udsm

The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Wasamaria wema watoa msaada wa vyakula kwa watu walio katika Karantini kwenye hosteli za Magufuli pale UDSM

    Wasamaria wema kutoka katika jumuiya mbalimbali za kijamii jijini DSM wametoa msaada wa vyakula na maji safi ya kunywa kwa watu walio katika karantini kwenye hosteli za Magufuli pale UDSM. Mmoja wa wasamaria hao amesema walipata taarifa kuwa baadhi ya watu walio katika karantini hawana hata...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa UDSM akamatwa kwa kusambaza taarifa na Takwimu za uongo za Covid-19 WhatsApp

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mwaka wa Tatu Kitivo cha Kiswahili Mariam Jumanne Sanane (23) kwa kosa la Kuchapisha na kusambaza taarifa na takwimu za uongo kuhusu Corona kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Whatsapp. Akitoa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi: Abadani hatutaruhusu nchi kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja. Mbatia adai alifukuzwa UDSM akipigania mageuzi

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi amesema wale vijana wadogo kwenye Siasa wanaodhani watairudisha nchi hii kwenye mfumo wa chama kimoja wanajidanganya na kuota ndoto za mchana. Mbatia amesema alifukuzwa Chuo Kikuu pale UDSM tarehe 10/02/1992 siku ya Jumatatu kwa sababu ya harakati zake za kupigania...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA tunaamini kwamba umaskini ni laana na kila mwanachadema ni tajiri rohoni mwake

    Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake mzee Freeman Mbowe amesema chama chao kinaamini kuwa Umaskini ni laana na kwahiyo wataendelea kuhubiri sera ya utajirisho. Mbowe amesema kila mwanachadema ni tajiri wa Roho hivyo wanakerwa sana na viongozi wa CCM wanaoukumbatia umaskini. Mbowe...
  5. Luqman mohamedy

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako aagiza uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi

    Mama hafahamu mwenye njaa haogopi kufa, kwani hata njaa itamuua. Kuna muda nawaza hawa watu wamesomeshwa na mission nini? Hawajui njaa kabisa. Tuliopitia huu msoto kipindi kile tunaelewa. ===== Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo Kikuu...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Butiku awapa wasomi mtihani wa Katiba Mpya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amesema kuna haja kwa wanataaluma nchini kuanza kuzungumzia mchakato wa katiba mpya kuliko kukaa kimya, kwani ulitumia fedha nyingi. Aliyasema hayo jana, wakati wa kumbukizi ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Chuo...
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Chuo cha Dar es Salaam kimeanza kuzingatia uvaaji wa mavazi kwa wanafunzi

    Leo nimefarijika sana kuona Udsm by laws ikiradidi maelekezo kutoka kwenye nyaraka mbalimbali za watumishi wa Umma kuwa kuanzia sasa ni muhimu kuzingatia maelekezo ya nyaraka za mavazi.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa matokeo ya mtihani - UDSM

    Jana natokea zangu chuo niko kwenye daladala ya Tegeta pembeni kuna mtoto mkali akapigiwa simu kwa maelezo niliyosikia kwa upande mmoja ni kuwa huyu binti alifanya mtihani wa Supplementary matokeo yametoka hakufanya vizuri. Kwahiyo akashauriwa akate rufaa mtihani usahishwe upya baada ya matokeo...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania New Scholarship Opportunities at The University of Dar es Salaam ( UDSM ) 2019/20 | Deadline: 31st October, 2019

    New Scholarship Opportunities The University of Dar es Salaam ( UDSM ) 2019/2020 NAFASI ZA UDHAMINI WA MASOMO 2019 Overview: The University of Dar es Salaam is the oldest and biggest public university in Tanzania. It is situated on the western side of the city of Dar es Salaam, occupying...
  10. eriqelikplim

    JamiiForums Tanzania Top Universities in Tanzania in 2020

    What are the most popular Universities in Tanzania? uniRank tries to answer this question by publishing the 2020 Tanzanian University Ranking of 32 Tanzanian higher-education institutions meeting the following uniRank selection criteria: being chartered, licensed or accredited by the...
  11. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kuugua kwa Prof. Mwesiga Baregu

  12. Tairi bovu

    JamiiForums Tanzania Prof. Baregu alifukuzwa UDSM kwa sababu za kisiasa, huku Bashiru akiachwa kwakuwa ni CCM

    Miaka kadhaa iliyopita Professor Mwesigwa Baregu akihudumia masomo ya siasa na utawala alinyanyaswa, kudhalilishwa na kudunishwa utu wake pale Mlimani. Bashiru aliachwa aendelee kula mema ya nchi kwa kuwa ni CCM na leo ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama. Twaambiwa alikuwa mwanachama wa siri...
  13. S

    JamiiForums Tanzania UDSM, usafi wa vyoo umewashinda?

    Wakuu salama? Najua hii mada kuna wakati ilishajadiliwa humu ila kwakuwa bado hali ya vyoo ni mbaya sio vibaya tukiwauliza UDSM, je kweli usafi wa vyoo umewashinda? Taasis kubwa kama UDSM inashindwa swala dogo tu la usafi was vyoo, hii ni aibu kubwa sana. Vyoo havina maji muda mwingi. Kwakuwa...
  14. Boflo

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa UDSM ajinyonga Manzese!

    By Elisha Magolanga A first-year University of Dar es Salaam (UDSM) student has committed suicide by hanging himself with his shirt in a guest house in the city. Kinondoni Regional Police Commander Charles Kenyela told The Citizen yesterday that Joseph Lugemalila, 21, killed himself at...
  15. S

    JamiiForums Tanzania UDSM student hangs himself - ni wa Mwaka wa Kwanza, kisa majibu ya Daktari

    UDSM student hangs himself By Elisha Magolanga The Citizen Correspondent Dar es Salaam. A first-year University of Dar es Salaam (UDSM) student has committed suicide by hanging himself with his shirt in a guest house in the city. Kinondoni Regional Police Commander Charles Kenyela told...
Back
Top Bottom