ufafanuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Nahitaji ufafanuzi kuhusu BBI huko nchini Kenya

    Kwa yeyote anaeielewa vzuri BBI nchini kenya anieleweshe, ni kitu gani na dhima yake hasa ni ipi na je inaweza leta athari gani kwenye siasa za Kenya
  2. Kaniambia nisome Zaburi 109. Naomba mnisaidie kunifafanulia

    Wadau Kuna mdada nilikutana nae humu mitandaoni tukaelezana ya kwetu mpaka na contacts tukapeana tukatafutana mpaka tukaonana! Tukakubaliana tuingie kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sharti la kupima afya kwanza! Kabla ya kupima afya huyu mdada alinipeleka mpaka kwa ndugu zake wa karibu...
  3. Naomba Msaada na ufafanuzi kuhusu uvimbe kwenye mayai na tiba yake

    Wataalam habari za Muda huu? Naomba msaada wa elimu katika hili. Baada ya kuishi na mke wangu kwa muda wa miaka mitatu Sasa bila kupata hata dalili yoyote ya mimba maana hata period yenyewe haieleweki unakuta mwezi huu kaingia tarehe hii mwezi ujao tarehe nyingine tena au inatokea inapita Ata...
  4. Naomba Ufafanuzi kuhusu Kuagiza Bidhaa Mtandaoni

    Asalaam Aleykum wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale, shida yangu ni kuhusu hizi online market Alibaba na Amazon, Naomba kwa wanaofahamu wanipe ABCD's kuhusu uaminifu wao, na kama kuna scammers nawatokaje. Nina hitaji kununua gemstone, niliingia Alibaba nimeona kuna masonara wa Pakistan...
  5. J

    Kwanini Waziri Mulamula akimaliza kuongea na Mabalozi wa nje huwa hatupi ufafanuzi kama alivyokuwa akifanya Profesa Kabudi?

    Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni. Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na maelezo mafupi tu ya kile kilichozungumzwa kwa mfano jana baada ya kuongea na Balozi wa Marekani...
  6. L

    Naombeni ufafanuzi juu ya hii course ya BSc. in Range Management

    Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu, Kuna ndugu yangu aliyehitimu kidato cha sita mwaka 2019 lakini kulingana na halii ya uduni wa maisha alishindwa kujiunga ma Elimu ya juu licha ya kwamba katika udahili uliofanywa mwaka huo alichaguliwa chuo Cha Ardhi Bsc. in Environmental Science...
  7. Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    Dodoma! Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
  8. N

    Naomba ufafanuzi kuhusu railway levy

    Salaam wana JF, Kama heading inavyojieleza kuna kiasi cha pesa kinachokatwa kwenye kila gari inayoingizwa nchini kupitia bandarini, labda na kwingineko kinaitwa railway levy. Mimi kwa uelewa wangu nadhani hii pesa ni kwa ajili ya maendeleo ya reli hasa ujenzi na ukarabati. Katika ufahamu wangu...
  9. Asante Simbachawene kwa ufafanuzi kuhusu wakimbizi wa Msumbiji

    Kiukweli ni ngumu sana kuchambua kati ya mkimbizi na gaidi,nani anaweza kuwachambua? Msumbiji wilaya moja ndio ina magaidi kwanin wanamsumbiji wasikimbilie maeneo mengine ya nchi yao? Kuwakubali wakimbizi wa Msumbiji ni kukubali kuishi na 🐍 siku yoyote atakung'ata tu. Chanzo:Waziri wa mambo...
  10. Clouds yatoa ufafanuzi malipo ya TSh milioni 629 yaliyotajwa na CAG

    Meneja wa fedha wa kampuni ya Clouds Media Group, Issa Masoud amesema walitoa vielelezo vyote ikiwa ni pamoja na stakabadhi kwa Wizara ya Maliasili na Utalii kufuatia malipo ya Sh 629.7 milioni kwa ajili ya matangazo ya tamasha la urithi mwaka 2018. Masoud ametoa ufafanuzi huo leo Alhamisi...
  11. M

