Kitivo cha sheria udsm hakunaga 1st class, why?

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
9,100
18,336
Kwa wale wenzangu tuliosoma sheria udsm, tunajua kuwa ni kabudi na majamba tu ndio walipata first class. hii naunganisha na law school ambako wanaweza kufanya mtihani watu 200 wakafaulu 50, one fifty wanafelishwa. hivi hii ina maana waalimu wa sheria chuo na law school hawana uwezo kufundisha? kuna uwezekano mkubwa hawajui kufundisha ndio maana wanafunzi hawawaelewi hadi kupelekea kufeli.

Kwa wale waliosoma nje ya nchi hasa ulaya, watakubaliana na mimi kuwa kule wenzetu elimu imerahisishwa kwasababu hawapo pale kwaajili ya kufelisha wanafunzi wapo kwa ajili ya kumsaidia mwanafunzi kuelewa. hapa bongo waalimu wanafanya juu chini wanafunzi wafeli ati ndio kuchuja wapate cream nzuri, ifike kipindi mwalimu akifelisha sana basi aachishwe kazi manake hana uwezo kufundisha wanafunzi wakaelewa. nawaonea huruma madogo, hadi yule mmoja nasikia kafungua kesi kupinga kufelishwa law school ambako ni kweli pale wanasoma tu diploma na sio degree.
 
Ya kitivo cha sheria UDSM siyajui, lakini kwa nilicho kiona kwenye vyuo vyetu hususani vya serikali lecture au Doc ni sifa kukamata/kufelisha na nadhani nikisema hii inachanqiwa na kukosa chombo sahihi chakuwasimamia nitakua nakosea lakini naamini hii inachangiwa zaidi na asili yetu hususani sisi ngozi nyeusi
Haya mambo yapo kwa asilimia kubwa karibia nchi zote Duniani lakini huku Africa yameshamiri sana.
 
udsm kwa miaka mingi sana huwa hawana first class, kabudi na majamba tu ndio walipata first class. wengine wote huanzia upper second na wao wanaamini kwa kufanya hivyo ni kuchuja, unachuja nini kwa kufanya elimu laini iwe ngumu? wengi tuliteseka hapo tulipoenda kusoma nje tulikuta mazingira mzuri na rahisi ya kukufanya uelewe zaidi ya kukariri. udsm ni wajinga sana
 
Ukweli ndio huu.
 
kwa wale wenzangu tuliosoma sheria udsm, tunajua kuwa ni kabudi na majamba tu ndio walipata first class. hii naunganisha na law school ambako wanaweza kufanya mtihani watu 200 wakafaulu 50, one fifty wanafelishwa. hivi hii ina maana waalimu wa sheria chuo na law school hawana uwezo kufundisha? kuna uwezekano mkubwa hawajui kufundisha ndio maana wanafunzi hawawaelewi hadi kupelekea kufeli.

kwa wale waliosoma nje ya nchi hasa ulaya, watakubaliana na mimi kuwa kule wenzetu elimu imerahisishwa kwasababu hawapo pale kwaajili ya kufelisha wanafunzi wapo kwa ajili ya kumsaidia mwanafunzi kuelewa. hapa bongo waalimu wanafanya juu chini wanafunzi wafeli ati ndio kuchuja wapate cream nzuri, ifike kipindi mwalimu akifelisha sana basi aachishwe kazi manake hana uwezo kufundisha wanafunzi wakaelewa. nawaonea huruma madogo, hadi yule mmoja nasikia kafungua kesi kupinga kufelishwa law school ambako ni kweli pale wanasoma tu diploma na sio degree.
Tatizo wanafunzi wa nyakati hizi ni WAVIVU SANA, hawataki kutaabika, hawasomi lkn wanatamani kufaulu!!! matokeo yake wengi wao wanatumia njia za mikato ilimradi tu amalize apate digirii yake ya kupata ajira.

Ndio maana leo hii tuna wasomi wengi vilaza.

Leo hii hatuoni tofauti kati ya mtu mwenye masters, PHD. yote hayo yanasababishwa na RUSHWA ya ngono, Udanganyifu n.k.
 
kwa wale waliosoma nje ya nchi hasa ulaya, watakubaliana na mimi kuwa kule wenzetu elimu imerahisishwa kwasababu hawapo pale kwaajili ya kufelisha wanafunzi wapo kwa ajili ya kumsaidia mwanafunzi kuelewa. hapa bongo waalimu wanafanya juu chini wanafunzi wafeli ati ndio kuchuja wapate cream nzuri,

Upo sahihi, na hii ndio roho mbaya ya sisi waafrika hatupendi kuona watu wengine wanakuwa na hadhi kama sisi na ndio maana huwezi kuona elimu yetu via a vis maendeleo yakikua, Mungu hapendi watu wenye kujiona, majivuno na kiburi vitu ambavyo maprofesa wetu wanavyo.
 
udsm kwa miaka mingi sana huwa hawana first class, kabudi na majamba tu ndio walipata first class. wengine wote huanzia upper second na wao wanaamini kwa kufanya hivyo ni kuchuja, unachuja nini kwa kufanya elimu laini iwe ngumu? wengi tuliteseka hapo tulipoenda kusoma nje tulikuta mazingira mzuri na rahisi ya kukufanya uelewe zaidi ya kukariri. udsm ni wajinga sana
Kumbe Lissu naye hakupata first class?
 
