mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,231
Hii sasa imegeuka kama style flani hivi kwa sasa na hii inafanyika mikoa mikubwa especially Dar na Arusha. Kina dada wamegeuza sehemu hiyo kua fursa ya kufanya ufuska wao mwingine. Mtu unajiuliza gym hakuna? Basi kama gym gharama, hakuna maeneo special kwa ajili ya hayo mazoezi?
Au labda kukimbia barabarani kunaongeza ufanisi wa mazoezi? Sasa tazama nguo wanazovaa vs maumbilie yao, tazama maeneo ya barabara wanapofanyia hayo mazoezi, tazama na muda pia. Kisha jumlisha, unipe jibu.
Mimi hesabu zangu zimeniletea majibu mazuri, "Mazoezi barabarani ni njia ya kina dada kujipatia wanaume. (huwenda sio wote)