    Naomba ufafanuzi kuhusu kuharibu gauge ukijaza full tank-pomoni

    Heshima zenu wakuu Mara nyingi naona watu wakijaza magari yao full tank kwa kuinua tairi la nyuma upande wa tank ili lijae zaidi ya pale pump ilipokata mpaka yanaonekana karibu kumwagika na wakati mwingine wanatikisa gari ili mafuta yaingie zaidi. Je ni kweli mtindo huu huharibu gauge ya mafuta...
  12. A

    Naomba ufafanuzi juu ya any Desk

    Habari za muda huu naomba kuuliza kuhusu any desk je ukiwa unarusha au kurushiwa kitu unakatwa MB kama vile tu ukiwa unadownload mfano ukirushiwa nyimbo ya MB 10 utakatwa MB hzo hzo au utakuwa kama vile unacopy na kupaste yaan hakuna MB utakazo katwaa
  13. J

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ni awamu ya 5 au 6?

    Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini. Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6? Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile. Maendeleo hayana vyama!
  14. Naomba ufafanuzi juu ya Mass Communication and Broadcasting

    Naomba ufafanuzi juu ya Mass Communication and Broadcasting 1. Unapataje mafunzo yake 2. Kiwango gani cha elimu s.t.d 7, 4m4, 4m6 au kivip 3. Chuo kipo wapi? 4. Vipi kuhusu ada 5. Unasoma kwa muda gani? 6. Kama kuna kipengele nimekisahau unaweza niongezea mdau #Naomba kuwasilisha kwenu
  15. Ufafanuzi: Kuvunjwa Halmashauri ya Jiji la Dar kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Jiji

    Tangu Rais Dr. John Pombe Magufuli kuvunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Jiji la Dar es Salaam, kumekuwa na mijadala kemkem kuhusu jambo hilo runingani, redioni na hata mitandaoni. Mjadala hasa unajikita katika kuelewa...
  16. RC Mghwira: Misiba mingi Kilimanjaro inatoka maeneo mengine nchini. Si kweli kuwa watu wanafariki dunia kutokana na Covid 19

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema misiba mingi iliyopo mkoani humo inatoka maeneo mengine na si kweli kuwa watu wanafariki dunia kutokana na ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya corona. Amesema Mkoa huo upo salama na kuwataka wananchi kupuuza taarifa hizo kwa kuwa...
  17. Naomba ufafanuzi wa taratibu za kufuata endapo mwanafunzi ambaye ni mnufaika wa mkopo na ambae ameshasajiliwa chuo kingine kama anaweza kuomba upya

    Habari za wakati huu, ni matumaini yangu kuwa mnaendekea vizuri na shughili za kujenga taifa..hongereni sana Kuna mdogo wangu yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dodoma (udom) anasomea environmental science kufikia hapo alipo anasema anachokisomea hakipendi na kwamba alikubali tuu...
  18. Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

    Gts, Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya Rais juu daktari aliyegeuka mkataba. Wizara ya afya toeni ufafanuzi. Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na Serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi Serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa...
  19. Majibu ya Mtendaji Mkuu wa BRELA kuhusu kinachoitwa "Kukimbiza wawekezaji" kilichoandikwa JamiiForums

    Andiko hili nimeliona kwenye forums kadhaa, walau Wakili Msomi amekiri kwamba mfumo sasa upo stable. Kuhusu suala linalolalamikiwa, kwanza nikiri kwamba hoja zake Ni za ukweli na changamoto hii nilishaiona since day one. Mara kadhaa tumeeleza kuwa kuna kazi tunaendelea nayo ya system...
  20. Naomba Ushauri na ufafanuzi

    Naomba kufahamishwa mbinu na hatua ninazoweza kukata ili kuanzisha Kituo cha Ushauri wa Biashara,ujasiriamali na mauzo (Business,entrepreneurship& Sales consultant)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…