udsm

The University of Dar es Salaam (UDSM) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It was established in 1961 as an affiliate college of the University of London. The university became an affiliate of the University of East Africa (UEA) in 1963, shortly after Tanzania gained its independence from the United Kingdom. In 1970, UEA split into three independent universities: Makerere University in Uganda, the University of Nairobi in Kenya, and the University of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa UDSM, tumezuiliwa kufanya mitihani kwa kushindwa kukamilisha Ada

    Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa kukosa vitambulisho vilivyo hai (Valid ID) kwa sababu ya kushindwa kumalizia Ada ya Semister ya Pili...
  2. Foffana

    JamiiForums Tanzania UDSM wanafunzi washindwa kufanya mitihani ya majaribio kisa ADA

    SAKATA LA VALID ID Zaidi* ya robo tatu ya Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam wameshindwa kufanya mitihani yao ya majaribio baada ya kukiuka kanuni na taratibu za mtihani za chuo kikuu cha Dar es salaam zinazowataka kuwa na kitambulisho halisi cha chuo ndani ya muhula au mwaka husika (...
  3. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA?

    Wakuu, Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA? Kama hawana, what is the option kwa mtu anayeishi kanda ya ziwa kusoma hii course (MBA -Finance) NAkaribisha ushauri wowote kuhusu hii kozi na chuo.
  4. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni lini Udsm itatambuwa mchango wa Bakhresa na kumtunuku Honorary Causa?

    Ni Kwa nini vyuo vikuu vyetu vinajipendekeza Sana Kwa wanasiasa na kushindwa kutambuwa mchango wa watu waliyofanya makubwa kama SS Bakhresa ambaye hata corridor za University hajui zinafananaje?
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Financial Administrator at UDSM

    Job description The Department of Geography in collaboration with the University of Cape Town’s Environmental Humanities South (EHS) is implementing a four-year research project namely: Critical Zones Africa, South and East (CzASE). The project is funded by the Science Qualifications Holder of...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

    Habari wadau. Kuna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm Amepata division one form 4. Na amepata division one form 6. Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi...
  7. Championship

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Henry Mgombelo wa UDSM afariki dunia

    Mwaka 2016 niliingia ofisini kwake pale CoICT nikitaka aniandikie reference letter nilipokuwa naenda kusoma University of Manchester. Sasa nikakuta amefungua JamiiForums, anatoa michango yake kwenye majukwaa mbalimbali. Aliwahi kunifundisha kozi kadhaa za Telecom Engineering nilipokuwa CoET...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Africa Sub Sahara Best University Ranking; Tanzania yaingiza Muhimbili na Ardhi

    Kwa Mujibu wa Jarida la Higher Education University Ranking,Tanzania imeingiza Vyuo Vikuu 2 kwenye List ya Top 10 Best Universities.. Vyuo hivyo ni Muhimbili University of Allied Sciences nafasi ya 3 na Ardhi University nafasi ya 10. UDSM imeshika nafasi ya 21 kati ya vyuo 25 huku Udom...
  9. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayesomea Kiswahili UDSM anipe muongozo

    Habari. Natafuta mtu anayesomea Shahada ya Kiswahili UDSM anipe msaada wa uchambuzi wa vitabu fulani vya Kiswahili. Ni Muhimu awe mwanafunzi maana kazi tutaifanyia chuoni. Naomba aniDM.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kujifunza UDSM

    Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter mwanafunzi wa mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), nasomea historia na sayansi ya siasa, Namba yangu ya usajili 2021-04-01016. UDSM tunafundishwa kwa namna 2, lectures za Darasani na seminar presentation, Kwenye seminar presentation ndiyo sehemu pekee ya...
  11. TTCC_TECNO

    JamiiForums Tanzania UZINDUZI WA SIMU WENYE SUPRISE KUBWA CHUONI (UDSM)

    Habari wapenzi wa teknolojia! Habari za kusisimua kwenu wanafunzi wa chuo ni kwamba simu ya TECNO SPARK 20 inatarajiwa kuzinduliwa chuoni UDSM tarehe 06 Februari 2024, hii itakuwa ya kipekee sana kwani sisi wanafunzi wa chuo kikuu ndio washiriki wakuu! Si tu kuhusu uzinduzi wa simu; bali kuna...
  12. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Dar inasemwa kumjibu Generali ulimwengu. Inatia aibu

    Hivi jamani kwann mambo mengine msinyamaze mkijirekebisha. Vyuo vingi ni kama extended high school sio uongo. Zamani tulizoea ukisikia kitivo cha sheria, kitivo cha lugha unajua kabisa hapo kumesimama. Siku hizi hovyo hovyo Yapite
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kucheleweshwa kwa malipo ya Boom kwa baadhi ya Wanafunzi wa UDSM tatizo liko wapi?

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) waliofanya mitihani ya supplementary na special hawajapata stahiki zao. Hii ni wiki ya tano (5) sasa hii, sawa na mwezi 1 na wiki 1, Wanafunzi wamekuwa wakiishi katika mazingira magumu kutokana na changamoto za kiuchumi zilizo sababishwa na...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania UDSM kuwa Form 10 Jibuni hoja za jenerali Ulimwengu

    Nimemskiliza kwa makini ulimwengu yuko sahihi maana chuo kimezubaa scna siku za hivi karibuni. Sijui nkruma hall wanaitumia kwa kazi gani siku hizi. Najiuliza je huenda siku hizi vijana wanaoenda vyuoni ni wadogo sana kiasi amabacho hawawezi kujenga hoja. Hapana wanasiasa wamekikandamiza...
  15. A

    JamiiForums Tanzania UDSM mnakosa hata Solar power karne hii?

    Mna vitivo vya Uhandisi, sayansi, ICT sheria ila mpaka zama hizi mnakosa Solar power project kusaidia wakati wa mgao? Mbona mnanunua V8/VX kila uchwao? Mnakwama wapi? **Kipi ninajivunia miaka 60 ya kuanzishwa kwenu?
  16. Fifteen

    JamiiForums Tanzania UDSM pitieni upya mfumo wa wanafunzi kusaini pesa ya kujikimu

    Habari wakuu, moja kwa moja niende kwenye topic chuo kikuu Cha udsm kimekua na utaratibu wa kuzuia wanafunzi kusign pesa za kujikimu mpaka pale mtu awe anemaliza kulipa ada pamoja na direct cost. Huu mfumo haujakamilika kwasababu Kuna wanafunzi wa Hali ya chini wanategemea kulipa ada kwa pesa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

    Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu. Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Vyuo vya UDSM, UDOM, IFM na SUA vinaongoza kwa maambukizi ya VVU nchini Tanzania

  19. F

    JamiiForums Tanzania Website ya UDSM mbona haiko User friendly? Tatizo nini?

    Hiki Chuo Kikuu ni kikubwa, sasa unapoingia kwenye Website yao huoni huo ukubwa! Website imekaa ki- utumbo utumbo tu! Mtu unajaribu ku- access information , mfano: UDSM selection list 2023/2024 pdf. Hiyo pdf yenyewe uki - click huioni! Ni utumbo mtupu!
  20. F

    JamiiForums Tanzania Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

    Habari wadau, Mwanafunzi wa UDSM kutoka department ya Creative Arts maarufu kama Plaboe ametangazwa best student katika mahafali ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam ya mwaka 2023. Kijana huyo ameongoza kwa kupata First Class GPA ( 4.8) ambayo ni ya juu kuliko wanafunzi wote UDSM. Amesoma...
Back
Top Bottom