udsm

The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Kitivo cha sheria udsm hakunaga 1st class, why?

    Kwa wale wenzangu tuliosoma sheria udsm, tunajua kuwa ni kabudi na majamba tu ndio walipata first class. hii naunganisha na law school ambako wanaweza kufanya mtihani watu 200 wakafaulu 50, one fifty wanafelishwa. hivi hii ina maana waalimu wa sheria chuo na law school hawana uwezo kufundisha...
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nimekosa kazi kwa mhindi sababu nimesoma UDSM

    Wapendwa kwema? Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua wawili. Leo wamenitumia email kuwa hawajanichagua na sababu ya kutonichagua ni kwamba, wenzangu...
  3. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Je, mgao wa maji ni wilaya ya Kinondoni na Ubungo?

    Sikutegemea kuna mwana JF anaweza kulalamika kuwa kuna mgao wa maji Dar es Salaam. Sijawahi sikia wakazi wa Temeke, Mbagala au Kigamboni wakiongelea hadithi za mgao wa maji Kigamboni ni wilaya mpya watu wanaishi wao na visima vyao vya maji Mbagala na Temeke wao wanaishi na Maji yao ya kununua...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Moto jirani na hosteli za UDSM wateketeza vibanda vya wafanyabiashara

    Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeteketeza vibanda vya wafanyabiashara vilivyopo kando ya barabara ya kuelekea katika hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Moto huo ulianza leo Ijumaa Novemba 12,2021 saa 2 asubuhi lakini kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilifika eneo...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu kesi ya Mbowe: Jaji Luvanda, Siyani, Tiganga, wamesoma darasa moja UDSM, pia wamesoma pamoja na Deputy DPP!

    Je wajua? Jaji Luvanda, aliyekataliwa na Mbowe, Jaji Siyani aliyejitoa, na Jaji Tiganga, anayeendesha shauri sasa, wote walianza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2000, na kumaliza 2004. Na pia walisoma na Naibu Mwendesha Mashtaka wa Nchi ya Tanzania JP Tunajua wajua lakini tutaendelea kukujuza
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi bora UDSM ametuokoa wanaume anaitwa TITO ana GPA ya 4.8 net bila nyongeza

    Wakuu kumbe kuna mwamba UDSM ana GPA ya 4.8,. Khaa ametuokoa wanaume, wanaume tulianza kusemwa wakuu. --- Mtoni Tito Paul ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Awali ya Elimu jamii katika Takwimu yaani B. A. of Arts in Statistics UDSM aliyepata GPA ya 4.8 na kuwa mwanafunzi bora UDSM Tito...
  7. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Mahafali UDSM: Hawa ndiyo Wanafunzi wa Kike waliopata ufaulu Mzuri

    Leo katika Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7. Wa Kulia anaitwa Bi Irene Cristopher Msengi aliyefuzu Digrii ya Awali ya Biashara katika Uhasibu, Wa kushoto anaitwa Bi Edina Davis Meela aliyefuzu Digrii ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa angu hana hamu na UDSM kwa hiki alichokipata

    Kwema wasomi? Kuna jamaa angu ni in service wa halmashauri moja hapa Tanzania, mwaka 2019 alinifuata kuniomba ushauri wa program na chuo cha kusoma hapa Tanzania, kwa uelewa wangu kiasi niliokua nao kwa kipindi hicho, nikamahauri ni Bora atafute chuo cha private walau huko kunakua na unafuu na...
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wakuu tusaidiane connection ya UDSM

    Kuna picha kadhaa nimeziona zinazohusiana na video ya mwanafunzi wa UDSM ila wengine mjini hapa hatuna connection za kutosha kupata zile clips. Embu wadau tusambaze upendo basi.
  10. Dr.philosophy

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha UDSM kwa changamoto za kiafya. Nina ndugu yangu alitakiwa afanye mtihani leo asubuh..Sasa usiku alipata shida ya kiafya..huwa Ana matatizo flan ya kiafya akashindwa...
  11. msovero

    JamiiForums Tanzania UDSM ndiyo chuo pekee Tanzania kati ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora Afrika

    Wavuti inayofanya tafiti na kutoa orodha ya vyuo vinavyoongoza kwa ubora duniani 'webometrics' imekitaja chuo kikuu cha dar es salaam 'udsm' kuwa ndio chuo pekee kutokea Tanzania kuwepo kwenye orodha ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora barani Afrika. Kwa mujibu wa rank za vyuo vikuu...
  12. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya UDSM: Mafanikio, Changamoto & Funzo

    Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi? **Cha ajabu chuo hiki pendwa hii. Hakuna midahalo, Wala kumbukizi **RIP Prof Luhanga.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa kwanza wanaripoti UDsm na Ardhi lini?

    Habari wadau. Mwaka wa kwanza wanaripoti chuo lini?
  14. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane maisha ya UDSM enzi hizo, wazee wa Bibo na Main Campus

    Haabari wadau..! Maisha ya UDSM enzi hizo yalikuwa powa sana sijajua kwa sasa. Tuanzie wapi ,ngoja tuanze na Boom enzi hizo lilikuwa 4000/= kwa siku ila tulivyoingia chuo ikabidi tufanye mgomo Boom liongezwe watoto wa mama hawataelewa. Maandamano yalianzia Revo Square sijuhi kama watoto wa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania kozi kati ya bachelor of sciencie in civil engineerng UDSm au bachelor of science in elecronic and telecom DIT

    Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo au ushauri katika kuchagua kati ya hizo kozi mbili nilizo zitaja hapo juu Kijana wetu amepata bahati ya kupata nafasi katika hizo kozi mbili hapo juu lakini nimeshindwa kumshauri achague ipi kwa vile sina uelewa mzuri wa hizo kozi ,
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania tuchanje mvua au tuote jua? By Dr. Ally Mahadhy (PhD) - UDSM

    Wanabodi, Hii ni C&P, kwa msaada wa Classmate wangu ambaye ni dakitari, kanimegea toka group lao la madakitari. Karibu. Paskali TUCHANJE MVUA AU TUOTE JUA? Imeandikwa na Dr. Ally Mahadhy (PhD) - UDSM. Ugonjwa wa kirusi cha korona (COVID-19 au UVIKO-19), kwa mara nyengine tena unaku wa ni...
  17. JBube

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu fuateni Utawala Bora

  18. Ajuasadi

    JamiiForums Tanzania Open letter: The date of UDSM with Mfinanga must go

    Dear Minister of Foreign Affairs, First and foremost, i would like to congratulate the President of United Republic of Tanzania Mama Samia for appointing you to be the Minister of Foreign Affairs. Most Elites rejoiced together with you because your appointment signals her respect to diplomacy...
  19. Ajuasadi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia on SabayaKakokoism UDSM

    Her Excellence, kindly be notified that there is no single Tanzanian University in the list of top 3,000 Universities in the World. UDSM used to be the best in Africa but now it is falling down at a light speed due to a wide spread of Sabayakokoism (Sabayaism + Kakokoism). Kindly suspend or...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Lecturer UDSM azawadiwa na Wanafunzi

    Katika kuendeleza dhima ya Uchumi wa viwanda wanafunzi wamemzawadia lecturer wao viatu na shati . Kazi ndo imeanza. **Wakihojiwa wanaonyesha kufurahia tendo hilo.
Back
Top Bottom