Demokrasia haileti maendeleo ila udikteta ndio unaleta maendeleo?

U.S.A, Canada, Ulaya hawa maendeleo yao kwa kiasi kikubwa yamechagizwa na shughuli za ukoloni na utumwa na nafikiri wafahamu yale watumwa waliyokuwa wakitendewa ni kinyume kabisa na vitabuni demokrasia inavyo elekeza.
Denmark Canada Sweden Finland Norway alimfanyia nani utumwa akawa na maendeleo.
Achana na chuki za panafricanist wameandika chuki nyingi kuliko ukweli halisi
 
I'm not Pan-Africanist. Hakuna chuki yoyote ya kusema kuwa Canada kulikuwa na shughuli za kutumikisha watumwa labda kama historia yake hufahamu.
 
Pia lazima tufahamu kati ya democracy na dictatorship kipi kianze. Nchi za magharibi zilianza na udikteta baada ya kupiga hatua katika nyanja za maendeleo na ustaharabu Wakashift kwenda Kwenye democracy.
Africa ni vice versa tumeanza na democracy 🤣🤣
Hakuna democracy kwenye jamii masikini na isiyostaharabika.
Misingi ya German ya Leo ilijengwa na Adolph Hitler.
 
Mimi nilifikiri ungeuliza nchi gani ya kidikteta imeendelea?

Nchi zaidi ya asilimia 90 zilizoendelea ni za kidemokrasia. Dictatorship labda China tu.

Afrika yote sehemu kubwa madikteta tu na huku ombaomba
Nchi karibia asilimia 90 ni zipi hizo ukiondoa hiyo China ambayo tayari umeitenga ?
 
Pia lazima tufahamu kati ya democracy na dictatorship kipi kianze. Nchi za magharibi zilianza na udikteta baada ya kupiga hatua katika nyanja za maendeleo na ustaharabu Wakashift kwenda Kwenye democracy.
Africa ni vice versa tumeanza na democracy 🤣🤣
Hakuna democracy kwenye jamii masikini na isiyostaharabika.
Misingi ya German ya Leo ilijengwa na Adolph Hitler.
Tusubiri tuone majibu ya wadau yatatoa mwangaza gani. Ni hatua zipi zitatufaa katika safari yetu ya maendeleo
 
Hakuna nchi duniani inayoongozwa kwa demokrasia, Kwasababu hakuna aliyewahi kudhubutu isipokuwa Bwana Yesu na serikali ya Mungu.
Huyo mtu mwenye kuleta demokrasia
Tumtazamie miaka ijayo sio sasa.
Sawa
 
Nchi karibia asilimia 90 ni zipi hizo ukiondoa hiyo China ambayo tayari umeitenga ?
Ulaya yote nchi za EU zimeendelea. Zipo karibu 30. Kule USA zote zilizoendelea ni za kidemokrasia.

Angalia Russia na utajiri wote ule waliko. Wanazidiwa maendeleo na nchi ndogo walizozitawala kama Poland.

Nenda kule Asia ya Japan, Taiwan, Hongkong , Malaysia nk.
 
Ulaya,U.S.A hauwezi zitenganisha na ukoloni na utumwa sifikiri kama hivi ndivyo demokrasia ya vitabuni yasema
 
Pia lazima tufahamu kati ya democracy na dictatorship kipi kianze. Nchi za magharibi zilianza na udikteta baada ya kupiga hatua katika nyanja za maendeleo na ustaharabu Wakashift kwenda Kwenye democracy.
Africa ni vice versa tumeanza na democracy 🤣🤣
Hakuna democracy kwenye jamii masikini na isiyostaharabika.
Misingi ya German ya Leo ilijengwa na Adolph Hitler.
Angalia tu nchi zote za kikomunist zilikuwa zonatawaliwa na Soviet Union mpaka 1990. Wakati sisi tukipata uhuru 1961 wao wamepata uhuru 1990. Kaangalie Sasa maendeleo yao baada ya kuikumbatia demokrasia ta kweli. Nenda Poland, Czech, Hungary , Ujerumani mashariki nk.
 
Ulaya yote nchi za EU zimeendelea. Zipo karibu 30. Kule USA zote zilizoendelea ni za kidemokrasia.

Angalia Russia na utajiri wote ule waliko. Wanazidiwa maendeleo na nchi ndogo walizozitawala kama Poland.

Nenda kule Asia ya Japan, Taiwan, Hongkong , Malaysia nk.
Hizo nchi za Asia zimepita katika historia ya kutisha ya madikteta katika historia ya nchi zao
 
Back
Top Bottom