Baada ya Msanii Zuchu kuandika ujumbe wa kutengana kimapenzi na msanii Diamond platnumz, anaejiita mtoto wao Baba Levo amesema atahakikisha ugomvi wao unaisha.
Ameandika Baba Levo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii,
"Nitahakikisha Ugomvi wa Baba na Mama yangu unaisha sitaki kubaki...
Kutembea na sime kwa wamasai haijaanzia leo ni jadi yao na wamasai hawana ugomvi na mtu.
Kuna ajenda fichika juu ya operesheni inayoendelea Zanzibar dhidi ya wamasai wenye sime. Wazanzibari wamekuwa na ubaguzi sana dhidi ya watu toka bara.
Wamasai wanatokea bara na wanazidi kuongezeka huko...
Habari wadau.
Ugomvi mkubwa wa mirathi ya marehemu Nelson Mandela umefikia pabaya. Baada ya baadhi ya wanafamilia kuanza kuuza mali za Marehemu.
Watoto na Wajukuu wa mandela wameingia kwenye ugomvi mkubwa wa kugombania mali za babu yao marehemu Mandela.
Africa tunafanana tabia. Kwenye swala...
Naamini izi ni habari mbaya Sana kwa Iran,proxies wake na Israel haters wote, sasa kama maca kwenyewe wanajiunga na wayaudi Sisi ni nani hata tujitenge
Hivi visiwa hugombewa baina ya Iran na falme za kiarabu yaani UAE, sasa Urusi wamejaribu kukingia kifua UAE, mara moja Iran ikamuamuru balozi wa Urusi aje ajieleze..
=========
Iran summoned Russia's charge d'affaires in Tehran for reprimand after Moscow challenged Iran's disputed claims to...
Ikumbukwe kuna kipindi Putin alikua kiboko cha haya magaidi, kayalipua sana ila hivi majuzi haeleweki eleweki, ila inawezekana kutoeleweka kwake kunatokana na aibu anayofanyiwa kule na kataifa kajirani, Ukraine...........hiyo aibu imemfanya achanganyikiwe....
Prime Minister Benjamin Netanyahu...
Washabiki wengi wanaoshabikia Timu ya Simba wamekaa kiugomvi ugomvi
Tofauti na timu zingine Kama Yanga , Azam, n.k tatizo linakuwa nini?
Maana wao wakifungwa wanafanya fujo ushabiki wao ni wa fujo fujo tofauti na timu zingine mfano Timu ya wananchi (Yanga)
Mchungaji ☝️☝️na mwimbaji wa injili ndugu Mbarikiwa Mwakipesile
Mtoto ☝️☝️wa Mch Mbarikiwa Mwakipesile anayedaiwa kuuliwa na aliyekuwa mkuu wa TISS akishirikiana na RSO wa Mbeya..
==================================================
Huyu mchungaji ni kiongozi wa huduma ya kutangaza injili...
Baadhi ya maneno kwenye hotuba yake yanadai kuwa kuna mpasuko ndani ya chama ambacho alikuwa anakinanga na akaenda mbali kuashiria kwenye hicho chama wapo wanao muunga mkono ndiyo maana kuna huo msuguano.
Huku uswahilini watu wanao fuatilia mambo yasiyo wahusu wamepewa jina baya sana. Au basi.
Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu.
Pia amewataka wanaMagu...
Fukuto huko ndani ya chama chao.
Kila mtu anaona amezidiwa katika level ya uchaww Kwa kuwa chawa wa mama wako hoti imeelezwa kuwa wanakwapua nafasi nyingi za uteuzi na nyazifa mbali mbali kuliko vyama rasmi vya chama hiko.
Hapa chini kwenye clip sikiliza Kalipio hilo inayosambaa mitandaoni.
kwa nini wa africa tunapenda ugomvi ?kama mkataba bandari kati ya Tanzania na DP World kuna wanaona ni mkataba ni mzuri na wengine ni mbaya kwa nini wasiitane wakakaa pamoja wakaelewashana mambo yakaisha kuliko kutukanana na kupelekana police na mahakamani? wanaolumbana wote ni wantanzania...
Inakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani/ Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe (Mwanajeshi) kuchezea Kichapo (Kipigo) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga...
Picha: Nape Nnauye
Habarini JF GT!
Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu.
Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
Nimeona niilete hii mada, kwa sababu wengi huwa tunahisi ya kuwa maisha ni sasa, bila kukumbuka kuna ya kesho.
Kumekuwa na kawaida ya mahusiano mengi kuvunjika, ingawa kwa asilimia kubwa usababishwa na hawa wadada wanaojiita /wanaojiona ni warembo kweli kweli.
Huwa wanawacha wapenzi wao kwa...
Mbunge wa jimbo la mtama ndugu Nape Nnauye aliwahi kusema kuwa kifo cha rais Magufuli ni Mungu ndiye aliye amua ugomvi, swali langu kwake je, kifo cha Membe ni Mungu pia ameamua ugomvi dhidi ya ndugu Cyprian?
Fundisho: Tuchunge midomo yetu, tusiendeshwe na hisia zetu, tutumie akilizetu vyema ku...
Hakika Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na kwake magomvi huyatolea uamuzi kwa namna anavyoona yeye ikimfaa.
Kama alivyotujuza mwendazake Membe kwamba ugomvi wake na Magufuli uliamuliwa na Mungu ndivyo sasa ugomvi wake na Musiba nao umeamuliwa na Mungu 😅.
Mungu fundi nyie!
Napenda kukalibisha uchangiaji wa maada,ili watu wapate kujua,kutokana na ukubwa wa elimu za Dini tofauti
Sipendi michango ya matusi au kukashifu Dini ya mwingine,kwani naamini hakuna Dini au dhehebu linalofundisha waumini wake matusi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.