Kwa wengine nini maana ya maisha kama mambo ni hivi..?

Kwa wengine nini maana ya maisha kama mambo ni hivi..?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,569
Reaction score
89,213
FB_IMG_15751404236012847.jpg

Sijui maisha Yana maana gani kwa miondoko hii..!
 
Kwanini vitu kama hivi ukiviangalia Mapu.m.bu ndo yanauma?
 
Kila siku mnapiga kelele kuuenzi uafrika sasa mnalalamika nini? Bado wale wa kuchomwa tatoo usoni, tumboni na wale wa kukeketwa. Kubali kuenzi mila zetu si mnaona vimini ni balaa? Huyu hata matiti yapo nje na havai hata chupi lakini anaheshimika kuliko yule mwenye kimini na suruari ya kubana.
 
ha ha! Shikamoo mke wangu Kwanzaa..
Kikubwa ninacho jitahidi kuangalia hapa ni kwanini..? Nahitaji sababu,vitu vyengine havina mantiki hata kama ni kuendeleza uafrika na mila ama utamaduni.. ntakupa mfano huu binadamu wa kiume tunatahiriwa kwa kuwa kuna msingi kiafya kufanya hivyo n.k... wavaa vimini na suruali za kubana kwao sioni tabu ni unafanya hivyo kwa mazingira yapi..? Hapa ndipo wanaweza kukosea

Sasa Bibi hebu niambie huo mdomo kufanywa hivyo na maskio mantiki Ni Nini..?
Kenzy umepata mchumba?
Mchumba bado sijapata!!🤐
 
KENZY,
Marahaba mchumba. Hata mimi sioni mantiki ila nadhani kwa mila zao hapo mwanammea akimwona huyo mwali, anaisha kabisa! Uzuri wakwako kwa mwenzio ni kioja! Wamakonde je, umewasahau na tatoo zao na wagogo na ndonya na kung'oa meno ya chini.
 
Mi nafikiri mila nyengine Ni za kupuuza Kama hazina mantiki ya maana!!
Sisi waafrika huwa tunawashangaa wazungu kuvaa vichupi ama nguo za nusu uchi wkt huko mababu zetu ndio walikuwa wanaongoza!!.. Kama Bushman nyonyo nje tako nje!! Sijui hakukuwa na ngozi za kujistiri kufit maungo yao yote!!

Bibi mi naona mila nyengine ni upuuzi tu na hata tusiwalaumu wazungu kwa ukaaji nusu utupu ni asili ya wanadamu wote..
 
KENZY,
Ukiangalia picha na video za wenzetu za 1890 mpaka 1967 watu walikuwa wanavaa nguo ndefu sana. Baada ya wao kuja huku kwetu na kukuta tunatembea matiti nje na wanaume wanavaa lubega wakaamua kuigiza. Sasa sisi tunawalaumu wakati wenyewe wameigiza kwetu. Ingia picha za kalne ya kumi na sita, saba, nane na tisa uone mvao wa wazungu. Sisi ndo chimbuko la kuwafanya wakae uchi.
 
Back
Top Bottom