Yako wapi Magazeti nguli yaliyovutia kuyasoma? Nani kayazuia kuibua ufisadi, au swala hili wameiachia CAG? Je, wameishiwa mbinu za kijasusi?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,434
2,000
Wana JF,

Tangu Rai inunuliwe Watanzania tumeishiwa na hamu ya kusoma magazeti, zamani kulikuwepo waandishi nguli wasio waoga waliokuwa wanapambana na serikali kufichua maovu hata kama habari itawaweka matatizoni.

Siku hizi magazeti yote yamegeuka kuanza kuisifia serilali, au au kushadadia jabari za chama pendwa. Magazeti mengi yamejikita kwenye habari sizizona tafiti na kuishia kufungiwa, au wanatia habari kisha wanakuja kukanusha na kuomba radhi.

TSJ na vyombo vingine vimeacha kufundisha maandishi wa habari za kiuchunguzi au vyuo vinapokea wanafunzi wenye weledi mdogo, au waandishi hawaelewi wanayojifunza?

Wakina Jenerali Ulimwengu, Ndimara Tegambwage, Privatus Karugendo, Prince Bagenda hatuwezi kuwalaumu kwa kuwa sasa wamezeeka hawawezi kukimbizana tena mitaani kutafuta habari za kiuchunguzi. Juzi CAG alitaja mapungufu mengi kwenye wizara ya Utalii juu ya matumizi mabaya ya fedha za umma. Muhusika anapeta na 2.5b na anajirusha mtandaoni kuwa mbona hajafanywa kitu kama kwamba CAG kasingiziwa. Waziri was Mambo mambo ya ndani mfukuzwaji and. Kangi Lugola yameongelewa mengi mpaka Leo yupo nje, ina maana habari za CAG zilikuwa za kizushi za unifomu hewa.

Mashirika ya uwekezaji kwenye madini, mikataba tata nayo hatuambiwi vipengele tulivyoingia mkenge na wahusika wake, ina maana NATO no safi? Mambo yote yamekuwa siri sasa tunageukia habari za vyama nani ananyifolewa nani anaingia, au habari za wqtu binafsi.

Tulikuwa tumebaki na mwandishi wa kujitwgemea lakini naye huwa habari ni za maswali ya kujiuliza, and Mayalla unatuangusha, habari unazijua lakini unaweka viulizo unaogopa nini?
 
mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,222

Wote wamepiga magoti
 
Ad majorem

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
332
1,000
Wengi waliingia mkenge kwenye mchakato wa uchaguzi wa 2015. Wakajikuta wanamsapoti Lowasa anayeaminika kuwa Icon ya ufisadi nchini. Wakatumika kumsafisha, watu wakaona undumila kuwili wao, wakakosa Imani na taarifa zao. Sasa wanaona aibu, wanadhani jamii haitawaelewa Tena.
So sad!.
 
Gellangi

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
1,078
2,000
Magazeti yamepigwa 'loba ya mbao'
Ufisadi umeingia ndani ya vyombo vya habari vyote,siyo magazeti pekee.Nchi hii kila taasisis sasa inanyenyekea na kusifia juhudi.Asiyefanya hivyo hali yake ngumu.Wapo walioshtakiwa kwa Money Laundering au uhujumu uchumi,wengine hawafahamiki walipo kwa miaka.Wengine walipoitwa kwenye zile kamati wananena kwa lugha,utasikia Duh!
Watanzania tunashindwa kumfahamu adui yetu?Mbona tunamfumbia macho?Hofu ni mbaya kuliko mgonjwa mengi.Hata dhidi ya utawala dhalimu ni aibu na ukosefu wa uzalendo kwa kutokuchukua hatua muafaka.Tuwajibike kila mmoja kwa nafasi yake.Tusibaguane maana nchi hii ni yetu site.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
31,774
2,000
Wengi waliingia mkenge kwenye mchakato wa uchaguzi wa 2015. Wakajikuta wanamsapoti Lowasa anayeaminika kuwa Icon ya ufisadi nchini. Wakatumika kumsafisha, watu wakaona undumila kuwili wao, wakakosa Imani na taarifa zao. Sasa wanaona aibu, wanadhani jamii haitawaelewa Tena.
So sad!.
Cc: Paskal Mayalla
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
9,281
2,000
Wana JF,

Tangu Rai inunuliwe Watanzania tumeishiwa na hamu ya kusoma magazeti, zamani kulikuwepo waandishi nguli wasio waoga waliokuwa wanapambana na serikali kufichua maovu hata kama habari itawaweka matatizoni.

Siku hizi magazeti yote yamegeuka kuanza kuisifia serilali, au au kushadadia jabari za chama pendwa. Magazeti mengi yamejikita kwenye habari sizizona tafiti na kuishia kufungiwa, au wanatia habari kisha wanakuja kukanusha na kuomba radhi.

TSJ na vyombo vingine vimeacha kufundisha maandishi wa habari za kiuchunguzi au vyuo vinapokea wanafunzi wenye weledi mdogo, au waandishi hawaelewi wanayojifunza?

Wakina Jenerali Ulimwengu, Ndimara Tegambwage, Privatus Karugendo, Prince Bagenda hatuwezi kuwalaumu kwa kuwa sasa wamezeeka hawawezi kukimbizana tena mitaani kutafuta habari za kiuchunguzi. Juzi CAG alitaja mapungufu mengi kwenye wizara ya Utalii juu ya matumizi mabaya ya fedha za umma. Muhusika anapeta na 2.5b na anajirusha mtandaoni kuwa mbona hajafanywa kitu kama kwamba CAG kasingiziwa. Waziri was Mambo mambo ya ndani mfukuzwaji and. Kangi Lugola yameongelewa mengi mpaka Leo yupo nje, ina maana habari za CAG zilikuwa za kizushi za unifomu hewa.

Mashirika ya uwekezaji kwenye madini, mikataba tata nayo hatuambiwi vipengele tulivyoingia mkenge na wahusika wake, ina maana NATO no safi? Mambo yote yamekuwa siri sasa tunageukia habari za vyama nani ananyifolewa nani anaingia, au habari za wqtu binafsi.

Tulikuwa tumebaki na mwandishi wa kujitwgemea lakini naye huwa habari ni za maswali ya kujiuliza, and Mayalla unatuangusha, habari unazijua lakini unaweka viulizo unaogopa nini?
Seriakali ya awamu ya tano ni safi sana. Hawana cha kuandika
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
9,281
2,000
Wengi waliingia mkenge kwenye mchakato wa uchaguzi wa 2015. Wakajikuta wanamsapoti Lowasa anayeaminika kuwa Icon ya ufisadi nchini. Wakatumika kumsafisha, watu wakaona undumila kuwili wao, wakakosa Imani na taarifa zao. Sasa wanaona aibu, wanadhani jamii haitawaelewa Tena.
So sad!.
Waandishi na vyombo vyao vimehongwa na ccm na srikali wsiviseme.

Hakuna awamu ambaumyo waandishi na vyombo vyao wamefaidi pesa za serikali kama sasa. Very formal bribery. Wanalipwa ili wasiseme.
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,434
2,000
Kuna Gazeti Jamvi LA Habari, awali walifichua wizi wa mafuta Magufuri kakimbilia bandarini kakuta kweli wanaiba. Yaliyojili Prof. Muhongo akapiga simu kule, jamani rudishia kama zamani MWe.hu anakuja huko. Yule mama akakutwa anarudiah
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom