udsm

The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. haszu

    JamiiForums Tanzania Walioenda interview ya TRA UDSM mliingia na kutoka saa ngapi? Kuna mchezo nataka kuchezewa hapa

    Kabla sijafikiria vibaya, naomba nifahamu muda mlioingia na kutoka katika interview ya TRA UDSM, ahsanteni
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Chuo cha Mwalimu Nyerere na UDSM hatujarudishiwa fedha zetu za ‘refund’ kutoka Bodi ya Mikopo

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi ambapo tayari wengine walikuwa wamelipa ada, hivyo ikabidi chuo kirudishe fedha za Wanafunzi ambao...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nilivyotinga kongamano la Hayati John Magufuli UDSM mwaka 2018 na kukaa VIP bila kualikwa wala kustukiwa

    Nakumbuka mwezi November mwaka 2018,pale chuo kikuu cha Dar es salaam sehemu ya mlimani ukumbi wa Nkrumah kulikuwa na kongamano la kujadili miaka mitatu ya hali ya uchumi na siasa kwa miaka mitatu ya utawala wa Hayati Magufuli. Binafsi nilifahamu hali ya kisiasa na uchumi nchini haikuwa nzuri...
  4. Elijah08

    JamiiForums Tanzania Wenye experience kuhusu degree ya sheria

    Wenye experience kuhusu degree ya sheria • Kwanini Law inayotolewa udsm ni miaka minne na mzumbe ni miaka mitatu • Kuna tofauti kati ya mhitimu wa Law aliyesoma miaka minne na aliyesoma miaka mitatu. Naomba ufafanuzi juu ya hilo
  5. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Bladley Ouna mwanafunzi wa UDSM anayeongoza maandamano kenya

    Msikilize mkurugenzi mtendaji CCK msemaji wa pili baada ya seneta. Alisoma certificate in laws udsm kabla ya kutimkia south africa 2014... wakati huo alikuwa akisakwa na vyombo vya ulinzi na usalama vya kenya. Ni rafiki wa Chacha machera aliyewahi kushika nambari moja kwa mbio za ubunge...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku aigeuza Mwalimu Nyerere Foundation kutoka kuwa taasisi kubwa ya kimataifa mpaka level ya kikao Cha ukoo wa Nyerere. Ikabidhiwe UDSM

    Mwalimu Nyerere Foundation wakati inaanzishwa, ilikuwa na malengo makubwa sana. Ilivutia wafadhili, ilivutia serikali kuweka fedha. Na Kila mtu alitarajia kwamba itakuwa ndio kisima Cha mawazo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, kidiplomasia kwa Kila namna. Mwanzoni ilianza vizuri, kabla haijawekwa...
  7. Econometrician

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Elineema Kisanga wa UDSM Idara ya Uchumi afariki Dunia

    Dkt. Elineema Kisanga lecturer wa shule ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amefariki Dunia Leo asubuhi. Taarifa zinasema kuwa mauti yamemfika akiwa mazoezini, Leo asubuhi ambapo alianguka na kufariki hapo hapo. Kwa wale mliosoma undergraduate, masters na Phd UDSM hope mtakuwa mnamkumbuka...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Ubungo Hostel - UDSM

    Habari wadau wa JF? UDSM ina hostels Ubungo karibu na Mic hotel au Ubungo bus terminal ambazo ni kwa ajili ya Masters na PhD students. Naomba kuuliza utaratibu iwapo mwanafunzi wa Masters anahitaji kuishi Ubungo na sio Mabibo, what procedures to follow. Msaada kwa waliowahi kusoma hapo UDSM...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dar (UDSM) chajadili Mkataba wa Bandari

    Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Ndaki ya Sayansi ya Jamii Kitivo kikongwe cha chuo kikuu cha UDSM chajadili kwa pamoja na jamii nzima mkataba wa bandari Mwenyekiti wa mjadala wa leo Dr. Ng'wanza Soko Kamata wa kitivo cha CoSS UDSM aliwakaribisha wote waliojumuika ukumbini na wale walioshiriki...
  10. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania True story; Madem wa UDSM ndani ya Malawi kusaka limbwata

    Ni mwaka 2019 mjuba narejea toka bondeni. Kuna dili imefeli kiajabuajabu. Kwa hali ya kawaida Mtoto wa kiswahili formula imegoma na Imani imehama. Fikra na hisia nimeshaona Kuna nguvu za giza zimehusika. Sasa nikaanza kurecall majeshi yangu ya tangu enzi za kale katika vita Zangu ngum zaidi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucious UDSM Tanzania watembelea kijiji cha kale cha Siping na jumba la maonyesho la mji wa Jinhua

    Tarehe 22, Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucious katika chuo kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) wametembelea kijiji cha kale cha Siping na jumba la maonyesho la mji wa Jinhua. Kijiji cha Siping kilichoko katika mlima Jiufeng mjini Jinhua, kilijengwa mwanzoni mwa enzi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius UDSM yafunguliwa rasmi mkoani Zhejiang

    Halfa ya ufunguzi wa kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ilifanyika Julai 19 katika Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang, China. Wanafunzi na walimu 20 kutoka Tanzania wameshiriki kwenye kambi hiyo iliyoandaliwa na...
  13. E

    JamiiForums Tanzania UDSM toeni majina ya washindi wa Merit scholarship 2022/2023

    Kama ilivyo kawaida kwa vyuo vingi vya elimu ya juu kutoa ufadhili kwa wahitimu wa ngazi mbalimbali za elimu, chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kina utaratibu wa kutoa ufadhili kwa wanafunzi wa ngazi ya shahada za awali na shahada za uzamili. Katika mwaka wa masomo 2022/2023, dirisha la...
  14. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

    Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha. Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004). NB Postgraduate office wao wanajua...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mradi wa HEET (Higher Education for Economic Transformation) ukiacha UDSM vyuo vingine zimamoto. Kwako Waziri wa Elimu Prof. Mkenda

    Salaam wanajukwaa, Hii nchi imejaa usanii mtupu vyuo vikuu vinacheza na serikali na donors hasa wadau wa maendeleo. Mpwayungu aliwavagaa walimu leo imeenda huko vyuo vikuu wanatengeza mitaala kwa kukaa maofisini, wanabuni masomo kwa hisia zao kihuni tu, hawafuati hatua stahiki, malecturers...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ile harufu Kali ya Kinyesi iliyoko usawa wa Hostels za Magufuli za UDSM na TCRA kwanini haitafutiwi Ufumbuzi?

    Kwa Wapanda DalaDala ( Bayankata ) Wenzangu najua hapa watakuwa Wananielewa sana tu. Ni harufu ya Kinyesi ( na inaonyesha kuna Shimo Taka ) ama la Magufuli Hostels au za TCRA limejaa hivyo linatema na kuwa Kero katika Pua zetu. Tafadhali Mamlaka ifanyie Kazi hili.
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania UDSM utaratibu wa utoaji vyeti kwa wahitimu ni sifuri mjue kuna vijana hawana ndugu hapa Dar

    Hili jambo limenisikitisha sana kama si kunifedhehesha utaratibu wa kutoa vyeti ni wa hovyo kabisa!! Vijana wametoka mikoani na wanawahi ku apply ajira ajabu tangia jumatatu mpaka Leo hawajapata vyeti, wengi wao hawana ndugu hapa Wala pesa ya kujikimu hawajui watalala wapi Kila siku wanapanga...
  18. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

    Samaleko! Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
  19. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, kiokoe Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kusimamia kauli yako

    Nakuandikia Waziri wangu wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, Mnamo mwezi Disemba, 2022 wewe Mhe Waziri ulitoa kauli: Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili. Mimi ni mstaafu chamani na Serikalini. Pamoja na kwamba nami pia nimehitimu Chuo Kikuu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kusain boom Vyuoni (UDSM)

    Sasa tumekaa nyumbani wiki tatu, halafu kesho tunafungua chuo unakutana na tangazo kwamba mwanafunzi yeyote hatoruhusiwa kusain stihaki hadi pale atakapopata kitambulisho (ID) ya mwaka mzima. Sasa mwanafunzi amelipiwa ada asilimia 100 na pia ameshaConfirm registration bado anazuiliwa asiSain...
Back
Top Bottom