udikteta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Kanuni za bunge nazo zina udhaifu na udikteta mpina hawezi chomoka!

    Spika anasema kwa mujibu wa kanuni ni kuwa mbunge akimtuhumu mbunge mwingine ni lazima siku hiyo hiyo au nyingine awasilishe vielelezo vyake kwa spika na spika atapelekea kwa kamati ya maadili ambayo spika ataichaigua yeye na kuipenda kama sheria na kanuni za bunge zilivyompa mamlaka spika...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore wa Burkina Faso ni mfano hai kuwa ili nchi iendelee inahitaji kiongozi dikteta

    Hakika wananchi wa Burkina Faso wanabubujikwa na machozi kwa rais mzalendo waliyenpata🙂. Ndani ya muda mfupi Ibrahim Traore ameonyesha kwa vitendo nia yake ya kuikonboa nchi yake kutoka kwenye umaskini. Ameanza ujenzi wa refinery kubwa ya dhahabu yenye uwezo wa kusafisha tani 150 kwa mwaka...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu, Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa awamu ya 5 kwa vitendo

    Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini bado Ukweli uko wazi kwamba ndiye Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa kishamba wa Jiwe hadharani ...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kutawaliwa na Chama kimoja toka Uhuru ni udikteta, lakini tumejifanya hatuoni

    Toka uhuru mpaka sasa tumetawaliwa na mfumo wa chama kimoja, na bado watu wanaita ni Nchi ya Demokrasia. Uchaguzi unaofanyika Nchini ni kama bosheni tu, na uchaguzi halali ni ule unaofanyika katika kamati kuu ya chama tawala kumpitisha mgombea. Mgombea akishapitishwa na chama tawala tayari huyo...
  5. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Demokrasia haileti maendeleo ila udikteta ndio unaleta maendeleo?

    Naomba mnisaidie wadau ni nchi gani duniani imepiga hatua za maendeleo ya kiuchumi kwa sababu ya demokrasia?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Nyerere kutangazwa mtakatifu: Kanisa Katoliki mnataka watu wamwige Nyerere kwa lipi hasa? Umaskini, udikteta, ujamaa, ucheshi au nini hasa?

    Kwamba licha ya Nyerere kuwa na mapungufu mengi, kumtangaza mtakatifu ni jambo ambalo litakuwa kikwazo zaidi kwa watu kuliko kuwa chachu ya maisha ya utakatifu. Kwanini msisubiri miaka 200 ipite ili watu wote wanaomjua "Nyerere wa kweli" wawe wamefariki ili kusiwe na scandalization yoyote kwa...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hawa Wabunge wa ovyo ni zao la Udikteta Uchwara awamu ya Hayati Magufuli

    Ukweli usemwe Rais SSH hana baya saana ukilinganisha na yule, mkatili wa kihistoria nchini Tanzania. Hakuna asiyekumbuka mikwala ya Magufuli kwa wakurugenzi kuhusu uchaguzi na kuwatisha kumtangaza Mpinzani kama mshindi, ni wapumbavu tu ndio wataamini Professor J, Zitto, Mnyika, Sugu, Heche...
  8. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Jua tofauti ya Ugaidi, udikteta na uasi

    Ugaidi ni nini? Ugaidi ni kule kuharibu Mali za watu, kujeruhi na kuua raia wasio na silaha makusud ili kufanikisha malengo ya kisiasa au kimrengo. mfano Al qaida, Harakat Al shababu Al mujhedn Udikteta. Ni kule uongozi unaoshika madaraka mahali kukataa kufuata sheria kwa makusud kabisa, hivyo...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Angalieni TANESCO walivyokua na dharau, wamenibadilishia mita bila ya kunijulisha na wananipa ahadi za uongo

    Kwanza wamenibadilishia mita bila ya kunijulisha mteja wao, pili dharau kejeli na uongo nilipowasiliana nao, tatu ahadi za uongo, inne huduma mbovu. Majina ya customer care ninayo, muda na namba na tiketi za report ninazo, namba za simu za mafundi walioniahidi wanakuja ndani ya saa 24 ninayo...
  10. Logikos

    JamiiForums Tanzania Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia

    Tukumbushane tu..., Sisemi kwamba hili linatokea Sasa lakini Kutumika kwa Rasilimali Fedha na Muda kwenye Maigizo ya Demokrasia au Kutumia Pesa kwa Propaganda, ni bora Muda na Pesa hizo zikatumika kuleta maendeleo kwa Wananchi wanaojua Demokrasia haipo (Maigizo yana Gharama isiyo na Tija...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kupiga vita ufisadi sio udikteta. Leo hii ikulu Chamwino imekamlilika, Umeme toka JNHPP utaanza kuzalishwa. Daraja la busisi je?

