udhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa Iringa ni hujuma dhidi ya Rais Samia au ni udhaifu wa CCM Iringa

    Jana tarehe 13/06/2023 Saa kumi jioni Mkuu wa MKoa wa Iringa anatoa Masaa 48 kwa wafanyabiashara wasio maeneo rasmi ya Biashara waondoke kwa hiyari yao ama wataondolewa kwa nguvu baada ya muda huo kupita. Masaa 12 baadae (saa kumi usiku) vyombo vya dola vinaongoza bomoa bomoa eneo la Magari...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi Angelina Mabula ameshindwa kutoa mchanganuo wa posho za bilioni 47? Lukuvi alificha udhaifu wake au anamhujumu chinichini?

    Huyu Waziri namshangaa, anaacha " ombwe" la taarifa kwa nini? Anashindwa kuwaeleza wabunge mchanganuo wa posho hizo? Mpaka Benki ya Dunia wanazikubali, ni mchakato mrefu, na uchanganuzi wa wazi, anakwama wapi? Kama yatatokea mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, namtabiria kuhamishwa wizara, au...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Simba Kujificha Kwenye kivuli cha Wydad ni Udhaifu

    Mashabiki wa Simba kujipa moyo baada ya kuona leo Wydad amemtoa Mamelod Sundowns huku mkiwacheka Yanga kumtoa Marumo aliyeshuka Daraja haibadilishi maana ya Yanga kucheza fainali, tengenezeni timu msimu ujao msije na kisingizio chochote.msimu wapili huu hamna ubingwa wa maana muliopata zaidi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Nimepata mafua makali, homa na udhaifu wa mwili - je, ni corona?

    Mie Jidduz, mutu ya watu yamenikuta. Toka majuzi nimepata mafua ya kutisha. Pua zinawasha na kamasi inatoka utafikiri bomba linavuja. Macho yanauma, ni mekundu na mchozi ni muda wote. Juzi na kahoma kaanza na kukohoa kohoa na mbavu kubana. Hili ni balaa. Nimekula antibiotics na kujifukiza na...
  5. JamiiForums Tanzania Benard Membe kuwa Kachero mbobezi ni ishara ya udhaifu mkubwa idara ya usalama wa Taifa

    Inashangaza sana, hii nchi inawezekana hata sehemu zile nyeti kutakuwa na kundi kubwa la vilaza thus why mambo yanaendelea kuharibika kila uchwao , Nimesikia mara nyingi Bwana Membe akiitwa Kachero Mbobezi , sitaki kupinga kuhusu hii sifa na yawezekana kweli alikuwa na sifa hyo , Ila nipende...
  6. JamiiForums Tanzania Daktari wa Saikolojia Charity na Mtangazaji wa Radio One Haji leo mmetuangusha Wanaume kwa Kuukiri huu Udhaifu

    Leo katika Kipindi Bora duniani cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima Daktari wa Saikolojia Genius Charity Xavier Johnson na Kaka yangu Mtangazaji Haji Kibwana wamesema Kauli iliyoniumiza na Kuhisi huenda na Wao sasa wameshakamatika...
  7. JamiiForums Tanzania Udhaifu Mkubwa Jeshi la Polisi ni kutomkamata Musiba kwa Makosa ya Jinai

    Kuua, kuhamasisha watu kuuawa, kutishia kuua au kushiriki kwa namna yoyote ile katika mauaji ni makosa ya jinai. Polisi hawastahili kusubiri kuambiwa wamkamate na kumfikisha mahakamani mtu anayefanya makosa haya. Kwa uwazi kabisa, Musiba, tena kwenye TV na kwa kupitia magazeti yake alisikika...
  8. JamiiForums Tanzania Moja ya Udhaifu wa Baraza la Sanaa Tanzania | TMA

    Habari zenu. Natumai mpo salama kabisa, nimeona nominees wa Tuzo za Muziki Tanzania kiukweli watu wengi wametilia mashaka jinsi walivyopatikana hao washindani. Hili jambo natumai kwa asilimia kubwa kabisa lina baraka zote kutoka kwa Baraza la Sanaa Tanzania mpaka ikafikiwa kutangazwa kwa jamii...
  9. JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Ripoti ya CAG 2021/2022

    Ripoti ya CAG inaongelea ufisadi na wizi wa mali za umma pamoja na hasara za mashirika kama ATCL au TTCL kwa ujumla wake. Inaonyesha ufisadi umefanyika katika shirika au ofisi fulani tu bila kuonyesha au kupendekeza mtu halisi anayepaswa kuwajibika au kuwajibishwa katika dai husika. Ripoti...
  10. JamiiForums Tanzania Msitumie kivuli cha Rais kuficha udhaifu wenu, Bebeni msalaba wenyewe

    Salaam waungwana wa Jamii forum Baada ya ripoti ya CAG kubainisha madudu kwenye Wizara na taasisi mbalimbali za kiserikali, ikiwemo ubadhirifu wa mabilioni ya walipa Kodi maskini wa nchi hii, sasa ni dhahiri wapigaji wanaanza kutumia neno Rais kama taasisi kuhalalisha uhuni na ufisadi huu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, CCM mnasaka laana kwa udi na uvumba, pona yenu ni udhaifu wa walamba asali

    Siku ya Jumatatu usiku kuamkia Jumanne Party Cocus ya CCM ilikutana Dodoma kuwekana sawa kabla ya vikao vya Bunge kuanza kama ilivyo kawaida. Kikao kiliratibiwa vizuri na Mbunge Rashidi Shangazi kama Katibu wa hiyo Cocus akisaidiwa na Mzee Kinana na Sekretariet ya chama. Hoja ya CAG ikachukua...
  12. JamiiForums Tanzania Udhaifu katika miundombinu yetu vipindi vya Mvua, aibu kwetu na ugeni huu mkubwa wa Makamu wa Rais Marekani

    Vipindi vya mvua ( Masika) Miaka yote kumekuwa kukionekana udhaifu wa miundominu yetu hasa barabara kuhimili hali hiyo ya hewa Sura za kujaa kwa maji barabara zetu, kupelekea foleni kubwa, vyombo vya moto kuharibika njiani na uharibifu vyombo hivyo na mali Hata miundombinu mipya kama vile...
  13. JamiiForums Tanzania Pamoja na udhaifu wake wote ilionao, ni kwanini CCM inaamini itatawala Tanzania milele?

    Hicho chama kinahusika kwenye kila madudu yanayotokea kwenye nchi yetu. Hakuna jambo baya kwa Watanzania ambalo halijatokana na CCM kuwa madarakani. Lakini CCM wenyewe kwa kujiamini kabisa wanasema kwamba watatawala Tanzania milele? Haya ni maneno yanayoonesha CCM ina kiburi cha uzima kiasi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais kusema hatoacha kufanya Mabadiliko katika Serikali yake ni Udhaifu usiovumilika na wenye Akili

    Na kwa wenye Akili tukiona Mabadiliko ya mara kwa mara tunathibitisha kuwa huenda kuna Watu wako mahala kwa bahati mbaya / Fluku. Ngoja tuendelee Kunywa Mtori taratibu na huenda Nyama tunazozitaka tutazikuta chini.
  15. JamiiForums Tanzania Kuchelewa kutangazwa Cabinet inaonyesha udhaifu wa Rais

    Kwa sababu unapokuwa na viongozi ambao hawajui hatima yao, ina maana hawawezi kufanya kazi, hawawezi kufanya planning two weeks ahead, wanakuwa katika hali ya hatihati. Kwahiyo, in effect, cabinet isipotangazwa, you are bringing the country to a standstill. Inaonyesha indecision on the part of...
  16. JamiiForums Tanzania Udhaifu wa TCU kusimamia elimu sasa kila mtu anajipa cheti cha PhD

    Jana, leo, watu wanajitangaza kupewa PhD. Bunge sasa limekuwa ni kama chuo cha kutafuta PhD. Yaonekana hata semina za ndani ya CCM hawapeani maonyo juu ya tabia mbaya. Kubwa zaidi ni udhaifu wa TCU. Yaani TCU wapo kwa ajili ya kusimamia udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu tu! Hawasimamii...
  17. JamiiForums Tanzania Udhaifu wa miili ya viongozi wa dini wasio ruhusiwa kuoa je vinahusiana na magonjwa

    Wadau naomba mnijuze, je wadhifa wa mtu unaweza kumfanya achoke mapema na kuanza kujisikia kuumwa sana hadi kufikia kuachia kiti. utakuta kiongozi wa dini haruhusiwi kuoa ila anapofikia umri wa 80 bas anakuwa mgonjwa na magonjwa makubwa ambayo humfanya aachie ngazi kuendelea na majukumu. Sisi...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora na udhaifu wa gari za Toyota town hiace au panya buku

    Wana jf nataka ninunue hii gari naomba kuijua A-Z ubora wake madhaifu yake na bei zake. Asanteni.
  19. JamiiForums Tanzania Fahamu madhaifu makubwa ya wanawake, unayoweza kuyatumia kumpata bila nguvu kubwa!

    Huu ni ukweli ambao hata wao wanawake hawaupendi, in fact masuala kama haya huwa naandika kwenye magroup yangu yenye wanaume wenzangu tu. Hii kitu naandika hapa, ni kwa mwanamke yoyote yule hapa chini ya jua, bila kujalisha dini, rangi, elimu, kipato, race, ni chibonge, ni mwembamba, ni mrefu...
  20. JamiiForums Tanzania Kuvaa Hijab ni dini au udhaifu wa wanaume?

    Binadamu wote wake kwa waume wanazaliwa wakiwa uchi kabisa, kuvaa nguo ipi na ivaliwe wapi na nani kwa sababu gani ni utashi tu wa wanajamii wenyewe. Bahati mbaya au nzuri Mwenyezi kuna maeneo na viungo vya mwili ambavyo alishavifunika yeye mwenyewe kwa sababu zake kwa kutumia nywele ndefu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…