ugomvi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Elon Musk Aishabikia urusi katika ugomvi na Marekani.

    Bilonea namba moja duniani na raia wa marekani mzaliwa wa afrika elon musk ameonekana katika kuishabikia russia katika majibizano yanayoendelea huko mtandaoni kwake wa x zaman ukijulikana kama twitter.
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa sasa wa ndugu kuona wagonjwa wao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro sio mzuri

    Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa. Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Taswira ya serikali ya CCM; utekaji, uuaji, kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa

    Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
  4. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Ugomvi baina ya Iran na Israel usisababishe nikakosa misaada

    Zelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake. Bado anahitaji sana misaada. https://x.com/BRICSinfo/status/1933872405090566267 JUST IN: 🇺🇦 Ukrainian President Zelensky says he hopes Israel's conflict with...
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mke akiondoka nyumbani kwa ugomvi je? Anafuatwa au atarudi tu. Mwenyewe

    Wiki imeisha yupo kwa dada yake je? Nimfuate au niendelee kumsubiria Maana mm nimesema siwezi mfuata hata kwa dawa huyu mama watoto wangu ambaye ni jeuri. Ugomvi ni baada ya kujibishana halafu yeye akanijibu simtishi kwa lolote. Hivo nikamwambia sitamwachia hela ya kula tuone akajibu sawa...
  6. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Gwajima anaanzisha ugomvi yeye halafu anawakimbia yeye like seriously ?

    Anajiita Bishop ila matendo yake kama mhuni wa kinondoni, hapendi shwari anapenda shari, mdomo usio na kiasi, ubishi, ujuaji kiburi mbele ya mamlaka ambayo ina nguvu kuliko yeye na ukoo wake wote. Tamaa yake ya kutaka kiti cha uraisi ni njema ila nia yake moyoni juu ya kutaka kiti hicho cha...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Zipo standing orders, siyo ugomvi na Gwajima

    Zipo Sheria zao zinasema vyama hivi vya kiraia visishiriki katika siasa. Nilikuwepo kule siku moja nimekwenda kuanzisha Chama changu cha Buddha. Akatokea kiongozi mmoja,aliposikia nataka kufanya nini, akasema jihadhari,usijihusishe na mambo ya siasa. And this soft-speaking person alikuwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ugomvi ndani ya CHADEMA – Viongozi walaumiana uchache wa watu Arusha

    UGOMVI NDANI YA CHADEMA – VIONGOZI WALAUMIANA, UCHACHE WA WATU ARUSHA Na Nulphin Charles (Jenerali) Leo, tarehe 28 Mei 2025, jijini Arusha, ulifanyika mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambao ulitarajiwa kuonesha nguvu ya chama hicho katika Kanda ya Kaskazini...
  9. Criss

    JamiiForums Tanzania Je! Siyo kama Tanzania ilikuwa na ugomvi wa siri na Kenya?

    Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu. Hivi respond yetu kama Taifa na tukiwianisha kosa la wahusika vinawiana kweli? Okay fine , let's assume nikweli Bonifasi Mwangi na mwenzake walikuwa wakosaji ,je adhabu za wakosaji wamakosa kama yao ndiyo wanaostahili kuadhibiwa kwa namna...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa K. Nkrumah na J. K. Nyerere. Kwame alikuwa akimhofia Nyerere sana

    Kutoka kwa mwanajamiforums Shwari ambaye aliweka nakala ya kitabu chenye kuelezea mikasa ya hawa wapigania uhuru na harakati za ukombozi wa Africa. Nkrumah alihisi kuwa alikuwa amemtumia Sekou Toure. Lakini alikatishwa tamaa na Nyerere zaidi ya alivyokuwa na Sekou Toure. Alimwona Nyerere...
  11. G

    JamiiForums Tanzania MPIRA SIO UGOMVI

    Poleni makolo kwa kupoteza fainali Jana...Ni matokeo ambayo watanzania wengi tulitegemea kutokana na uwezo WA Timu yenu Jana niliona half time Camara na Ngoma wanagombana ,Alafu mwishoni kabisa kwenye medali Pin pin Camara ameenda kuchukua medali bila ya kuwa na jezi ya Simba Wanalunyasi...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Wakenya ugomvi wenu na Samia usiwe ugomvi kati yetu sisi na nyie

    Sisi wananchi wa Tanzania hatuna ugomvi na Wakenya na hatujawasema vibaya wakenya na majirani wengine kama Uganda, Burundi, nk. Aliyewasema vibaya mnamfahamu, tafadhali shughulikeni naye na sio sisi wananchi. Sisi wananchi tunahitaji kufanya biashara zetu ndani ya nchi ya Kenya na nyie...
  13. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Mdogo mdogo tunawauzia Wakenya Ugomvi

    Kesi za Lissu zimeanza kuchukua sura ya Mama anayempiga mwanae kwa kumuonea hadi majirani waneamua kuja kumtetea mtoto ambaye sio wao. Inakubalika kama mzazi ni muonevu. Na uonevu ukizidi majirani huwa wanaamua kununua ugomvi kama mbwai inakuwa mbwai tu kwani nini!?
  14. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Ibada ya ijumaa chanzo chake ni Ugomvi wa Muhammad na Wayahudi

    NINI CHIMBUKO LA IBADA YA IJUMAA? Ibada ya siku ya Ijumaa imeelezewa chanzo chake katika kitabu kilichoandikwa na Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu wa Ansaar, kwa jina: "Historia ya Mtume Muhammad (S.A.W)" – na Muhammad Abdalla Riday, Ansaar Muslim Youth Organisation UK, Na. 47. Katika sehemu ya...
  15. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Kujua kama mpenzi wako ana uume mdogo au la, njoo ujifunze hapa kimya kimya bila ugomvi

    Jana nimekaa zangu home mara akaja binaadam na stori zake za town Binaadam: unajua money penny, naona wadada wengi wanalalamika kibamia kibamia kwa wanaume zao, ila shida ni moja hawajui kuwapima size ya mwanaume akiwa hajatembea nae Money penny: upimaji huo ndio ukoje Binaadam: wanawake wote...
  16. S U N N Y

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Mke na Mume, Housegirl anahusika vipi?

    Jumamosi ahsubuhi tulipishana kauli na wife, ikawa ni ugomvi mkubwa sana kiasi kwamba nilipotoka kwenda kazini akaamua achukue watoto na kuondoka nao, Ameondoka na watoto wetu wawili kitu ambacho ni cha kawaida as watoto ni wadogo ikiwa ata waacha hakutakua na mtu wa kuwahudumia. Ila jambo la...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Trump na Zelensky pamoja na mataifa ya Ulaya ni kusema vita vimewashinda baada ya kutaraji kupata sifa za ushindi

    Mambo tunayoyashuhudia mashariki ya kati ,Ulaya na Asia ni dalili tosha kuwa binadamu akipanga na Mungu anakuwa na mpango wake ulio bora zaidi ambao umejificha. Kwa wingi wa silaha walizonazo wababe wa dunia na mbwembwe walionza nazo kila mmoja alitaraji kumaliza vita baada ya muda mfupi...
  18. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa ndugu 2,waliojariwa ofisi moja

    Hawa ndugu wakiumu,waliozaliwa na mama mmoja ila baba tofauti,wote ni madereva na asili yao ni wahindi.Maisha yao wanayoishi ni kama waafrika kabisa,kwa kila kitu,kula,kuvaa,mademu ni kama wafanyavyo wabantu.Wameajiriwa na tajiri mmoja,sasa bosi wao akawaambia kuwa wajiandae kwa safari ya kenya...
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Sikiliza voice Ugomvi wa Martha Mwaipaja na beatrice mwaipaja wapamba moto

    Hapa kwangu najua mwenye shida martha kamrekodi mwenzie af yeye anaongea pole pole kujifanya hana hatia uku mwenzie akibwabwaja kwa hasira hakiwa hajui kinacho endelea Alikuwa anajua anacho kifanya ndio maana kayafanya haya
  20. Judi wa Kishua

    JamiiForums Tanzania Nimesikia Bi Khadija Kopa anataka kuununua ugomvi kwa bei yoyote: You have my support

    Bi Khadija ndio msanii wangu pendwa wa muda wote, toka enzi za TOT tunavimba nae. Mwananyamala bi Khadija hana shida na mtu yeye ni mpole si chakaramu kama umuonavyo jukwaani alikuwa vizuri na kila mtu. Muulizeni marehemu Nasma. Khadija mnamuita mama kwetu wengine ni dada tena gwiji haswa...
Back
Top Bottom