Mbowe: CCM hawana ugomvi na vyama vingine vya siasa, wana ugomvi na CHADEMA

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu.

Pia amewataka wanaMagu kujiunga na kukijenga CHADEMA, siyo kwasababu ya sura ya Mbowe, CHADEMA siyo mali yangu(Mbowe), CHADEMA ni mali yenu. Chama pekee ambacho kinaundwa na imani, na ndio maana hakifi.

Tumepigwa propaganda za kila aina, tumepita mateso ya kila aina lakini chama hiki badala ya kudidimia kimeimarika.

CCM tunawapenda hawa wanganga njaa kwa sababu kila kiongozi wa hichi kikundi ana bei yake.
 
Mngewanunua wote kipindi cha mwenda napia CDM ni imani hata uwanunue wote itabaki
Nb kifo cha mchungaji sio mwisho wa kanisa
Tena mbowe bei yake ni sawa na bure, nakufutia mashitaka, haya huyu lema yeye nakulipia mkopo wako wa mil 600 uliotapeliwa na wale vijana wa forex, lisu pamoja na kupigwa risasi na mbowe ni wewe lisu aliyeamrisha upigwe risasi ni Dkt Magufuli, rudi Tanzania ninakuhakikishia hakuna wa kukukamata na ninafuta mashitaka yote zidi yako
 
Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu.

Pia amewataka wanaMagu kujiunga na kukijenga CHADEMA, siyo kwasababu ya sura ya Mbowe, CHADEMA siyo mali yangu(Mbowe), CHADEMA ni mali yenu. Chama pekee ambacho kinaundwa na imani, na ndio maana hakifi.

Tumepigwa propaganda za kila aina, tumepita mateso ya kila aina lakini chama hiki badala ya kudidimia kimeimarika.

View attachment 2713339
✔️ Kweny hilo nakubaliana na Mbowe!! Adui no moja wa CCM nchi hii ni CDM. Na kwasaab wameoneka ni most competitive wao kwa kias cha kutisha, na bila mbeleko.....
 
Tena mbowe bei yake ni sawa na bure, nakufutia mashitaka, haya huyu lema yeye nakulipia mkopo wako wa mil 600 uliotapeliwa na wale vijana wa forex, lisu pamoja na kupigwa risasi na mbowe ni wewe lisu aliyeamrisha upigwe risasi ni Dkt Magufuli, rudi Tanzania ninakuhakikishia hakuna wa kukukamata na ninafuta mashitaka yote zidi yako
umandika Kwakukurupuka sana haya matakataka yako hayana uhalisia wowote uchawa,unafiki nk nijanga linalo tutafuna sana watz hataakili zetu zimebaki kua hewa kwasababu hazitakiwi kabisa haswa pale unapo amua kua chawa
 
Mbona ushahidi upo, mbowe alitakiwa awe kahukumiwa kifo cha kunyongwa, lema angekuwa canada anafanya kazi kuzoa mavi ya wazee, lisu angeendelea kutatuliwa linda huko kwa wazungu. Ila wote wapo bongo wanatembea tembea
 
Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu.

Pia amewataka wanaMagu kujiunga na kukijenga CHADEMA, siyo kwasababu ya sura ya Mbowe, CHADEMA siyo mali yangu(Mbowe), CHADEMA ni mali yenu. Chama pekee ambacho kinaundwa na imani, na ndio maana hakifi.

Tumepigwa propaganda za kila aina, tumepita mateso ya kila aina lakini chama hiki badala ya kudidimia kimeimarika.

View attachment 2713339
JamiiForums442997317_236x211.jpg
 
umandika Kwakukurupuka sana haya matakataka yako hayana uhalisia wowote uchawa,unafiki nk nijanga linalo tutafuna sana watz hataakili zetu zimebaki kua hewa kwasababu hazitakiwi kabisa haswa pale unapo amua kua chawa
Naomba tafsiri kwa kiswahili.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu.

Pia amewataka wanaMagu kujiunga na kukijenga CHADEMA, siyo kwasababu ya sura ya Mbowe, CHADEMA siyo mali yangu(Mbowe), CHADEMA ni mali yenu. Chama pekee ambacho kinaundwa na imani, na ndio maana hakifi.

Tumepigwa propaganda za kila aina, tumepita mateso ya kila aina lakini chama hiki badala ya kudidimia kimeimarika.

View attachment 2713339
CHAMA CHA SIASA TANZANIA NI KIMOJA TU NACHO NI CHADEMA
 
Tena mbowe bei yake ni sawa na bure, nakufutia mashitaka, haya huyu lema yeye nakulipia mkopo wako wa mil 600 uliotapeliwa na wale vijana wa forex, lisu pamoja na kupigwa risasi na mbowe ni wewe lisu aliyeamrisha upigwe risasi ni Dkt Magufuli, rudi Tanzania ninakuhakikishia hakuna wa kukukamata na ninafuta mashitaka yote zidi yako
Wakati wenye akili wanajadili mambo ya msingi hizi hoja zako za kitoto kazizungumzie huko unakoenda kusuka nywele au kuosha kucha
 
Back
Top Bottom