True story; Madem wa UDSM ndani ya Malawi kusaka limbwata

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
567
1,550
Ni mwaka 2019 mjuba narejea toka bondeni. Kuna dili imefeli kiajabuajabu. Kwa hali ya kawaida Mtoto wa kiswahili formula imegoma na Imani imehama.
Fikra na hisia nimeshaona Kuna nguvu za giza zimehusika. Sasa nikaanza kurecall majeshi yangu ya tangu enzi za kale katika vita Zangu ngum zaidi.

Kwakua nilikua nimetoka kwenye ajira ya mshahara na kuingia ujasiriamali kiukweli nilikosa mtaalam mwenye sifa ambazo zitafaa kwa changamoto yangu hii( itakua story ya siku nyingine).

Mwamba nikarejea toka South Africa, hapo ni kabla ya wimbi la Corona.
Location inasoma Tunduma border. Nikabidi niwacheki wana kadhaa ili kujikita mizizi na kupata dira. Kuna jamaa yangu mmoja anaitwa Joe. Jamaa nilimuacha anauza matunda kwenye toroli.

Jamaa nilitokea kumuanini sana sababu alikuwa ananipa maelekezo mengi ili nijue namba ya kudeal na mambo ya pale mpakani.

Jambo la kushangaza ni kwamba ndani ya mwaka mmoja nilimkuta jamaa tayari ameshaacha kazi yake na kufungua duka kubwa la Mapambo ya nyumba na taa za ndani zile VIP. Jamaa tayari anatembelea matako.

Kiugupi jamaa ameshatoboa pakubwa.

Sasa baada ya kukutana na jamaa nikamfungulia code zote. Jambo la furaha ni kuwa naye aliiona dosari na hakua mbali na mawazo yangu.

Tukakubaliana kwa pamoja kuwa hapo Kuna jambo ya gizani. Na Sasa lazima lijulikane au litayuliwale
Kwakua sikua na ramani ya majeshi ya pande hizo ikabidi nimtwike zigo.

Kifupi ni kwamba ukiwa mwana harakati Kuna watu unatakiwa kuwa nao. Wengi husema kuwa ni lazima uwe na wana au watu polisi, hospital ( doctor), mahakamani/ mwana Sheria na sehem nyingine muhim.

Sasa Leo naomba nikuongezee kitu. Unatakiwa kuwa na watu wa kiroho pia, kama unaamini Mungu basi uwe na Shehe au Mchungaji wa kweli.

Naposema wa kweli namaanisha ambaye anaweza kubadilisha jambo kwa maombi na liwe vile upendavyo wewe.

Sisi wengine huenda mbali zaidi na kuwa na waganga wake wa ukweli. Na Huwa tunakuwanao kwakulingana na ubovevu wao.

Kuan mtaalam wa ramli, huyu ukiwa na maralia anakwambia mbaya idadi ya vidudud. Kuna mtaalam wa tiba, huyu swala lanuchawi anatibu kama kunywa soda, Sasa Hawa wapo wale wanao tibu Kila aina uchawi wa kuonewa na ule wa kuchokoza.

Kua wazee wa kupindua meza. Hawa wanafanya enchantment.. yaani wazee wa kugeuza matukio. Hawa wakali wa kesi, mapenzi na Biashara. Hawa wazee Huwa tunakuwanao kwa ajili ya dharula yoyote ya maisha ili tujue dira. Sasa Hawa ndio tunawaita Majeshi yetu yaani Wagner.

Tundelee Sasa. Yule mwanangu akatoa dira ya kwenda Malawi. Tulitakiwa kwenda kwa pikipiki mwendo wa masaa manane.

Sasa tulihitaji kupata ratiba ya yule Mzee na pia kuwapanga bodaboda ambao Huwa ni maalum kwa kazi hiyo tu.
Katika kuwapanga hao jamaa ndipo tukakutana na kundi linguine la abiria ambao nilibidi kustaajabu.

Wale wadada walikua wanne Pisi kali kweli kweli. Watoto raini sana.
Nilipopata kujua kuwa nao watakua katika msafara ule, kichwani mwangu nilijiuliza sana kuhusu dhumuni la safari Yao.
Mipango ilifanyika na muda wa safari ukafika.

Safari ilianza saa nane usiku ili tufike na kuwahi kilingea muda wa saa nne asubuhi. Safari ile ni moja ya safari ngum sana. Niliwahurumia sana wale warembo na moyoni mwangu nikajisemea kuwa kama Kuna mtu amewadhulu hay wadada atakua amekosea sana.

