ugonjwa

  1. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa Chips husababisha ugonjwa wa Macho

    Chips ni chakula maarufu sana kinachotumiwa na watu wengi, hasa vijana. Baadhi ya watu huamini kuwa chakula hiki husababisha ugonjwa wa macho hasa kutoa machozi, maumivu ya mishipa ya macho pamoja na upofu. Je, kuna ukweli wowote kuhusu madai haya?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Chipsi na ugonjwa wa macho

    Rafiki yangu anasumbuliwa na macho hasa kutoa machozi na mishipa ya macho kuuma, alijaribu kuuliza baadhi ya watu wanasema aache kula chipsi. Je kuna uhusiano wowowte kati ya kula chipsi na ugonjwa wa macho?
  3. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kila nikimkumbuka moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?

    Shalom, Kwa sisi wasabato leo ni siku ya kwanza ya wiki, Nikirudi kwenye mada, nimemkumbuka sana mwandani wangu hadi yani nakuwa naweweseka, nikiona jina lake au text moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?
  4. Abie

    JamiiForums Tanzania Ulitumia dawa au matibabu gani kupona ugonjwa uliokusumbua kwa muda mrefu?

    Wakuu salaam, Watu wengi tumekuwa tukihangaika kupata matibabu ya magonjwa mbalimbali yanayotusumbua kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote. Tunatembelea hospitali mbalimbali, kupata vipimo na kupewa dawa (medications) tofautitofauti lakini mwisho wa siku hatupati nafuu. Lakini kwa upande...
  5. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Siku ya ugonjwa wa kudhoofu mifupa 'Osteoporosis'

    Oktoba 20 kila mwaka huwa ni siku ya ugonjwa wa kudhoofu kwa mifupa (Osteoporosis). Ugonjwa huu hufanya mifupa iwe dhaifu, ipungue ujazo wake na iwe kwenye hatari kubwa ya kuvunjika kirahisi pasipo kuhitaji mgandamizo mkubwa. Dalili muhimu za ugonjwa huu ni kupatwa na maumivu ya mara kwa...
  6. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa homa ya manjano (Yellow fever)

    Ugonjwa wa homa ya manjano (Yellow fever) husababishwa na vimelea vya virusi kutoka genus (jinasi) ya Flavivirus ambao huenezwa na Mbu. Mbu hao hupatikana kwa wingi katika sehemu za ukanda wa Joto, barani Afrika na Amerika ya Kusini. DALILI Dalili za ugonjwa huanza kuonekana kati ya siku 3...
  7. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake

    UGONJWA WA EBOLA ULIANZA VIPI NA WAPI? Ebola Virus Disease - EVD (Ugonjwa wa Virusi vya #Ebola) awali ulijulikana kama Ebola haemorrhagic Fever. Ni ugonjwa wenye madhara makubwa kwa Binadamu ikiwamo kusababisha kifo ikiwa haujatibiwa Ebola kwa mara ya kwanza ilionekana mwaka 1976 katika...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hapa nilipofika nimechoka, nisije pata ugonjwa unaokosa dawa. Wanawake mnataka nini?

    Unampata mwanaume mchekeshaji ana pesa. Unaenda kutoka tena na mwanaume mkimya hana pesa. Ukimpata mwanaume MKIMYA unaenda kutoka na mwanaume MCHEKESHAJI. Ukimpata mwanaume hana PESA unaenda kutoka na ASIYE NA PESA. Ukimpata ASIYE NA PESA unaenda kutoka na MWENYE PESA. DADA ZANGU MNATAKA NINI...
  9. N

    JamiiForums Tanzania BREAKING NEWS: Enock Mwepu wa Brighton na Zambia hatacheza tena soka, kakutwa na Ugonjwa wa Moyo

    Habari mbaya sana maskini ya Mungu, kijana mdogo kabisa! Pimeni wachezaji jamani, wengine walisajili mchezaji mgonjwa wa Ini kwa mbwembwe kisa katoka UK na wanataka kumuacha Januari, dah! ======= BREAKING NEWS DARK DAY FOR ZAMBIA Shattered dreams, Sorry Computer Enock Mwepu has been forced to...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kifafa usikilizeni redioni. Simulizi yake ni ya kutishaa!

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 1986 nikiwa na ufahamu na akili timamu, sikuwa naelewa kifafa ninini ila nilikuwa na maswali mengi sana Kila nikimtazama mama yangu mzazi ambaye asilimia kubwa mwili wake ulitawaliwa na vidonda. Nakumbuka Kuna wakati tukiwa kisimani mama alitumbukia kisimani si mara Moja...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa akili tishio nchini, wagonjwa 30-70 wanapokelewa Mirembe kila siku

    Tukielekea siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka, hospitali ya watu wenye ugonjwa wa akili, Mirembe imetoa takwimu ya wagonjwa inayowapokea kwa siku. Mirembe inapokea wagonjwa 30 mpaka 70 kila siku. Inawezekana visa vingi vya mauaji/kujiua vinayotokana na...
  12. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Wivu ni ugonjwa, na wahusika ni watu wakaribu siku zote

    Kindetawili Tega: Mayor Quimby ana roho mbaya sana. Waulize sasa watu wanao mjua huyo Mayor.. Katika watu 100 ukibahatisha mmoja ndio anamajua huyo Mayor na anatakwabia yupo tofauti na anavyoongelewa. Wakati huo huo utakutana na watu 1000 ambao awajawahi kumuona ila wanajua mafanikio yake...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kuoza kwa Meno (Dental Caries) ni ugonjwa wa Kuambukiza

    Na Daktari Augustine Rukoma Miaka ya nyuma iliaminika kuwa ugonjwa wa kuoza kwa meno si wa kuambukiza; lakini tafiti nyingi zilizofanyika zimedhihirisha ni ugonjwa wa kuambukiza. Jino lililooza linaweza kuambukiza meno yaliyogusana nalo na pia mgonjwa aliyeoza meno...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa Ebola, dalili, unavyoambukizwa, madhara...

    Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vujulikanavyo kitaalam kama (Ebola Virus). Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za virusi zinazosababisha kutoka damu sehemu za wazi za mwili mfano puani , masikioni , na machoni. Ugonjwa huu unaathiri binadamu na...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Uganda: Ukaguzi waimarishwa baada ya kutokea kwa mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    Ulinzi umeimarishwa kati ya wasafiri wa ndani, wanaotoka na kuingia nchini Uganda ikiwa ni hatua za makusudi zilizochukuliwa na Serikali ya nchi hiyo katika kuzuia virusi vya ugonjwa wa Ebola kusambaa ndani na nje ya nchi. Chanzo cha kirusi hiki hadi sasa hakijulikani lakini popo aina ya...
  17. Dr Adinan

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Kisukari na Namna ya kuyaepuka: Ugonjwa wa Figo

    Habari yako ndugu. Karibu tena, tunaendelea na makala zetu kuhusu madhara ya kisukari. Kisukari huharibu figo kwa namna mbili: namna ya kwanza ni madhara ya moja kwa moja yatokanayo na uwepo wa kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu. Tulijifunza kwamba kisukari husababisha shinikizo la damu...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Ugonjwa wa Surua

    Surua ni nini? Surua au kwa Kiingereza “measles” ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote ila huathiri zaidi watoto. Dalili za awali za surua ni koo kuuma, kikohozi , homa na madoa ya rangi ya kijivu au nyeupe kwenye sehemu ya ndani ya mashavu...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua Nchini

    Serikali imetangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika baadhi ya maeneo baada ya uchunguzi kufanyika na kubaini wagonjwa 54 lakini hakuna taarifa ya kifo. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema uchunguzi wa sampuli za Julai hadi Agosti 2022 umeonesha mlipuko upo katika Halmashauri 7 zikiwemo...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani (WHO): Mwisho wa Ugonjwa wa COVID-19 unakaribia

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka Nchi mbalimbali kuendelea kuchukua hatua za kupambana na Ugonjwa wa UVIKO19 kwa kuwa takwimu za maambukizi zimeshuka kwa kiwango cha chini kuliko wakati wote tangu Machi 2020. Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus licha ya kutotaja namba...
Back
Top Bottom