sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,029
Binafsi ni shabiki wa Yanga na linapokuja imapokujaga ishu ya kumtathmini Shaffih huwa hauhitaji degree kujua kwamba ni shabiki wa Simba na mapenzi yake ya simba yanaleta mgongano wa maslahi katika kazi yake ya uchambuzi, mzani wake katika uchambuzi unapoegemea upande flani hapo ndipo anapotoka nje ya vigezo vya uchambuzi, kwa hili pekee anastahili kulaumiwa lakini kilichofanyika leo dhidi yake ni udikteta wa wazi kabisa wa tff.
Licha ya shaffih kuwa na conflict of interest kwenye kazi yake ya uchambuzi linapokuja swala la kushindwa kuzuia ushabiki wake kwa watanj, lakini kuna muda huwa anarudi mstarini katika kuweka mambo yawe neutral.
Katika sakata lile la gsm, Shaffih aliweza kuweka maoni yake haya ambayo ndio chanzo ya kuwatibua tff ambao wamelipiza kwa kumfungia na faini kwa juu, naweza kusema ni utoto (very childish)
TFF NI NYUMBA YA KUPANGA?
TFF ni taasisi yenye kusimamia maslahi ya mpira wetu, TFF sio nyumba ya kupanga ambayo Baba mwenye nyumba aseme hiki tufanye hiki tusifanye hata kama hakina maana
TFF sio nyumba ya kupanga ambayo Mwenye nyumba aseme leo nyama hapana, aseme sitaki Mtu abandike picha ukutani na kuhojiwa kusiwepo! TFF ni mali yetu wote
Shida kubwa iliyopo Shirikisho ni mentality ya nyumba ya kupanga, wakisema kitu sisi Wapangaji tusihoji kwakuwa hatukuchangia tofari wala madirisha, wala hatukutoa mia ya uwanja, SIO KWELI
Wakati mmesaini mikataba yote klabu hawajui kitu zaidi ya kupelekewa figure na kuambiwa watekeleze, hakuna kuhoji bali kutekeleza, huo sio uongozi bali DICTATORSHIP
Klabu zimeenda kutekeleza kitu ambacho hawajui msingi wake, ndani ya miaka miwili wadhamini wawili wanaondoka bila fidia kwa klabu, shida kubwa ikiwa ni ninyi TFF na Mentality za BABA MWENYE NYUMBA
TPLB ipo kwa ajili ya maslahi ya klabu zote ila mmeitoa meno, mmeifanya kama kamati na ninyi mmejipa majukumu yote, TPLB haina Viongozi bali CEREMONIAL LEADERS, Kila kitu kinafanyika Karume
Matokeo yake ndio haya! Mguto hana makosa, Kasongo hana makosa tena wasipewe jumba bovu tatizo lote ni ninyi hapo KARUME, ndio maana siku zote huwa nawaambia bodi iwe huru isajiliwe kama Kampuni
Kila siku agenda lakini mpo kwenye total failure! Nyie msimamie mpira, nyie msimamie timu za taifa, nyie msimamie Ligi, Guys muelewe DIVISION OF POWER haikwepeki, mjitathimini ikiwemo hata kujiuzulu sio kwa ubaya
Kila mkataba kisheria ambao TPLB atasaini ninyi mnapata 10% kisheria, tatizo nini mtake kila kitu mfanye ninyi??? Kuna siri gani ambayo hatuijui
Whenever we are given an opportunity to elect leaders, we are given a blank cheque! We elect hyenas to take care of goats