ugomvi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jbst

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni roho mbaya

    Kama mada inavojieleza, wanawake acheni roho mbaya. Kama mtu haumuitaji tena na umemchoka kwann umsingizie mambo mabaya?nimesikia matukio mengi kuhusu wanawake kiukweli mmezidi roho mbaya. Kuna jamaa yangu miaka miwili iliyopita sasa badae sjui ilikuwaje yeye na mkewe wakapishana na wakawa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Matajiri Wahindi na Waarabu watufundishe weusi kuhusu mirathi na mali kugawana bila ugomvi. Yasijirudie ya Mengi na Mama Lwakatare mbeleni

    Habari wadau. Hivi wahindi na waarabu wanatumia mbinu gani ya kumaliza mirathi zao bila ugomvi na huku watoto wanazaa wengi na waarab wanaoa wake wengi. Vifo vya mabilionea wa kitanzania wenye asili ya kihindi na kiarab ni vingi ila hatusikii wakigombea mali zao Ila sisi weusi kila tajiri...
  3. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Baada ya ugomvi na wife, hiki ndicho nilicho kifanya ili mapenzi

    Sababu kubwa ya ugomvi ni baada ya kutoka shambani, nikapitiliza kilabuni. Nimerudi nipo bwax nikakuta amenuna. Kwakua alikua hajakula niliamua nimuandalie roast samaki, chips, kachumbari ili ashushie na juice ya matunda mchanganyiko. Hapa kaisha maliza kula wakuu, ngoja nitoe vyombo...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanaopenda Ugomvi Kwenye Daladala Mara Nyingi Wana Msongo Wa Mawazo

    Salama wadau, kuna mambo ambayo binafsi naona hayapo sawa, inawezekana tunayachukulia poa lakini ukiyatazama kwa undani ni wazi kuna kitu hakipo sawa katika maisha ya Wabongo wengi. Tangu zamani inajulikana ndani ya daladala ni sehemu ya vituko vingi, kuna matukio mengi kwa kuwa asilimia kubwa...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin hakujifunza baada ya kilichomkuta Ukraine, ameamsha ugomvi mwingine na Japan

    Baada ya vita vya pili vya dunia, Urusi na Japan hawakutia saini mkataba wa kumaliza vita, ina maana mpaka leo hayo mataifa mawili yako vitani licha ya kuishi kwa amani, wamekua wakiongea na kuelewana kimsingi na kwa namna ya kusaini mkataba. Sasa juzi Urusi imekwenda kuvamia nchi ya watu...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi imehusisha asilimia 75% ya jeshi lake lote kwenye huu ugomvi, na bado shughuli ipo

    Ama kwa kweli Urusi amedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kwamba ahusishe asilimia 75% ya jeshi lake lote na kuacha nyumbani asilimia ndogo ilinde nchi, yote hii kupambana na kataifa kadogo kama Ukraine, na mpaka sasa wiki imeisha hajafaulu kukafagia......kwamba hata akifaulu kuteka Kiev leo hii...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha ugomvi wa January Makamba na Musukuma?

    Kwa aliyefatilia kikao cha Jana cha Bunge atakuwa amepata picha kile ninachojaribu kuelezea hapa. Musukuma anamtupitia mashambulizi makali Mh Makamba kwa kutoa ushahidi wa kile alichokuwa anakiona wakati akiwa mjumbe wa kamati ya nishati kwa miaka 6 sasa. Na Makamba anajibu mashambulizii...
  8. mshale21

    JamiiForums Tanzania Amtimua mke wake usiku wa kuamkia leo huku akimsindikiza kwa kipigo na matusi

    Wakuu hizi ndoa hizi zina mambo! Iko hivi, Jana mida ya saa nne usiku , nilingia gheto toka kwenye harakat za mapamabano ya maisha , nikapumzika kwanza kwa sebule nikipiga stori na mwandani wangu kwa phone ( maana hause niliyopanga ina sebule ambapo huwa tunakaa kubadilishana mawazo na kila mtu...
  9. Carleen

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

    Guys, Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali. Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua. Kisha nakaa pembeni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usikubali ugomvi na Watumishi wa Umma

    Tunajua kuna watu washakuletea mezani kwako takwimu kwamba uchumi unayumba hivyo usiongeze mishahara ya watumishi, mama akikubali hilo huo utakuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza lako, kumbuka una vita ya Mfumo dume ambayo inaendeshwa na wana ccm wenzio wanafanya kila mbinu wapate point za...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Walianzisha ugomvi wa mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo

