Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,143
- 33,015
Tenki la maji liilojengwa kwa kulipua limelipuka siku chache kabla ya ufunguzi. Mkandarasi keshakunja mihela yake kibindoni. Rushwa imekithiri.
Lofa wewe. Tanzania inaingiaje hapa?Kwani ufisadi wenu huko Tanzania umewapeleka kuzuri ?