Wenye experience kuhusu degree ya sheria

Elijah08

Member
Jul 29, 2023
7
13
Wenye experience kuhusu degree ya sheria

• Kwanini Law inayotolewa udsm ni miaka minne na mzumbe ni miaka mitatu

• Kuna tofauti kati ya mhitimu wa Law aliyesoma miaka minne na aliyesoma miaka mitatu.

Naomba ufafanuzi juu ya hilo
 
Wote wanapitia law school kama wanataka kuingia mahakamani. Hivyo hakuna tofauti.

Back
Top Bottom