udikteta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Investigation Unit

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ni ngumu kujenga Demokrasia kwenye nchi masikini

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema, Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Leo hakuna gazeti hata moja lililoandika habari kubwa ya Polepole!

    Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwaka huukupitia chama chao. Kichekesho ni kwamba serikali imezuia media zote zesitangaze na...
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Udikteta wa Akili Ndogo: Taifa Linalosherehekea Upumbavu na Kusaliti Mwelekeo wa Ukombozi wa Kifkra

    Ni jambo la kusikitisha mno na linalotia hasira kwamba katika karne ya 21, bado tunashuhudia watu wanaojiona wasomi wakishabikia mfumo wa utawala wa kijinga, wa kisultani, wa kibeberu uliovaa joho la kidemokrasia lakini ndani yake ukificha kiini cha udhalimu, uonevu, upumbavu na utekaji wa haki...
  4. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Utekaji Tanzania: Je Ni Ugaidi au Udikteta?

    Kwa kuwa polisi hawahusiki, maoni yangu Utekaji huu ni Ugaidi. Wenzangu mnasemaje? Kitengo cha kupambana na Ugaidi kimekwama?
  5. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kama imeshindikana demokrasia basi upatikane mfumo wenye faida kama Asia mashariki

    Kama mfumo wa kidemokrasia umeshindikana kabisa kuwepo nchini jambo ambalo mpaka sasa nakiri kushindikana kwake basi upatikane udikteta wenye faida. Si jambo jema kukosekana vyote mnaweza kutunyima haki muhimu kama uhuru wa kisiasa,kimaoni,uchaguzi huru n.k lakini uhuru wa kiuchumi na kukuza...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mfano wa Kuigwa: Papa Leo XIV aliongoza kuupinga Utawala wa Kidikteka wa Fujimori nchini Peru miaka ya 1990. Hongereni TEC kwa kupinga Udikteta wa CCM

    Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje. Katika historia yake, inasemwa kuwa miaka ya 1990 akiwa Padre nchini Peru, utawala wa kidikteta chini ya Kiongozi Fujimori...
  7. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine ashutumu nchi za magharibi kwa kutokemea matendo ya serikali ya Uganda

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, ameshutumu nchi za Magharibi kwa kutokemea ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya Yoweri Museveni. Bobi Wine amedai baadhi ya viongozi wa mataifa ya Magharibi "wanahusika" na mateso wanayokutana nayo waganda kwa kuwa wanajali...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kusalia madarakani kwa nguvu za madaraka ni uhaini na udikteta

    Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia. Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi: Tukumbuke duniani kuna walioendelea kwa Chama kimoja, Vyama vingi na kwa udikteta wakizalendo

    Tusije tukajisahau kudhani umasikini utaisha kwa kuwa na katiba imara yenye kuleta uwasawa wa kidemokrasia. Hii ni hatua nzuri lakini sio lazima ilete Maendeleo kama watu wetu watakuwa na akili hizihizi. Kuna pengine hii ndio imeharibu kabisa kabisa. Kuna CHINA ilikuwa masikini kwa Chama...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Lissu hajaanza kuwasikiliza watia nia wa ubunge na udiwani kabla ya yeye kuanza kuongea? Ni udikteta?

    Nikiwaangalia watia nia ni kama hawako pamoja na Lissu, masikio yao "yanamkataa" Lissu. Nadhani alitakiwa kwanza awasikilize kabla ya kuanza kuwahubiria mambo yake. Uongozi wa up-down ni wa kidikteta.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Akiwa Uganda, Tundu Lissu akosoa vikali viongozi wa Afrika kwa kujilikimbizia madaraka. Amtaja Museveni na Mwalimu Nyerere

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amewakosoa vikali wanasiasa na viongozi wa Afrika kwa tabia yao ya kung'ang'ania madaraka kwa maslahi binafsi.Akizungumza katika kikao cha kujadili masuala ya demokrasia barani Afrika katika Kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu cha...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Tujitafakari: Nilikuwa sitilii maanani hawa machawa (wanapambe kisiasa) ila baada ya kufuatilia mienendo yao nimegundua wanaliweka taifa katika hatari

    Historia imejaa mifano ya mataifa yaliyoangamizwa si kwa vita vya nje, si kwa mafuriko wala matetemeko, bali kwa sumu ya uchawa. Wananchi walioshindwa kuhoji mamlaka, waliobadili akili zao kuwa mashine za kushabikia kila amri bila swali. Walisherehekea wakinyamaza, huku nchi zao zikiteleza...
  13. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenje: Tunahitaji kuwa kama Zelensky, tutapinga udikteta uchwara ndani ya CHADEMA

    Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara? Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa.
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni tahira pekee atakemea udikteta wa serikali juu ya wapinzani huku akiona ni sawa tu Mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20

    Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa. Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20. Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaenda njia panda: Demokrasia vs Udikteta lazima kila mtu mzima achague tupende tusipende

    Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo. Sasa baada ya haya utakuja muda wa Watanzania kulazimishwa kuchagua kwa vitendo mfumo mmoja kati ya haya...
  16. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Anna Tibaijuka asikilizwe kuhusu Mgombea Binafsi. CCM iache woga na udikteta

    Bandugu, msomi mwenye degree 15 Prof. Tibaijuka amekuja na hoja ya mgombea binafsi katika chaguzi zetu. Prof amejenga hoja kwamba kulazimisha watu kujiunga na vyama vya siasa ni udikteta wa kivyama na hasa CCM kama chama tawala. Prof anatolea mfano wa magwiji wa demokrasia duniani, Marekani...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je tulaumu wananchi kwa viongozi wetu kupenda udikteta

    Je utamaduni wa uoga, unafiki, rushwa na kupenda kutukuzwa aka uchawa ni sababu inayo kwamisha maendeleo yetu. Katiba mpya ambayo ingeleta uchumi imara na demokrasia
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kuzuiliwa kwa maandamano ya CHADEMA yaleta taswira tofauti kwa Rais Samia kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!

    Naona Firstpost hawataki mchezo. Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba. Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hili la Polisi kupitia hotuba za wanasiasa kabla ya kuwahutubia wananchi ni udikteta au kulinda 4R?

    Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
  20. Choganya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Magonjwa ya akili ni chanzo cha utawala mbovu

    Wakati ambao dunia inabadirika kwa kasi katika siasa, uchumi, afya, elimu na technolojia, jamii yetu inahangaika kupambana ili kuhakikisha kila mtu anaishi maisha bora na maendeleo yanapatikana kwa kila mmoja. Lakini, juhudi hizi zinarudi nyuma kutokana na changamoto kubwa ambazo jamii inapitia...
Back
Top Bottom