ugonjwa

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu ugonjwa wa kupoteza ufahamu au kusahau (Dementia)

    Ugonjwa wa kupoteza fahamu (Dementia) ni nini? Neno ‘Dementia’ (ugonjwa wa kupoteza ufahamu) linaelezea dalili mbalimbali kama vile upotezaji wa kumbukumbu, matatizo ya kufikiria au kuongea, na mabadiliko katika hisia na tabia. Ugonjwa wa kupoteza fahamu (Dementia) husababishwa na magonjwa ya...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Katavi: Ugonjwa wa Surua umeua Watoto 12 Wilaya ya Mlele

    Jumla ya watoto 12 wamefariki kwa ugonjwa wa Surua, katika wilaya ya Mlele tangu Desemba 2022, mkuu wa wilaya Majid Mwanga ameiambia BBC. Aliongeza kuwa watoto 847 wameambukizwa ugonjwa wa surua wilayani humo kati ya Desemba na Februari. Wahudumu wa afya kufikia sasa wamewachanja watoto 16,480...
  3. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Obsessive Compulsive Disorder: Ugonjwa wa Akili unaomfanya mtu, kujihami, kuzingatia au kuhakiki mambo/vitu mara kwa mara

    Obsessive Compulsive Disorder (OCD) ni Ugonjwa unaomfanya Mtu kuwa na Hofu au Wasiwasi kila mara pamoja na kupatwa na Huzuni kwa muda mrefu. Mtu mwenye tatizo hili huwa na tabia za kurudiarudia vitu. Dalili za Mtu mwenye OCD ni kuwa na mawazo ya kuogopa, kuhofia au kuhisi una ugonjwa fulani...
  4. ommytk

    JamiiForums Tanzania Tanzania ugonjwa ni mtaji wa kuomba inatia huruma sana

    Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ... Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio inakuwa mtaji wake tena kuingia barabarani na kuomba hii sio sawa kabisa
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Maradhi ya kisonono au gonorrhea

    Kisonono (gonorrhea) ni nini? Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu zenye unyevunyevu na joto mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa wanawake (cervix), mirija ya...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watu 1002 wafariki kwa Ugonjwa wa Kipindupindu Nchini Malawi

    Wizara ya Afya ya #Malawi imesema wanakabiliwa na uhaba wa chanjo na kuwa idadi ya watu kwa jumla walioambukizwa Kipindupindu tangu Mwaka 2022 mpaka Januari 24, 2023 ni 30,600. Novemba 2022 Nchi hiyo ilipokea dozi milioni tatu za chanjo ya Kipindupindu kutoka Umoja wa Mataifa (UN) lakini idadi...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WHO yaitangaza Uganda kuwa haina tena ugonjwa wa Ebola

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limefikia maamuzi hayo ikiwa ni baada ya Siku 113 tangu Ugonjwa huo ulipoingia nchini humo na kusambaa katika maeneo ya jiji la Kampala huku ukisababisha vifo 55. Katika kukabiliana na maambukizi, Rais Museveni aliziweka kwenye vizuizi Wilaya mbili za Mubende na...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kutunza vitu vya zamani au chakavu ndani ni Ugonjwa wa Akili?

    Kitaalamu tatizo hili hufahamika kama Ugonjwa wa Kuhodhi (Hoarding Disorder) ambao ni hali ya #AfyayaAkili ya kuhitaji sana kuhifadhi idadi kubwa ya vitu hata visivyo na thamani yoyote na kupata shida wakati wa kuviondoa. Mtu mwenye Ugonjwa huu hutunza vitu kama Magazeti ya zamani, Bidhaa za...
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nawahi kuamka nikiwa sina uchovu sehemu zenye joto ila naamka kwa kujivuta vuta sehemu zenye baridi, huu ni ugonjwa?

