The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.
Kwa wale wote wanaohitaji kupanga Hostel karibu au jirani na maeneo ya UDSM, ARU, Chuo cha TAKWIMU mnakaribishwa. Hostel ipo Changanyikeni. Ina fensi, maji pia na umeme. Uwanja una peving na vyumba vyote vina Ceiling Board. Baadhi ya vyumba ni self contained na vina tiles. Vyumba vipo bei...
Wakuu, habari za majukumu.
Naomba kujuzwa, UDSM wanatoa lini admission letters na Joining Instructions, maana siku zinazidi kusonga wazazi hatujui ni nini kinahitajika mpaka sasa.
Habari za wakati huu,
Wale tuliochanguliwa UDSM kwa mwaka wa masomo 2020/2021, karibuni tupeane details zinazoendelea kwa ajiri ya joining instructions, Admission letter na hata taratibu mbalimbali za chuo.
Wakongwe pia wa UDSM karibuni kwa maoni yenu, ushauri na hata mtupe taswira ya...
"UONGOZI SIO MADEGREE" MAGUFULI
"Uongozi sio Madgree, ni kipaji unachopewa na Mungu, Mbunge wenu Lusinde ni Kijana mzuri anafanya kazi nzuri, ndio maana ni Mjumbe wa NEC,niliahidi Barabara ya lami KM 16 kutoka Mlowa hadi Mvumi, RC njoo nikuagize tumalizane hapahapa,zege halilali"-JPM akiwa...
Wakuu mtakumbuka miaka ile kuingia UDSM hata Kama una Division One ya point 3 Lazima ufanye na kufaulu Matriculation Exam. Tofauti na Zama hizi za Dot.com jitu linamaliza chuo hata kuandika sentensi mbili za kiingereza halijui. Ptuu
Siyo jambo jema kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema mh Tundu Lisu kupendelea kutumia neno la " wa majalalani"
Kuna watu wanahusisha neno jalalani na wasomi wa vyuo vikuu hili siyo jambo jema kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
UDSM mlitangaza nafasi kwa watumishi wa umma kuhamia, na katika tangazo lenu mliweka mpaka scale za mishahara kwa ambao watafanikiwa kupata nafasi hizo.
Mdogo wangu ni mmoja wa watu waliofanikiwa kuomba nafasi hizo na kufanikiwa kupata! ana siku kadhaa sasa toka ameanza kazi hapo...
Niko naangalia video music ya Harmonize hapa ya "Falling in love". Kamtumia mke wake yule muitaliano kama Video Queen.
Dah mweupe balaa kanikumbusha yule mdada wa miaka hiyo ya UDSM alikua akivuma sana hasa kwa waliokaa mabibo hostel alikua anataniwa kiti moto. Nadhani alikua Law yule.
Yuko...
Wakuu nilipeleka mgonjwa pale kituo cha afya UDSM-Main Campus. Tukiwa pale Kama masaa MAWILI mfululizo. Panapigwa muziki kwa kelele zote. Najiuliza wanafunzi na wagonjwa wanawezaje kuhimili Yale makelele?
Serikali ya mtaa, Chukueni hatua
CHUO kikuu cha Dar es Salaam chatengeneza dawa ya kujifukiza (Nyungu) ambayo imetengenezwa kwa mfumo wa kisasa zaidi ambapo hutumii majani ya miti lakini unatumia mafuta tete.
Akizungumza na Michuzi Blog Meneja mradi kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam, Stephan Nyandoro amesema kuwa dawa ya...
Chuo Kikuu cha Mt. Augustino Tanzania (SAUT), Mwanza kimewafuta kazi wahadhiri watatu kwa makosa ya kujihusisha na rushwa ya ngono na wanafunzi kwa nia ya kuwapa upendeleo kwenye mitihani. Chuo hicho kimesema vitendo hivyo havikubaliki na kuwataka wanafunzi kuendelea kuvifichua.
Chanzo...
Wakuu naomba mwenye ujuzi anijuze njia zipi unaweza kutumia kukuza GPA kama ukimaliza na GPA ndogo. na pia nataka nijue ukimaliza chuo na GPA chini ya 3 unaweza kupata kazi
Kama mnakumbuka miaka ya nyuma wale waliosoma BCOM University of Dar es salaam walikuwa wanamajor au wanachagua kwenye core kozi mwaka wa pili kama utasomea accounting,human resources, management science,finance au banking.
Lakini ukimaliza chuo mwaka wa mwisho vyeti vyao havikuandikwa kwamba...
Hii sasa imegeuka kama style flani hivi kwa sasa na hii inafanyika mikoa mikubwa especially Dar na Arusha. Kina dada wamegeuza sehemu hiyo kua fursa ya kufanya ufuska wao mwingine. Mtu unajiuliza gym hakuna? Basi kama gym gharama, hakuna maeneo special kwa ajili ya hayo mazoezi?
Au labda...
Nimemfuatilia kwa karibu sana mwanzo mwisho na nilichojifunza ana mafundisho mazuri sana ila kuna kosa kubwa amefanya la kutaka Wanafunzi wa UDSM kuwa ni wakosoaji wa Watumishi wa Mungu huku wakiwa hawaelewi chochote kuhusu imani.
Anaendelea kusema Utumishi ni taaluma unapaswa kuheshimiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.