ugonjwa

  1. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania SoC02 UKIMWI siyo ugonjwa tishio tena, magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa, tuchukue tahadhari

    Nikiwa kama askari niliye mstari wa mbele kwenye sekta ya afya, nasikitika kusema UKIMWI siyo tishio tena kama ilivyokuwa zamani, bali magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa. Jamii inabidi iamke kutoka usingizini maana ubaya wa haya magonjwa ni kwamba hayana dalili za mapema kama ilivyo...
  2. Gama

    JamiiForums Tanzania ugonjwa wa Ndui walipuka Zimbabwe

    WHO wameshtushwa na mlipuko wa ugonjwa wa ndui katika nchi ya Zimbabwe hasa kutokana na idadi ya vifi vilivyosababishwa na mlipuko huo. Mamlaka zimeanza kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa huo ===== WHO triggers crisis response to Zimbabwe measles outbreak Isaac Kaledzi, Deutsche Welle - Yesterday...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wangu sitaki kuuficha

    Habarin za weekend Mim mwezenu mgonjwa sana napumulia mashine nikiwa natafuta kazi basi nilibahat kupata kazi sehemu moja uko posta sasa nilifurah nikasema now nitaweza kumudu familia mahitaj yake nisijue kuwa privete sector ni wanyonyaj picha inaaza hakuna nssf pili unapewa mkononi kiasi...
  4. Ked zee

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ngiri Maji Mawasiliano (Elimu kwa Wazazi kutatua ugonjwa mapema kwa watoto)

    Naitwa Emmanuel ni kijana wa miaka 28,nilizaliwa na tatizo la ngiri maji mawasiliano.Ni ugonjwa ambao ungetibika nikiwa bado mtoto mdogo,lakini kutokana na kutopata elimu sahihi,Wazazi wangu walishindwa kulivalia njuga swala hili.Mpaka leo hii naishi na tatizo hili .Napenda kuchukua nafasi hii...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujue ugonjwa wa shinikizo la damu

    UTANGULIZI Shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa makubwa yanayosumbua afya za binadamu, Shinikizo la damu laweza kuwa tatizo liliotokana na madhara ya magojwa mengine ya mifumo ya mwili au laweza kuwa la asili(awali). SHINIKIZO LA DAMU MAANA Shinikizo la damu ni musukumo wa damu ulioko...
  6. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu huu ni ugonjwa au madhara tu ya pilipili?

    Vipi hali zenu wakuu, kuna tatizo limemtokea brother, so nimeona nije hapa nitafute ufumbuzi wa tatizo kwa wale wanaofahamu aina hii ya tatizo. Ipo hivi, brother wangu ni mlaji wa pili pili, japo sio ile ya ukali wa sana maana huwa anaogopa usipate huko baadae. Juzi aliporudi nyumban alikuta...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unaujua ugonjwa wa Mafua ya Nyanya ulioanza kuivuruga tena dunia?

    Wakati dunia ikiwa bado na makovu ya ugonjwa wa Covid_19 ulioishambulia na kuua watu milioni 6.4, na ule wa MonkeyPox ulioua karibu watu 100 Afrika mwaka huu, kumeibuka homa ya mafua ya nyanya. Kumeripotiwa kuweko kwa visa vipya nchini India na kuanza kuibua hofu ya kuenea katika maeneo mengine...
  8. Dr Yesaaya

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujue ugonjwa wa UTI Kisha jikinge

    Jiepushe na Maambukizi katika njia ya mkojo kitaalamu – UTI (Urinary Tract Infections) Anaandika Dr MSANGY. 0752591744/0682080069 UTI – Ni maambukizi ya vimelea vya magonjwa katika mfumo wa mkojo – kuanzia katika figo (kidneys) unapochujwa mkojo hadi katika sehemu ya kukojoa yaan urethra. UTI...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Unene sio sifa ni ugonjwa, kwa hii speed NHIF itaelekea kubaya. Tubadilike

    Habari wana JF, Kadri siku zinavyozidi kwenda watu wenye uzito ulipitiliza wamekuwa wakiongezeka kwa kasi sana. Kwa Nchi za wenzetu wanauchukia sana unene kutoka na athari zake lakini cha kushangaza Tanzania ni Tofauti mtu anaponenepa hupewa sifa nyingi sana ikiwemo kuonekana maisha ameyapatia...
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Wagonjwa kurudia kufanya vipimo mara kwa mara katika hospitali tofauti moja ya sababu kuyumba kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema chanzo cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuyumba ni pamoja na kuwepo kwa matumizi yasiyo na tija kwa wagonjwa ikiwemo kurudia kufanya vipimo mara kwa mara katika hospitali tofauti. “Kwanini NHIF iko katika hatari? ni sisi wenyewe wananchi. Leo...
  11. MATTBOY

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa thyroid

    Habari zenu wakubwa na wataalam wa afya. Nisaidieni hapa, niko kwenye mahusiano na binti mwenye huu ugonjwa wa thyroid na tayari uvimbe imeonekana shingoni kwa pande zote mbili, sasa nimekuwa nikimuuliza yale anayoambiwa akienda hosipitali lakini amekuwa muongomuongo, ananiambia anaambiwa...
  12. Sagira

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuimarishe mapambano dhidi ya ugonjwa wa akili nchini Tanzania

    Unajiona sio mtu mwenye umuhimu tena kwenye haya maisha na hujui nini kimekukuta au wapi ulipokosea, unatamani kulia sana na upate mtu wa kumweleza unayoyapitia, umeamua kuwa mtu wa liwalo na liwe, sikia nafahamu maumivu uliyokuwa nayo unahisi watu hawajali kuhusu unayopitia siyo kweli fahamu...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Congo DR yatangaza Ebola kurejea tena nchini humo

    Wiki moja baada ya kufanya uchunguzi wa chanzo cha kifo cha mwanamke aliyefariki katika mji wa Beni, Serikali nchini humo imetangaza kurejea tena kwa ugonjwa huo hatari katika jimbo la Kivu Kaskazini. Taarifa hii inakuja ikiwa ni mwezi mmoja tangu ilipotangazwa kumalizika rasmi kwa ugonjwa huo...
  14. Yese Kajange

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ufahamu ugonjwa wa Bawasiri

    Bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu iliyopo ndani au katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa. Pia bawasiri unaweza kusababisha kujitokeza kwa kinyama kwenye njia ya haja kubwa au puru. AINA ZA BAWASIRI. Kuna aina mbili za bawasiri nazo ni 1. Bawasiri ya...
  15. Patandi

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Matibabu ya mgonjwa wa akili

    Wakuu heshima kwenu. Naomba msaada wenu kuhusu matibabu sahihi ya ugonjwa wa akili na mahali yanapopatikana. Nina ndugu yangu alianza kusumbuliwa na ugonjwa huu tangu akiwa mdogo. Baada ya kutibiwa huku kijijini bila mafanikio alipelekwa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi. Pale Muhimbili alifanyiwa...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania VIKOBA na Madeni vyatajwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa Afya ya Akili. Wanawake wahanga wakubwa

    Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022 Suluma amesema takwimu zilizofanywa na Hospitali ya Mirembe mwanzoni mwa mwezi Julai 2021 zimebaini Tanzania kuna wagonjwa 6,000...
  17. Lastmost

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuku kupata vipele kwenye utumbo unasababishwa na nini?

    Salaam, Habari za mchana huu? Wadau ninaomba kujua kwa mwenye uelewa wa huu UGONJWA. Leo nimechinja kuku, nikakuta utumbo wake una vipelevipele, ila kuku alikuwa mzima kabisa kabla sijamchinja. Wataalamu naomba kujua ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini?
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Ugonjwa wa Homa ya Mgunda hakuna mgonjwa mpya

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema: “Taarifa za ufuatiliaji wa ugonjwa huu kutoka kwa wataalam wetu walioko Mkoani Lindi zinaonesha kuwa toka tarehe 18 Julai 2022 hadi sasa hakuna mgonjwa mpya aliyeonesha dalili za ugonjwa huu. Hivyo hadi kufikia asubuhi ya leo tarehe 29 Julai 2022, idadi ya...
  19. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Kanda ya Ziwa ina Kiwango kikubwa cha Ugonjwa wa Cancer kuliko Maeneo mengine?

    Wakuu hili swali nauliza kwa wema kabisa. Kuna kiwango kukubwa cha wagonjwa wa Cancer kwa upande wa kando kando ya Ziwa Victoria kuliko maeneo mengine nchini. Mtakumbuka hata Mama Samia alieleza nia ya Serikali kujenga kituo kikubwa Mwanza chenye kutoa matibabu ya Cancer Sasa najiuliza: 1...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ni Ugonjwa au kujiendekeza??

    Habar wakuu Nimekuwa na shida kubwa sana ya kuwachukia wasichana wadodo wadogo under 30.. yaani hata sitamani kuwa nao kwenye mahusiano. Najikuta tu nampenda majimama na masingle mother je hii itakuwa ni Ugonjwa au kujiendekeza tu?. Nahitaji msaada na ushauri wenu mm Niko na 30yrs
Back
Top Bottom