    Mlisjisahau mkadhania kupiga vita ufisadi ni udikteta . Mkabakiza kashfa na maneno yasiyo na tija eti Megastructures hazina faida. Leo hii mnakatiza wami. Soon mtakatiza busisi. Na ndio msingi mkuu wa kupiga vita ufisadi
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi: Prof Kabudi ashitakiwe kwa kulidanganya taifa juu ya tril 360. Aliunga mkono udikteta enzi za hayati

    Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter "Kwa jinsi hii, huyu mzee anatakiwa awe ‘held accountable’ kwa kulidanganya Taifa kama anavyokiri hapo… Huyu mtu ana rekodi ya ovyo sana serikalini na ni mmoja wa watu waliokuwa wakichochea udikteta (Henchmen) kwenye awamu ya Mwendazake…" Na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuandika kitabu kuelezea UDIKTETA wa Magufuli

    Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli. Na nikishauza kopi za...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Askofu Frederick Shoo: Viongozi wa dini wanapaswa kutoegemea upande mmoja wa siasa kwa kuwa watu wa vyama vyote ni waumini wao

    MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Frederick Shoo, amekemea vitendo vya kupigwa na kudhalilishwa kwa baadhi ya wagombea hasa wanawake katika kampeni za uchaguzi na kutahadharisha kuwa iwapo vitendo hivyo, vikiaachiwa viendelee vitahatarisha amani. Sambamba...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa Shaffih Dauda ni udikteta, nimeambatanisha post ya Shaffih iliyowatibua madikteta

    Binafsi ni shabiki wa Yanga na linapokuja imapokujaga ishu ya kumtathmini Shaffih huwa hauhitaji degree kujua kwamba ni shabiki wa Simba na mapenzi yake ya simba yanaleta mgongano wa maslahi katika kazi yake ya uchambuzi, mzani wake katika uchambuzi unapoegemea upande flani hapo ndipo anapotoka...
  16. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani, kubalini kwamba sio udikteta wote ni mbaya

    Wanabodi, Inabidi tusome nyaraka za wakati katika kipindi ambacho wapinzani wanaishiwa nguvu. Labda kupungua kwa ushawishi wa vyama vya upinzani umesababishwa na chama tawala. Vile vile labda sera zao zimepitwa na wakati. Maoni mbali mbali kuhusu harakati za vyama vya upinzani yametolewa...
  17. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Tukiacha ushabiki wa kivyama na Unafiki, Hoja ya Spika haijajibiwa

    Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa kidola nikidhani anajibu hoja, badala yake wamejikuta wanamjadili Ndugai ama kumdhihaki ama...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama kwa zaidi ya miaka ishirini katiba ya CHADEMA imeruhusu ufisadi na udikteta, kwa nini hamtaki kuibadili ili muwe mfano?

    Charity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa mabadiliko? Haya pamoja na hilo mbona kuna kuwa na uongozi usiokuwa na ukomo wa mwenyekiti? Na mtu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai hamia CHADEMA, CCM kuna udikteta na hawapendi kukosolewa

    Jiulize kama mkuu wa bunge na mhimili unaopaswa kujitegemea kuisimamia serikali umefanya kosa gani? Kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 ambao unatumika kujengea madarasa na vyoo. Wewe unasimamia Bunge na linatakiwa kuwa imara ili kuisimamia serikali. Sio Bunge linalodharaulika kama Prof Assad...
  20. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Hatuchukii udikteta, tunachukia tunapofanyiwa sisi

    Leo nimepitia makala iliyopo mtandao wa Chanzo ikijadili malumbano yaliyojaa matusi, kashfa na kudhalilishana kati ya Chadema na ACT. Inapatikana HAPA Aya moja inasema: "Lakini katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, mnyukano huu wa maneno kati ya makada wa ACT-Wazalendo na CHADEMA...
Back
Top Bottom