    Nimeanza kuona kama ni ugonjwa fulani hivi, nipo mikoa yenye baridi kwa asili huwa nikiamka naamka kwa kujikokota sana na hata ratiba za mazoezi muda mwingi napuuzia; inabidi nivute vute muda sitoki kitandani mpaka nikikaribia kwenda kwenye shughuli zangu. Mikoa yenye joto ikifika tu hata saa...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kama una ugonjwa unaokupa tabu maishani na unarithishwa fikiria kuhusu kuasili

    Nimetoka kucheki documentary ya magonjwa yanayorithika nimeona nije kuweka maoni, Magonjwa ya kuruthi: kifafa cha kurithi. sickle cell. CCHS ; tunavyopumua huwa hatufikirii kupumua, wenye ygonjwa huu inabidi wafikirie ili wapumue, wanapolala inabidi watumie mashine kuwasaidia. Kansa ya mifupa...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nahisi nimepatwa na ugonjwa wa akili (Bipolar disorder)

    Nahitaji nimepatwa na ugonjwa wa akili please kindly psychologists naomba msaada wenu wa haraka sana nitawalipa pesa yoyote Ile mnayohitaji tafadhalini jamani. Kuna muda napatwa na moods swing na kuna muda napata euphoria ndugu zangu kindly I need help wakuu hali si hali, please I need your...
  12. Nsumba ntale tz

    JamiiForums Tanzania Mods futeni tena na huu uzi: Tumia dawa hii utapona ugonjwa wa sickle cell ndani ya miezi 3

    Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu bila kuweka maji mpaka viungue kabisa kama mkaa kufikia hatua ya kusaga na kupata unga wake, baada...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Serikali, hata haya hamyaoni?

    Hivi serikali kwa kimya chetu mnadhani mmetushawishi? Hivi hata haya siyo ujanja ujanja wenu usio kubalika? 1. Malipo ya shule vyuo vikuu tunakolipa kupitia loan board 100% + interest. Kwa maana vyuo vya umma havina tofauti na vyuo binafsi. 2. Malipo ya hospitali ambapo dawa, kumwona daktari...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa matibabu ya ugonjwa wa kutoka malengelenge kwenye ngozi

    Pemphigus Vulgaris Nina ndugu yangu ana tatizo la ngozi kutoka malengelenge,tumetumia dawa nyingi lakini mafanikio ni madogo. Nomba kama kuna mtu alishakutana na mgonjwa wa hii hali na kutibiwa akapata nafuu/kupona anisaidie alitumia dawa gani? Kuna mtu kaniambia kuwa injection hii "RITUXIMAB"...
  15. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Members naomba kuja, utando mweupe ukeni ni ugonjwa au

    Nimekutana na pisi kali kama mbili hivi, wakati wa sex kuna utando mweupe unatoka ukeni ,kila nikisex unatoka, Naomba kujua
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania UTI sugu kwa wanawake

    UTI ni ufupisho wa maneno Urinary Tract Infection, au kwa kiswahili ikiwa ni maambukizi ya mfumo wa mkojo ambao huhusisha figo, kibofu cha mkojo, mrija wa mkojo pamoja na mrija unao unganisha figo na kibofu cha mkojo. Maambukizi haya kwa kiasi kikubwa husababishwa na bakteria jamii ya E...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Kingatiba ya Mabusha na Matende yatolewa Dar, Kata ya Tandale yaongoza kwa maambukizi

    Zaidi ya wananchi milioni nne wa Dar es Salaam katika Halmashauri za Temeke, Kinondoni na Ilala kuanzia wenye umri wa miaka mitano wameanza kupatiwa tibakinga dhidi ya ugonjwa wa matende na mabusha kuanzia Kata ya Tandale ambayo ina idadi kubwa ya wagonjwa kwa Manispaa ya Kinondoni. Kauli hiyo...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Bata wangu anaumwa ugonjwa gani?

    Wana JF, Macho ya bata wangu yanatoa mapovu halafu yanakuwa Kama yanataka kuziba kabisa, huo ni ugonjwa gani? Unatibiwaje?
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Siku ya Ugonjwa wa Kisukari Duniani

    Siku ya Ugonjwa wa Kisukari Duniani inatoa fursa ya kuongeza uelewa wa ugonjwa wa kisukari kama suala la afya ya umma duniani na nini kifanyike, kwa pamoja na kibinafsi, kwa ajili ya kuzuia, kutambua na udhibiti bora wa Ugonjwa huo Ugonjwa wa Kisukari ni hali ya Kiwango cha Sukari kuzidi kwenye...
  20. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maji ya madafu yanasababisha ugonjwa wa Mabusha

    Inaaminika kuwa ugonjwa wa mabusha husababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Madai haya hupata mashiko makubwa zaidi kwa kuwa tatizo hili huwapata wanaume wengi wanaoishi Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi, ambako madafu hupatikana kwa wingi. Madai haya yana ukweli kiasi gani?
Back
Top Bottom