Wale boda boda ni vichaa kweli. Jamaa wanaendesha katikati ya msitu wanakwepana na miti na majabali kama movie ya Six commandos. Tulifika sehem tukasama mida ya saa mbili asubuhi ili kuchimba dawa.

Warembo mawigi yamekua kama fagio la sokoni. Wapepauka vibaya. Kumbuka kule Kunabaridi sana, Sasa imagine saa nane usiku ukiwa unapigwa na upepo wa pikipiki.

Baada ya dakika chache safari ikaendelea mpaka kwa Mzee.
Jambo niliko staahabu ni wingi wa watu walio kuwepo pale. Watu wa Kila NCHI na kabila. Ilikua ni ajabu sana. Wengine hata hawajui kiswahili.

Nilijiuliza" Hawa watu wapajuaje huku?"
Wale warembo hatukupata sababu ya kuanziasha ukaribu ili angalau niweze kudadisi dhumuni la safari Yao.

Kwa bahati pale kwa Mzee kulikua na utaratibu wa ajabu sana. Yaani watu mnaitwa kama ishirini na kuingia kilingeni na hapo Sasa Kila mmoja atazungumza bila kuficha.

Kama umekuja Kuua uansema hadharani, kama umekuja kutaka ndagu unasema wazi na hapohapi jambo lako unamaliziwa kazi yako ukitoka nje hakuna kurudi.

Alianza Mzee mmoja wa umri wa kama miaka 55, Mzee akaeleza " Nimekua kutoa kizazi ili nisizae Tena nahitaji kupata Utajiri"

Yule Mzee akauliza mizimu pale pale ikamkataa. "Mzee umri wako umeshapita, kwahiyo haiwezekani au chagua njia nyingine"

Akafuata msela mmoja akasema amaekuja kuweka kidonda. Palepale akachukuliwa na vijana wa yule Mzee akapelekwa chini ya mbuyu, akapichwa chale kwenye jicho la mguu Kisha ahafungiwa na dawa kwenye zile chale. Akaambiwa arudi baada ya siku sana.
* Tutaendelea baadae
 
maisha ya sasaivi ukizingua dakika 2 wameisha kuchinja.

Kuna teacher katelekeza Demu wake kaingia kwenye ajira akabadili Mke kimyakimya Mke mkubwa kajua kikawaka.
Kwa sasa tumetoka kumzika week iliyopita. Alipataka ajali ya pikipk akafa.

Tumtafuteni Mungu wapendwa. Life is spiritual.
 
😒
 
Ni mwaka 2019 mjuba narejea toka bondeni. Kuna dili imefeli kiajabuajabu. Kwa hali ya kawaida Mtoto wa kiswahili formula imegoma na Imani imehama.
Fikra na hisia nimeshaona Kuna nguvu za giza zimehusika. Sasa nikaanza kurecall majeshi yangu ya tangu enzi za kale katika vita Zangu ngum zaidi.
Kwakua nilikua nimetoka kwenye ajira ya mshahara na kuingia ujasiriamali kiukweli nilikosa mtaalam mwenye sifa ambazo zitafaa kwa changamoto yangu hii( itakua story ya siku nyingine).
Mwamba nikarejea toka South Africa, hapo ni kabla ya wimbi la Corona.
Location inasoma Tunduma border. Nikabidi niwacheki wana kadhaa ili kujikita mizizi na kupata dira. Kuna jamaa yangu mmoja anaitwa Joe. Jamaa nilimuacha anauza matunda kwenye toroli. Jamaa nilitokea kumuanini sana sababu alikua ananipa maelekezo mengi ili nijue namba ya kudeal na mambo ya pale mpakani.
Jambo la kushangaza ni kwamba ndani ya mwaka mmoja nilimkuta jamaa tayari ameshaacha kazi yake na kufungua duka kubwa la Mapambo ya nyumba na taa za ndani zile VIP. Jamaa tayari anatembelea matako. Kiugupi jamaa ameshatoboa pakubwa.
Sasa baada ya kukutana na jamaa nikamfungulia code zote. Jambo la furaha ni kuwa naye aliiona dosari na hakua mbali na mawazo yangu. Tukakubaliana kwa pamoja kuwa hapo Kuna jambo ya gizani. Na Sasa lazima lijulikane au litayuliwale
Kwakua sikua na ramani ya majeshi ya pande hizo ikabidi nimtwike zigo.
Kifupi ni kwamba ukiwa mwana harakati Kuna watu unatakiwa kuwa nao. Wengi husema kuwa ni lazima uwe na wana au watu polisi, hospital ( doctor), mahakamani/ mwana Sheria na sehem nyingine muhim. Sasa Leo naomba nikuongezee kitu. Unatakiwa kuwa na watu wa kiroho pia, kama unaamini Mungu basi uwe na Shehe au Mchungaji wa kweli. Naposema wa kweli namaanisha ambaye anaweza kubadilisha jambo kwa maombi na liwe vile upendavyo wewe.
Sisi wengine huenda mbali zaidi na kuwa na waganga wake wa ukweli. Na Huwa tunakuwanao kwakulingana na ubovevu wao. Kuan mtaalam wa ramli, huyu ukiwa na maralia anakwambia mbaya idadi ya vidudud. Kuna mtaalam wa tiba, huyu swala lanuchawi anatibu kama kunywa soda, Sasa Hawa wapo wale wanao tibu Kila aina uchawi wa kuonewa na ule wa kuchokoza.
Kua wazee wa kupindua meza. Hawa wanafanya enchantment.. yaani wazee wa kugeuza matukio. Hawa wakali wa kesi, mapenzi na Biashara. Hawa wazee Huwa tunakuwanao kwa ajili ya dharula yoyote ya maisha ili tujue dira. Sasa Hawa ndio tunawaita Majeshi yetu yaani Wagner.