Kumbe Lissu naye hakupata first class?
atoe wapi first class? tena wenye akili nzuri ndio hawakupata first class, wale wasioeleweka ndio utakuta wana upper second na first hao wawili tu, na ukienda mtaani wanajisifu ati lowe second ya udsm sawa na first class ya vyuo vingine kama Mzumbe (alikosoma kibatala), tumaini n.k. ni sawa na first class ya vyuo vingine, hata wanapotangaza kazi wanaconsider hivyohivyo, sasa kuna sababu gani kufelisha watu makusudi?
 
Wazungu hawafundishi watu kusoma kwa kukariri ili kufaulu mitihani......wanalenga mwanafunzi awe innovative, critical na awe na independent thinking. Kwa namna tunavyofundishwa huku, ukihudhuria darasa ambalo wazungu wanafundishwa unaweza usielewe chochote maana unakuta lecturer anafundisha wanafunzi kana kwamba tayari wanaelewa hicho wanachofundishwa.............na hii ni kutokana na sababu kwamba wao ni fast learners na hivyo hawana haja ya kufafanuliwa vitu in details...........​
 
Udsm pana ujinga mwingi sana.. nakumbuka pale udbs tulikuwa na mwalimu mmoja alitoa assignment kwenye kozi yake.. swali lilikuwa la ajabu haujui uanzie wapi uishie wapi?

Tulihangaika lile swali darasa zima hakuna hata mwenye idea, mm nikapata idea ya kuligoogle lile swali, nikakuta mahali lilishasolviwa na majibu yake lazima ulipie kwa credit card. Imagine mtu analeta swali ambalo kivyovyote hata yeye angechemka tu.
Ikabidi tufanye mchakato tuchangishane tununue ile solution.
Sasa maajabu yake pamoja na kuhamisha yale majibu, bado marks zikaja 3/10, 5/10... Yan group tulilopata marks nyingi zikawa 6/10. Aliona aibu kutupa marks zote..sasa kwa mwendo huo 1st class itatoka wap?
 
Upo sahihi, na hii ndio roho mbaya ya sisi waafrika hatupendi kuona watu wengine wanakuwa na hadhi kama sisi na ndio maana huwezi kuona elimu yetu via a vis maendeleo yakikua, Mungu hapendi watu wenye kujiona, majivuno na kiburi vitu ambavyo maprofesa wetu wanavyo.
majamba alipata first class, kwani ana nini cha ziada kuwazidi kina Mkono na wengine ambao walipata pass? maisha haya mnabaniana wee mwisho wa siku mtaani unaomba kazi kwa walewale. au rizmoko kwani alipata first class?
 
Uwezo wa Wanafunzi Ni mdogo
Walimu hawana shida yeyote wako very competent
kama uwezo wa wanafunzi ni mdogo, na waalimu hawana uwezo kuwafundisha wakaelewa? nichukue mfano udsm ambako ndio nilisoma miaka hiyo, wanaosajiliwa kusoma sheria pale ni wale waliopata division one bora kuliko zingine, hizo two na three wanaenda vyuo vingine. wote wanaosoma udsm wamepata division one za mwanzo kabisa. utasema uwezo wao mdogo? binafsi nilipata one ya sita (HKL), nikapigwa sana za uso. nashukuru Mungu waliniachia walau ufaulu wa kuweza kuapply masters, nikaenda kusoma ulaya, kule nikakuta aina ya ufundishaji na relationship ya waalimu na wanafunzi sio ya kukomoana, ni ya kukufanya uelewe. na wazungu walewale waliosoma kwa kurahizishiwa wakija hapa wanaonekana wana uelewa mkubwa kuliko hawa malekichala wetu.

na kwa wanasheria wanajua, wale waaalimu ukija kukutana nao huku Mahakamani wanapopractice kwenye law firm zao, ni weupe hawajui mambo mengi na tunawapiga chini sana kesi, wanaamini ukimbana mwanafunzi au ukimfelisha umekuwa umechuja. maswali wanayotunga sio ya kuelewa ni ya kukomoa ili mtu afeli ndio kuchuja, si ujinga huu?
 
udsm kwa miaka mingi sana huwa hawana first class, kabudi na majamba tu ndio walipata first class. wengine wote huanzia upper second na wao wanaamini kwa kufanya hivyo ni kuchuja, unachuja nini kwa kufanya elimu laini iwe ngumu? wengi tuliteseka hapo tulipoenda kusoma nje tulikuta mazingira mzuri na rahisi ya kukufanya uelewe zaidi ya kukariri. udsm ni wajinga sana
Hapana ata migiro ,Tenga walipata
 
First Class ya Kabudi imetuzalishia kitu gani Special kama Taifa?

Waache kusokota wenzao kwa vitu vya mpito tuu
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom