Warembo jitahidini sana mvunjapo Mahusiano na wanaume Msiachane kwa Ugomvi

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,483
40,498
Nimeona niilete hii mada, kwa sababu wengi huwa tunahisi ya kuwa maisha ni sasa, bila kukumbuka kuna ya kesho.

Kumekuwa na kawaida ya mahusiano mengi kuvunjika, ingawa kwa asilimia kubwa usababishwa na hawa wadada wanaojiita /wanaojiona ni warembo kweli kweli.

Huwa wanawacha wapenzi wao kwa maneno ya dharau, kebei, na kwa kuwafedhehesha kwa sababu wanajua, kwa uzuri walionao watapata mtu mwingine chap.

Napenda kuwakumbusha, mwanaume ni kiumbe mwenye huruma sana hasa kwenye kujali kama mliachana vizuri.

Atujui ya kesho, mara ghafla umepata janga la dharura mfano magonjwa n.k; kwa kuwa ulikuwa na mawasiliano mazuri na mpenzi wako wa zamani, mliekuwa naye kwenye mahusiano haitokuwa shida kukusaidia pale panapowezekana.

Kwa ujumla wanaume huwa tuna huruma sana, kama mkijua kuishi na sisi vizuri.

Ata kama mliachana huko nyuma, muhimu mliachana vizuri na mlikuwa mkijuliana hali hapa na pale; hiyo itakurahisishia mambo yako mengi kwenda sawa, pale utakapokutana na changamoto yoyote.

Badilikeni, maisha si sasa tu, bali kuna kesho pia.
 
X wangu Stella yupo wapi atoe ushuhudaa alivyoniacha Kwa nyoto akapewa mimbaa na barobaro mmoja hv ,hawakuishi hata miezi sita barobaro kasomba Kila kitu hata Ile sabufa ambayo stella aliondoka nayo kwangu barobaro kasepaa nayo ,kamwachiaa mimbaa aiseé yulé manzi alipigigaa ,marafk ,ndugu walimkataa ,kaka zake wakawa wanamwambia umevuna ulichopanda maana tulikwambia usome ukakimbilia dar ,akakosa kbs msaada na mimbaa ikawa kubwa Hana pakukaa Zaid ya Kwa rfk yk ,rfk yake mwenyewe njaa Kali Hana maishaa,.......bac cjui bhana alinikumbuka VP akanitafuta uku akiwa na mimbaa yake ya karibia ajifungue na Hana mia na ndugu wamemkata na hajui hata barobaro yupo wap,...kiukwel alianza na samahan Kwa Sanaa ,akajielezaa yt yaliyotokea na mpk alipo kiukwel niliingiwa na Iman nashukuru MUNGU naye akufunga riziki nilipoanza mpa msaada mpk akajifungua vyema kbs,na baada ya kujifungua Tena Kwa opereshen alikaa Kwa rfk yake nikawa namsaidia mpk mtt kafika miezi cta nikamfanyia mpng wa kagengee now day analeaa mtt wake na maishà yanaendaa ....

Na ashaombaa sana turudishe penzi lkn wap ,,anaomba bac niwe namkulaa tu hata km nisiwe mpnz wake nimegomaa mpk Leo tuna miaka miwili na nusu imebaki kuwa marafiki ,muda mwingine na mkumbushiaga zile dharau aliniletea kpnd ananiacha anaishia kusema SHETANI TU ALINIPITIA ...
 
Kuna kitu cha kujifunza hapa
 
Akafunga riziki sijaelewa
 
Wewe ni mwamba big up
 
Akafunga riziki sijaelewa
Kipindi nilianza msaidia baada yakunieleza matatzo yakee milango ya upataji Hela Kwa upnde wangu ukaongezeka maana nilimsaidia Kwa moyo mmoja maana tulivyoachana na nilivyomkuta daaa Ile rangi Ile ya mtume aliyokuwa nayo ilififiaa nywele ajui hata Lin zimepakwa mafuta au nyama mara ya mwisho akumbuki alikula Lin ,kiukwel alipoteana ,
 
X wangu Stella yupo wapi atoe ushuhudaa alivyoniacha Kwa nyoto akapewa mimbaa na barobaro mmoja hv ,hawakuishi hata miezi sita barobaro kasomba Kila kitu hata Ile sabufa ambayo stella aliondoka nayo kwangu barobaro kasepaa nayo ,kamwachiaa mimbaa aiseé yulé manzi alipigigaa ,marafk ,ndugu walimkataa ,kaka zake wakawa wanamwambia umevuna ulichopanda maana tulikwambia usome ukakimbilia dar ,akakosa kbs msaada na mimbaa ikawa kubwa Hana pakukaa Zaid ya Kwa rfk yk ,rfk yake mwenyewe njaa Kali Hana maishaa,.......bac cjui bhana alinikumbuka VP akanitafuta uku akiwa na mimbaa yake ya karibia ajifungue na Hana mia na ndugu wamemkata na hajui hata barobaro yupo wap,...kiukwel alianza na samahan Kwa Sanaa ,akajielezaa yt yaliyotokea na mpk alipo kiukwel niliingiwa na Iman nashukuru MUNGU naye akufunga riziki nilipoanza mpa msaada mpk akajifungua vyema kbs,na baada ya kujifungua Tena Kwa opereshen alikaa Kwa rfk yake nikawa namsaidia mpk mtt kafika miezi cta nikamfanyia mpng wa kagengee now day analeaa mtt wake na maishà yanaendaa ....

Na ashaombaa sana turudishe penzi lkn wap ,,anaomba bac niwe namkulaa tu hata km nisiwe mpnz wake nimegomaa mpk Leo tuna miaka miwili na nusu imebaki kuwa marafiki ,muda mwingine na mkumbushiaga zile dharau aliniletea kpnd ananiacha anaishia kusema SHETANI TU ALINIPITIA ...
Huyo ukijichanganya tu ufanye nae maisha pamoja na majuto yote aliyokua nayo. Still barobaro aliyetia mimba mwanzo akija atamlainisha na kuanza kummega kimya kimya, wewe utaonekana kama takataka tu. Ndio akili za single mothers zilipoishia hapo.
 
Back
Top Bottom