nayo kweli?

#CHINI YA UDHAMINI WA MAJINI

ONA HAPA CHINI;

Screenshot_20240213-060852_X.jpg
Screenshot_20240213-060859_X.jpg
 
Wengi wa awa wachambuzi uchwara hawana ufahamu wa michezo Achana na soka ambalo kwa apa kwetu ndio kipaumbele Chao.

Wengi wamepata nafasi ya kuongea/(platform) kwenye redio, television, magazeti na majarida ila hawana upeo wowote, wapo wachache Sana ambao wanaelewa wanacho Fanya.

Baadhi ni machawa wa watu au vilabu vya soka, wengine hawajui kabisaa wanacho Fanya.
Kama mchambuzi wa soka hajui ata eneo ambalo mchezaji akifanyiwa faulo inakua pigo la penalty Ina maana anaulisha umma matango poli.

Mchambuzi anasema mchezaji aliyefanyiwa faulo nje ya eneo la penalty aka angukia ndani ya eneo la Penalty yeye ana uaminisha umma ni penalty Tena unabahatika kuona video za marejeo na Bado una kaza fuvu ni jambo la kushangaza Sana.
Ila baada ya muda awa wachambuzi ma kanjanja wataondolewa na mfumo tu.
 
sioni shida ya alichoandika.watanzania wengi hatuupendi ukweli, kwanza mpira wenyewe hatujui , wamejazana machawa huko AFCON, tena kaongea jambo jema sana
Kabisaa
Mi naona kaandika ukweli mtupu hvi Mwijaku na baba levo Wana athari Gani ktk soka?
Viongozi wa kiserikali walioenda ni kumi na Tano,wote hao wa Nini?!!Kwa Nini wasiende kina Pawasa,Kaseja,Kanavaro,Mwaikimba n.k
Hii nchi watu wapo kimaslahi binafsi tuuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Habarini Wanajukwaa Mimi nimeamka salama Chini ya Udhamini wa Majini ya Yanga yamenituma niende Twitter(X) Asubuhi ya Leo ila nilichokutana nacho nimeumia sana nikajiuliza hivi kwanini tuna watu hawa hii Nchi.

Bahat mbaya wamepata bahat ya kujulikana na kupendwa ila hawana Msaada kabisa yani mtu mnametegemea awasaidie kwenye soka maana amefanikiwa kufika sehemu anayoweza kukutana na watu tofautitofauti au anaweza kuongea kitu kikawafikia wengi na mnajua kabisa huyu ni mtu wa soka.

Ila anakuja na Ngonjera za kwamba eti AFCON ya Mwaka 2023-2024 ndio imemfumbua kujua kua Ma Legend wanatakiwa wapewe kipaumbele linapokuja swala la Team ya Taifa katika Michezo.

Nimeuma sana coz mi hili swala sio kwamba nimeanza kuliona juz, hili lipo miaka nenda rudi sio kwa Team za Taifa tu hata Vilabu Vikubwa Ulaya vimefanya hili na vimefanikiwa sana..

Kilichoniumiza zaid ni pale Mchambuzi wa Maswala kama haya anatoka mbele za Umma kusema Issue hii Wakat AFCON imeisha na Nchi Yetu ilifanya UPUPU na kwenye Kamati ya Hamasa WAZIRI aliwaweka Wachekeshaji ambao sijui hata kama wanajua Sheria 4 za Mpira wa Miguu.

Ila Ulikaaa kimya Mkaona wale watu waliokosoa ni watu wasiopenda maendeleo ya hii Nchi..Leo tumeharibu Nchi iliyoheshimu Mpira na kumuheshimu Drogba anatoka huko anasema AFCON ya 2023-2024 Imemfunza eti tuwekeze kwa Ma Legend.

Frankly Mi hua ni shabiki ake sana Farhan ila kwa hapa Kijana Mwenzangu umepuyanga na kama upo humu au yupo mtu humu anamfahamu Mwambien ajirekebishe.

Yani najiuliza kwanini haukukusoa Ile Issue ya kina mwijaku na Baba levo+Joti?
Jibu najua utasema Hukujua.

Swali hapohapo kama hukujua jambo dogo kama hili Mambo makubwa ya Soka utakua na Uelewa nayo kweli?

#CHINI YA UDHAMINI WA MAJINI

ONA HAPA CHINI;

View attachment 2902275View attachment 2902276
Sasa hayo si ni maoni yake! Inakuaje unatokwa hovyo na povu? 😤 Au wewe ni mmoja wa hao wachekeshaji vilaza waliopendekezwa na Waziri?

Utuambie hapa basi mlikuwa na mchango gani kwenye kambi ya Taifa Stars huko Ivory Coast!
 
Sasa hayo si ni maoni yake! Inakuaje unatikwa hovyo na povu? Au ulikuwa ni mmoja ya hao wachekeshaji vilaza mliopendekezwa na Waziri?

Utuambie hapa basi hao wachekeshaji walikuwa na mchango gani kwenye kambi ya Taifa Stars huko Ivory Coast! Halafu siyo poa sana kutuletea mabishano yenu ya twitter, sijui Instagram, au Facebook humu jamii forums.
Taarfa za jamii Forums unahisi hua zinatoka wapi asilimia kubwa kama sio kwenye differents platforms?

Ukianza kutumia Akili badala ya Mihemuko na NYEGE utakua na utaanza kuelewa Mambo.
 
Taarfa za jamii Forums unahisi hua zinatoka wapi asilimia kubwa kama sio kwenye differents platforms?

Ukianza kutumia Akili badala ya Mihemuko na NYEGE utakua na utaanza kuelewa Mambo.
Haya udiclee na interest yako sasa! Ulikuwa ni sehemu ya hao CHAWA mliopendekezwa na Waziri kwenda kula posho za bure huko Ivory Coast? Maana siyo kwa povu hili.
 
Back
Top Bottom