ugomvi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vivax

    JamiiForums Tanzania Tetesi: UGOMVI WA WAFUGAJI NA WAKULIMA

    Kuna tetesi za Mkulima wa mswiswi Mbarali kuuawa Kikatili na Wafugaji, kisha wakulima nao kuua Ngombe wengi Kikatili kulipiza kisasi.
  2. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anajiita kiredio mbona ni Kama anaharibu mahusiano ya watu na kuleta ugomvi

    Ni maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli?? Unakuta wanajinadi kabisa Leo tunataka kuharibu mahusiano, mm binafsi nimeshindwa kuwaelewa
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Eti kwa sababu mpenzi wake ha-view status zake wala hamposti mitandaoni, ameamua kum-unfollow Instagram na maeneo mengine, ugomvi mkali umeibuka

    Ni ipi nafasi ya mitandao ya kijamii kwenye mahusiano, uchumba, na ndoa hata paibuke ugomvi, kutoelewana, kutengana, au vurugu baina ya wapenzi au wanandoa kwa sababu tu ya kuposti picha, ku-view status, au ku-unfollow? Je, migogoro hii ni matokeo ya utoto, kutokuelewa umuhimu, na matumizi...
  4. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Mariam kaniletea ugomvi, namalizaje huu msala?

    Nikweli anaitwa Mariam "nime save kwenye ukurasa wa majina ya simu yangu", lakini kiukweli simjui huyu Mariam. Ipo hivi...... Jana nimetoka kupombeka, mida ya saa tano usiku nimekaa na mamaenu "wengine bibi yenu" Mariam akapiga sim, nikweli ninayo namba yake lakini simjui na sina ukaribu na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Jaji atumia ubaya ubwela ya simba ugomvi wa ndugu wanaogombea jina

    Jaji Frank Mahimbali wa Mahakama Kuu kanda ya Sumbawanga, ametumia msemo wa sasa wa mashabiki wa timu ya Simba wa ‘Ubaya Ubwela’ kufananisha sakata la watoto wawili wa familia moja wanaogombea jina la Kura. Jaji alisema usemi huo unaomaanisha ‘ubaya umerudi tena’, kwa mtazamo wa kwanza, mtu...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ex wangu 1 tu kati ya wanne walioolewa tulioachana bila ugomvi ndie mwenye msimamo, wengine penzi linaweza kuamshwa muda wowote

    nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha kiporo, wengine watatu tunaweza tusichat hata miezi lakini muda tukionana ama tukichat ni kama season 2...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ushawahi kutetea/kuingilia ugomvi wa watu wengine?

    Habari wana JF Hivi kwenye maisha Yako ushawahi kujaribu kuingilia au kutetea ugomvi wa watu na nini kilikutokea? Kwa experience yangu ya kutetea ugomvi nishawahi kukutana na changamoto tatu (3)zilizonifunza kutokuwa na kiherere kwenye mambo ya watu 1) Hii ilinitokea kipindi nipo...
  8. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Tuseme tu Hawana Uwezo?

    Na. M. M. Mwanakijiji https://youtu.be/R6TiVOZZZj4?si=iM4J0sv3gbtjSNmI Waliitwa vijana...nakumbuka walipotumbuliwa nilisema ni ujana tu unawasumbua. Nikasema warudishwe labda wamejifunza. Tukaseme wapewe nafasi tena Alipokufa JPM hawakuficha hisia zao kuonesha hasimu kaondoka na wala kupima...
  9. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Nape Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi na sasa Bahari ipo shwari

    Mbio za sakafuni huishia ukingoni. Kiko wapi sasa? Magufuli alikunyofoa si kwa bahati mbaya Bali alikuona wewe hufai. Ukaishia kumtukana na kumkejeli. Leo Kiko wapi? Mwenyezi mungu kaamua ugomvi sasa karibu kwenye benchi. Wewe umejaa dharau,mikogo na mipasho tu kazi huwezi. Ona sasa ulivyoaibika...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kuna ile mechi baada ya kumaliza ugomvi, Oya weee acha kabisa !!

    Baada ya kukuchunia kwa muda mrefu unafanikiwa kumshawishi akusamehe, anaridhia, anakutamkia kwa sauti iliyojaa upole na mahaba "Ila baby usirudie tena" kinachofuata hapo mnaangaliana machoni kwa hisia kali, kiss na mikumbatio ya nguvu, baada ya hapo mnatupana kuingia uwanja wa 6x6, mechi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada; kila akinikosea ananitegeshea sambwanda na ugomvi unaisha!!

    Natoka kwa hasira baada ya kunikwaza na kwenda zangu nje au mtaani kidogo kutuliza munkari. Ile narudi tu nakutana na tego la haja la msambwanda basi makosa yanasahaulika au kusamehewa hapo hapo. Hii hali siipendi maana naona kama itakuja kuniathiri huko mbele. Msaada wehu tafadhali wadau.
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Muamulie ugomvi rafiki yako pale anapokuwa amekandamizwa pekee

    Unakuta mtu mmeshazikunja na mtu anytime kina happen halafu anakuja mtu Kwa nyuma anakuvuta vuta mikono je ukipigwa ngumu ya ghafla na adui. Rafiki mzuri akikuona mnazipanga anatulia kwanza Mpaka uzidiwe Kwa kukandamizwa labda chini ndo aje kuamulia. Sio mtu anakuja nyuma anakubana mikono ooh...
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Utani gani umewahi kumtania mpenzi wako ikawa ndio sababu ya yeye kukuacha au kusababisha ugomvi mkubwa.

    Mimi nilimwambia aache ubishi maana kwao wanatabia za ubishi isee kiliumana sana..akanitukana eti nina mb*** kama filimbi. Isee nilikiamshaa alivyoondoka nikamblock kabisa.. Wewe ilikuwaje kwako!
  14. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Zawadi imesababisha ugomvi na wife, leo nimenasa wakuu

    Wakuu..... Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa. Ipo hivi..... Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi. Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya ndoa na mke wake, so kuna mambo kadhaa nilijifunza pale nami nikaondoka nayo. Sasa skumoja nikiwa...
  15. shuka chini

    JamiiForums Tanzania Nywila yangu ya simu yaleta ugomvi

    Wakuu poleni sana na majukumu ya kutwa nzima. Ipo hivi mke anataka kujua password ya simu yangu tena analazimisha. Sasa nataka aguse simu nimpasue, leo napasua mtu.
  16. A

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Tanzania wasome Historia ya Kijographia kujua chanzo cha Mgogoro wa Morocco na Algeria

    Kwamba sehemu hiyo ya Sahara ilikuwa sehemu ya Algeria. Wakati Sahara ya Magharibi ilikuwa koloni la Uhispania, ilivyoondoka ndio ikaiachia sehemu hiyo Kwa Morocco na Mauritania. Baada Mauritania waliiacha sehemu waliojikatia na Morocco akajitwalia sehemu yote. Hivyo waandishi wetu wanatakiwa...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Georgian politician punches opponent in face in brawl over ‘foreign agent’ law

    Georgian lawmakers came to blows in parliament on Monday as ruling party legislators looked set to advance a controversial bill on “foreign agents” that has been criticized by Western countries and sparked protests at home. Footage broadcast on Georgian television showed Mamuka Mdinaradze...
  18. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kama unahisi Mchumba wako (Demu) anataka kukuomba hela na wewe huna, tengeneza ugomvi

    kama huna hela ya kumpa wife wako / demu wako siku kama za sikukuu au siku yeyote au ukiona nywele zake zinakaribia kufumuka na wewe machale yanakushika unaenda kuombwa hela , halafu mfukoni hakueleweki ushauri wangu kwako wa kijasusi tengeneza ugomvi alafu jifanye umenuna ili sikuzipite 😀😀😀
  19. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Kwani Wenzetu Hawa Walisomea Nini? - Part 1

    Na. M. M. Mwanakijiji Sikuwahi kuelewa kwanini wakati mwingine mtu anapokuwa na mawazo au ametatizika kimawazo anaanza kujikuna nywele. Au mtu anakuuliza jambo halafu hauna jibu unaanza kujishika kidevu au unakuna nywele hata kama haziwashi! Maswali au mambo mengine wakati fulani yanakwaza na...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mdau anauliza kwanini awe mkali kwa ugomvi wake na mwengine

    Mzazi mtoto wake hata awe mbaya kiasi gani na hamuui, awe shoga, mwizi, jambazi bado asilia 98 ya wazazi hawatowaua watoto wao. Iweje Mungu wetu wa upendo atuchome sisi watoto wake kwa sababu ya ugomvi wake yeye na shetani?
Back
Top Bottom