Congo DR yatangaza Ebola kurejea tena nchini humo

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,123
Wiki moja baada ya kufanya uchunguzi wa chanzo cha kifo cha mwanamke aliyefariki katika mji wa Beni, Serikali nchini humo imetangaza kurejea tena kwa ugonjwa huo hatari katika jimbo la Kivu Kaskazini.

Taarifa hii inakuja ikiwa ni mwezi mmoja tangu ilipotangazwa kumalizika rasmi kwa ugonjwa huo mwezi Julai 2022. Huu unakua mlipuko wa pili kutokea katika kipindi cha mwaka mmoja na mlipuko wa 14 tangu mwaka 1976.

Wanasayansi nchini humo wanasema itakua ngumu sana kuitokomeza kabisa Ebola lakini inawezekana kuzuia maambukizi kwenye maeneo mengi.

===============================

The authorities in the Democratic Republic of Congo have declared a resurgence of Ebola, following confirmation of a case in the eastern province of North-Kivu.

A woman died last week in the town of Beni. It is the second outbreak in the country this year -- the previous epidemic was declared to have ended in July.

The WHO's Regional Director for Africa, Matshidiso Moeti, said the authorities in North-Kivu had successfully stopped several flare-ups of the deadly virus before and was confident they would bring this one under control soon.

Scientists say it is unrealistic to think Ebola will ever be eradicated, but it is now easier to prevent a crisis.

This is the 14th outbreak in DR Congo. The first outbreak was back in 1976.

BBC
 
Mamlaka za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuzuka upya kwa Ebola, kufuatia uthibitisho uliopatika katika Jimbo la Kivu Kaskazini.

Mwanamke aliyefariki katika Mji wa Beni inadaiwa alikuwa na Ebola.

Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa WHO, Matshidiso Moeti, alisema mamlaka za Kivu Kaskazini zinapambana kudhibiti maambukizi zaidi

Wanasayansi wanasema ni jambo lisilowezekana Ebola itatokomezwa, lakini sasa ni rahisi kuzuia maambukizi zaidi.

Huu ni mlipuko wa 14 nchini DR Congo, Mlipuko wa kwanza ulikuwa mnamo 1976.

...............

Ebola back in DR Congo weeks after it was declared over

Back
Top Bottom