UDSM, first year students 2020/2021

P Accountant

JF-Expert Member
Sep 26, 2020
369
169
Habari za wakati huu,

Wale tuliochanguliwa UDSM kwa mwaka wa masomo 2020/2021, karibuni tupeane details zinazoendelea kwa ajiri ya joining instructions, Admission letter na hata taratibu mbalimbali za chuo.

Wakongwe pia wa UDSM karibuni kwa maoni yenu, ushauri na hata mtupe taswira ya mazingira hapo UDSM.

Nawasilisha.
 
Udsm ni pana sana dogo sema unaenda college gani kuwa specific sana. Mana mie najua cebe ndani ya CoET ningekuwa CoNAS nisingemalizaga mana nimemaliza pale supp kama zote Napata GPA ya 1.7 wakiweka practical training inasoma 1.8 GPA napiga sapu inasoma 2.0 nasonga mbele kama kawaida na carry za kutosha.
Trend iyo kwa MTU wa CoNAS unakuta ameshadisco mana kuna kitu kinaitwa departmental gpa ni Nouma dogo. Na wana yo ile ya main course na sio zile optional courses lazima uzifaulu vizuri pasipo Hayo optional courses.
Kiufupi ni kukaza zaidi ya advance.
Mie Nilikuwa ninajichanganya na biashara kidogo second year ningeenda na maji walienda kama watu 17 mwaka wa NNE akaenda mmoja. Niliumia sana.
Tulianza 181 tukahitimu 137.
 
PS unamaanisha political science mkuu, ama??
Sijawahi fika chuo, ila naskia Ukiachana na Coet na Conas, mziki upo UDsoL kwa upande wa art, I thought COSS ni bata mkuu
Yah. Kila kona ina ugum wakee hamna lelemam kuna course linaitwa AS.. yan chuo ni zaidi y advance n level usiashum bata kabla hujafika
 
Udsm ni pana sana dogo sema unaenda college gani kuwa specific sana. Mana mie najua cebe ndani ya CoET ningekuwa CoNAS nisingemalizaga mana nimemaliza pale supp kama zote Napata GPA ya 1.7 wakiweka practical training inasoma 1.8 GPA napiga sapu inasoma 2.0 nasonga mbele kama kawaida na carry za kutosha.
Trend iyo kwa MTU wa CoNAS unakuta ameshadisco mana kuna kitu kinaitwa departmental gpa ni Nouma dogo. Na wana yo ile ya main course na sio zile optional courses lazima uzifaulu vizuri pasipo Hayo optional courses.
Kiufupi ni kukaza zaidi ya advance.
Mie Nilikuwa ninajichanganya na biashara kidogo second year ningeenda na maji walienda kama watu 17 mwaka wa NNE akaenda mmoja. Niliumia sana.
Tulianza 181 tukahitimu 137.
UDBS Mkuu
 
Back
Top Bottom