Tundelee Sasa. Yule mwanangu akatoa dira ya kwenda Malawi. Tulitakiwa kwenda kwa pikipiki mwendo wa masaa manane.
Sasa tulihitaji kupata ratiba ya yule Mzee na pia kuwapanga bodaboda ambao Huwa ni maalum kwa kazi hiyo tu.
Katika kuwapanga hao jamaa ndipo tukakutana na kundi linguine la abiria ambao nilibidi kustaajabu.

Wale wadada walikua wanne Pisi kali kweli kweli. Watoto raini sana.
Nilipopata kujua kuwa nao watakua katika msafara ule, kichwani mwangu nilijiuliza sana kuhusu dhumuni la safari Yao.
Mipango ilifanyika na muda wa safari ukafika.

Safari ilianza saa nane usiku ili tufike na kuwahi kilingea muda wa saa nne asubuhi. Safari ile ni moja ya safari ngum sana. Niliwahurumia sana wale warembo na moyoni mwangu nikajisemea kuwa kama Kuna mtu amewadhulu hay wadada atakua amekosea sana.
Wale boda boda ni vichaa kweli. Jamaa wanaendesha katikati ya msitu wanakwepana na miti na majabali kama movie ya Six commandos. Tulifika sehem tukasama mida ya saa mbili asubuhi ili kuchimba dawa. Warembo mawigi yamekua kama fagio la sokoni. Wapepauka vibaya. Kumbuka kule Kunabaridi sana, Sasa imagine saa nane usiku ukiwa unapigwa na upepo wa pikipiki.
Baada ya dakika chache safari ikaendelea mpaka kwa Mzee.
Jambo niliko staahabu ni wingi wa watu walio kuwepo pale. Watu wa Kila NCHI na kabila. Ilikua ni ajabu sana. Wengine hata hawajui kiswahili. Nilijiuliza" Hawa watu wapajuaje huku?"
Wale warembo hatukupata sababu ya kuanziasha ukaribu ili angalau niweze kudadisi dhumuni la safari Yao.
Kwa bahati pale kwa Mzee kulikua na utaratibu wa ajabu sana. Yaani watu mnaitwa kama ishirini na kuingia kilingeni na hapo Sasa Kila mmoja atazungumza bila kuficha.Kama umekuja Kuua uansema hadharani, kama umekuja kutaka ndagu unasema wazi na hapohapi jambo lako unamaliziwa kazi yako ukitoka nje hakuna kurudi.
Alianza Mzee mmoja wa umri wa kama miaka 55, Mzee akaeleza " Nimekua kutoa kizazi ili nisizae Tena nahitaji kupata Utajiri"
Yule Mzee akauliza mizimu pale pale ikamkataa. "Mzee umri wako umeshapita, kwahiyo haiwezekani au chagua njia nyingine"
Akafuata msela mmoja akasema amaekuja kuweka kidonda. Palepale akachukuliwa na vijana wa yule Mzee akapelekwa chini ya mbuyu, akapichwa chale kwenye jicho la mguu Kisha ahafungiwa na dawa kwenye zile chale. Akaambiwa arudi baada ya siku sana.
* Tutaendelea baadae
..
 
Hizo ni story za ulevi wa ugoro,hakuna pesa za shirki pambana fanya kazi upate pesa,ungekua hivyo kila mjinga angekua tajiri,nani anaupenda umaskini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom