Kelele za Muziki maeneo ya UDSM

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,215
7,381
Wakuu nilipeleka mgonjwa pale kituo cha afya UDSM-Main Campus. Tukiwa pale Kama masaa MAWILI mfululizo. Panapigwa muziki kwa kelele zote. Najiuliza wanafunzi na wagonjwa wanawezaje kuhimili Yale makelele?
Serikali ya mtaa, Chukueni hatua
 
Huo muziki unapiga keleke hadi huku Changanyikeni unafika, ni makelele tu, hata jana ilikuwa hivyohivyo.

Vv

Mnamaanisha kelele za muziki wa department ya Physical Studies pale chini ya DARUSO bar ama makelele ya kanisa la pale UDSM. Vumilieni ibada za makafiri hizo. Bila makelele ibada zao hazikamiliki
 
Back
Top Bottom