Ni vipi vigezo vya kuingia UDSM kwa njia ya Diploma?

Johnyy

Member
Dec 21, 2018
93
39
Wana JF,

From diploma to best uni (UDSM) inahitaji sifa zipi na idadi inayodahiliwa ni kubwa au?
 
Uwe na GPA kuanzia 4.0 kwenda juu, japo Ni kulingana na kozi lakini ukiwa chini ya hapo Ni ngumu, kikubwa apply tu, Cheri Cha olevel wanazingatia Sana.
 
Uwe na GPA kuanzia 4.0 kwenda juu, japo Ni kulingana na kozi lakini ukiwa chini ya hapo Ni ngumu, kikubwa apply tu, Cheri Cha olevel wanazingatia Sana
Uwe na GPA kuanzia 4.0 kwenda juu, japo Ni kulingana na kozi lakini ukiwa chini ya hapo Ni ngumu, kikubwa apply tu, Cheri Cha olevel wanazingatia Sana.
Kozi ya B com Accounting
 
Back
Top Bottom