    Siku kadhaa zilizopita, nilileta uzi hapa JF nikiwaeleza MATAGA kuwa kwakuwa wanamuhujumu Mama, kuna hatari ya Mama kjjbu mapigo kwa kuweka hadharani madudu ya Mwendazake kwani kinachoendelea ni kumfanya Mama aonekane hatoshi kumlinganisha na Mwendazake. Binafsi naamini hata hii habari yenye...
  12. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Professor J asema tumemwachia Mungu ugomvi kati ya Diamond Platnumz, Alikiba na Harmonize

    Ugomvi kati ya mastaa wa bongo kutoka Tanzania, Diamond Platnumz,Harmonize na Alikiba umezidi kuongeza baada ya Harmonize kufichua mambo kadha wa kadha hivi majuzi. Ni ugomvi ambao umeshuudia na wengi pamoja na mashabiki wao, huku mashabiki wao wakiegemea upande waupendao na kuchukia baadhi ya...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

    Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti. Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye...
  14. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo: Siasa sio Uadui, fitina, majungu, ugomvi wala chuki

    Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali, Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ni wanandoa, lakini siku hizi hawapendani kama zamani

    Wamekuwa ni watu wenye visirani na ugomvi kila iitwapo leo-usiku, hasa hasa mwanamke, amekuwa ni mtu wa kwanza kumsema mumewe kwa majirani hasa kwenye vikao vya hisa na vyama! Naomba tu kufahamu sababu ambazo zinapelekea wanandoa wengi kubadili mienendo yao na kupunguza upendo baina yao siku...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakuwaje mna ugomvi na mihimili yote mitatu -- Serikali, Bunge na Mahakama?

    CHADEMA wana ugomvi na Bunge na Ndugai ukija kwenye Serikali ndio kabisa hawaivi nayo ukienda Mahakamani ndio usiseme Lissu alishatukana hadi Majaji kuwa hawajui Kiingereza na hawana Imani na Majaji wa Tanzania. Hiki Chama vipi? Ukidharau mihimili yote utakuwa mgeni wa nani?
  17. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ugomvi huu nimeshindwa kuamua, wenye uwezo amueni

    Habar zenu ndugu zangu. Ebwana nimefika maskan fulan nikakuta kuna kabishano balaa. Yan jamaa watatu.. Mmoja anatokea Magomen, wa pili anatokea Ilala, na watatu anatokeaKinondoni. Sasa kila mtu anadai kuwa kwao ndio walipotokea/wanapotokea wajanja wa mji, na mafia wakubwa wanaoogopeka huko...
  18. Sajo

    JamiiForums Tanzania Kusimamishwa kwa Askofu Gwajima na Silaa; Je, wana ugomvi binafsi na Spika wa Bunge? Angalia utaratibu uliotumika

    Hivi ndivyo ilivyojiri kikaoni (bungeni) tarehe 31 Agosti 2021 (sio rasmi) Mwenyekiti wa Kamati: (Baada ya kuwasilisha taarifa ya kamati) Mheshimiwa Spika, Natoa Hoja wabunge hao wasimamishwe kuhudhuria mikutano miwili ya bunge Spika Ndugai: Hoja imepokelewa na kuungwa mkono. Spika...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Roho za mauti: Ni kitu gani hiki?

    Mauti ni kifo na kifo ni kikomo cha kuwa(end of existence)! Mauti yapo ya aina nyingi lakini makubwa yapo ya aina mbili . Mauti ya jumla(mauti ya moja kwa moja) . Mauti nusu (mauti dhana) Roho ni kitu kisichokufa bali roho ndani ya mwili ndio huleta uzima au kifo.. Roho ndani ya mwili ni uhai na...
  20. genau

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanikimbia

    Wadau ngoja nije moja kwa moja kwenye mada Huyu mama watoto nimeanza nae mahusiano mwaka 2019 akiwa diploma mimi niikiwa mfanyakazi. Mwishoni mwa 2019 nikaamua kumweka ndani ili tusomane vizuri tabia kwa sababu nilikuwa nina shauku sana ya kuishi na mwanamke mmoja ninaye mpenda. Nikaenda kutoa...
Back
Top Bottom