Fahamu madhaifu makubwa ya wanawake, unayoweza kuyatumia kumpata bila nguvu kubwa!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,052
71,360
Huu ni ukweli ambao hata wao wanawake hawaupendi, in fact masuala kama haya huwa naandika kwenye magroup yangu yenye wanaume wenzangu tu.

Hii kitu naandika hapa, ni kwa mwanamke yoyote yule hapa chini ya jua, bila kujalisha dini, rangi, elimu, kipato, race, ni chibonge, ni mwembamba, ni mrefu, ni mfupi, ni mbaya, ni mzuri , ana kasoro fulani. Yaaan ili mradi ni mwanamke lazima awe na huu udhaifu!

Huwa nashangaa jamaa eti "Demu nimemfukuzia mwezi, miezi 3 ,6, miaka.. Eti leo ndiyo kanikubalia ,Leo kaniambia atanituku) weweeeee unazungushwaa sababu wee unauza ukuu wako Kwa mwanamke huyo (habari njema nikua, wakati unafukuzia miezi na miezi na kujaribu kumshawishi Kwa Mali, Kuna mchizi anapiga daily)

Unajua Katika ukimwengu wa Maisha ya Mwanamke
👉Huwa haijalishi mwanamke anakuelewa
👉Haijalishi mwanamke anataka muwe wapenzi
👉Haijalishi anataka umle au lah

"Mwanamke anataka wewe umtake" Hdio she wants you to want her!

Sikilizeni, mwanamke anavaaa vizuri, aweka kucha bandia, na kope za bandia, makeup, wigi , mavipodozi, anafanya surgery za kuongeza, Sijui kupunguza kile na mambo kedekede ILI MRADI TUU ATAKWE NA ATAMANIWE NA MWANAUME.

waweza kuona wewe mwanaume unafasi gani kwenye maisha ya mwanamke? Kwann usiwe mwanaume ukajipa Thaman? Usijichukulie poa!

Mwanamke hata awe sijui mtetezi wa wanawake, hawa na feminists uchwara wote wa humu JF, huko mitandaoni, Sijui wapi. Hawa wote wanajipodoa, wanajipenda n.k ili mradi tu WATONGOZWE, and trust me, Na wao wanabembeleza, na wanakazwa kawa kawaida!

Sikilizeni, kwakua duniani hapa jinsia ni mbili tu Me na Ke, basi Mwanamke yoyote yule unayemuona, ujue fika hakamiliki pasipo mwanaume.

Umewahi jiuliza kwann mwanamke asipotongozwa, Huwa inamuumiza sana?

Tuendelee na Mada !!
Anataka umtake, Kwa sababu once Mwanaume unavyomtaka mwanamke, mwanamke ,yeye Mwanamke anakua amekipata Kila kitu .

How? Mtu anaweza niuliza amepata Kila kitu kiaje?
Hahaha, Ukitaka Mwanamke, maana yake, Umempa NAFASI ya yeye kuamua kama Akukubaliee. Au aamue kukukataa, na anavyokukaa yeye kwake inamuongezea Self esteem yaaan Anajiona wa thamani sanaaa yaaan ile Feminine Power yake inaongezeka Mara dufu (Mnieleweni sana hapa)

Yaaan ukimtaka mwanamke, Ukweli nikwamba, Mpira unakua upo mikononi mwake yeye.

SASA BASI Nini hutokea unapoamua Kutokumtaka Mwanamke? Brooo, Usipoonyesha kumtaka Mwanamke, Dunia yake hupasuka vipande vipande, Usipomtaka mwanamke Anakua kakoswa nafasi ya Uchaguzi, na usimpomtaka mwanamke HAWEZ KAMWE HATA SIKU MOJA KU EXERCISE FEMININE POWER YAKE ,na Kwa hili, Huwa linawaumiza Sanaaaaa.

Kumbe Basi uangundua kua ,Mwanamke anapenda kua desirable,, Ni kweli kabisa, in fact mwanamke ambaye ni Undesirable huyo ni MWANAUME.

KAMWE HUPASWI KUMUONYESHA MWANAMKE INTENTIONS YOYOTE YA KUMTAKA.

Ukimwonyesja tu, tayari mchezo umeisha ,ni muhimu sana Kwa Kila Kijana kujua kua " Kwa mwanamke , Nguvu ya Ukike (feminine power) anaitoa Kwa MWANAUME, ndioo hata demu awe Pisi kiasi gani, kama haambiwi na mwanaume kua wee no Pisi, umenivutia, KWAKE SIO KITU TENA ( niliwahi waambia, hamna mwanamke anayejikubali 100%)

Sasa ni wewe Mwanaume wa kuamua Umpe hiyo feminine power au Usimpe, na ukweli ni kwamba HUTAKIWI KUMPA MWANAMKE HIYO NGUVU YAKE YA UANAMKE.

Ukweli ni Kwamba, Mwanamke hupata Self Esteem kutokana na ATTENTION anayopewa na Mwanaume.

Kama Mwanadam anavyohitaji Maji Kukata kiu, na Hewa kupumua, Ndivo ilivyo , Wanawake wanapambana Kila siku kuhakikisha wanacatch ATTENTION. Women wants to be NOTICED every woman on this Earth.

👉Kumbe madhaifu makubwa ya Wanawake ni ATTENTION na DESIRE.

Unapoacha kumpa hivo vitu, KINYUME chake, unakua ume bypass subconscious yake na unamlazimisha yeye kupambana zaidi na zaidi na zaidi ili tu umpe attention. Hamna mwanamke anayependa Asitamaniwe, Asipendwe na Mwanaume, Asiyevutia mwanaume, hayupo. HAYUPOOOOO!!

Ofcoz Kuna wakati Sasa unabidi uongee na mwanamke, Sasa unaongeaje naye?

Ongea naye Kwa mazungumzo ambayo ,YEYE ANALAZIMIKA KUKUTAKA ZAIDI KULIKO WEWE UNAVYOMTAKA

mnaweza msinielewe, ukweli ni kwamba Wanawake wanapenda Kuhangaika ili wamuwin mwanaume , yaan Wanawake kwao ni Furaha sana kumfanya mwanaume mwenye Thaman avutiwe nao na huangaika na kutoa Nguvu zaidi kukufanya uvutuwe nao.

Mpe nafasi mwanamke ya Kukuhangaika Kwa sababu ndivo anapenda.

Eeehh Ukishampa Attention nin kitafata Kwa mwanamke? Anakupotezea, hamu nawee inakata.

Ukiwa na Kiu, ukanywa maji, Si kiu kinakata na huna Tena ham ya maji mpaka kiu kikushike Tena?

Namaanisha hivi, hujawah ona Dem anakutega weee, ukishamwonyesha unamtaka, nayeye huyooo anabadilika, anapotea? Unaanza jiuliza huyu demu vipi Tena?

Usijilaumu, ndivo walivyo!

Sasa Nini unatakiwa ufanye ili umfanye kooo lake liwe na Kiu muda wote Cha ATTENTION?

,👉Hakikisha unakua "Unpredictable " yaaan namaana hii

Leo unamfurahisha sanaaaa, Kesho unamfanya ajione hafai. Kkesho unamfanya ajione Malaika. Kesho unamfanya Ashinde na majonzi, kesho unambebesha mpaka anaone Dunia ndo hii. Kesho Anajiona mtumwa.

Mnaweza nishangaa,ila ukweli ni kwamba Wanawake wameumbwa kutohoa Furaha kutoka katika Huzuni yaaan unapokua unampitisha kwenye "Mlima wa fuaraha, kesho kwenye Bonde la maumivu".. unalazimisha akili yake iamini wewe ndio Kila kitu kwake.

Nini Faida ya hii? Katika Dunia hii ya Mapenzi Uchwara, watu wanajiua n.k

Hiii kitu inakuletea Wanawake weeeeeengi sana, alafu unakua wewe uko upande salama Kwa sababu unakua Hujazama Wala nn, ila yeye Mwanamke anakua kazama💯

In fact unakua kama King Mswati, yaaan Ishi kama Mfalme, Malikia wanakufata.
 
Huu ni Ukweli ambao hata wao Wanawake hawaupendi, in fact masuala kama haya Huwa naandika kwenye magroup yangu yenye wanaume wenzangu tu .

Hii kitu naandika hapa, ni Kwa mwanamke yoyote yule hapa chini ya Jua, bila kujalisha Dini, Rangi, Elimu,Kipato, Race , Ni Chibonge, ni Mwembamba ,ni mrefu , ni mfupi, ni mbaya , ni mzuri , ana kasoro Fulani, yaaan ili Mradi ni mwanamke lazima Awe na Huu Udhaifu !!!!.

( Huwa nashangaa jamaa Et "Demu nimemfukuzia mwezi, miezi 3 ,6, miaka ,, Et Leo ndo kanikubalia ,Leo kaniambia atanituku)...weweeeee unazungushwaa sababu wee unauza ukuu wako Kwa mwanamke huyo .(habari njema nikua, wakati unafukuzia miezi na miezi na kujaribu kumshawishi Kwa Mali, Kuna mchizi anapiga daily )


Unajua Katika ukimwengu wa Maisha ya Mwanamke
Huwa haijalishi Mwanamke anakuelewa
Haijalishi Mwanamke anataka muwe wapenzi
Haijalishi anataka umle au lah

"Mwanamke anataka wewe umtake"...ndio she wants you to want her !!.

Sikilizeni, Mwanamke anavaaa vizuri , aweka kucha bandia, na kope za bandia, makeup ,wigi , mavipodozi ,Anafanya Surgery za kuongeza, Sijui kupunguza kile na mambo kedekede ,ILI MRADI TUU ATAKWE NA ATAMANIWE NA MWANAUME.

waweza kuona Wewe Mwanaume unafasi gan kwenye Maisha ya Mwanamke .... Kwann Usiwe Mwanaume ukajipa Thaman ??? Usijichukulie poa !!.

Mwanamke hata awe Sijui mtetezi wa Wanawake, Hawa ma feminists Uchwara wote wa humu JF, huko mitandaoni, Sijui wapi .....Hawa wote wanajipodoa, wanajipenda n.k ili mradi tu WATONGOZWE ,and trust me, Na wao wanabembeleza , na wanakazwa Kawa kawaida!!..

Sikilizeni, kwakua Duniani hapa Jinsia ni mbili tu Me na Ke, basi Mwanamke yoyote yule unayemuona, Ujue fika Hakamiliki pasipo mwanaume .

Umewahi jiuliza kwann mwanamke asipotongozwa, Huwa inamuumiza sana???.
Tuendelee na Mada !!
Anataka umtake, Kwa sababu once Mwanaume unavyomtaka mwanamke, mwanamke ,yeye Mwanamke anakua amekipata Kila kitu .

How ? Mtu anaweza niuliza amepata Kila kitu kiaje ??.
Hahaha , Ukitaka Mwanamke, maana yake ,Umempa NAFASI ya yeye kuamua kama Akukubaliee.... Au aamue kukukataa, na anavyokukaa yeye kwake inamuongezea Self esteem yaaan Anajiona wa thamani sanaaa yaaan ile Feminine Power yake inaongezeka Mara dufu !!!,.....( Mnieleweni sana hapa)

Yaaan ukimtaka mwanamke , Ukweli nikwamba, Mpira unakua upo mikononi mwake yeye ,

SASA BASI Nini hutokea unapoamua Kutokumtaka Mwanamke ?? Brooo, Usipoonyesha kumtaka Mwanamke, Dunia yake hupasuka vipande vipande, Usipomtaka mwanamke Anakua kakoswa nafasi ya Uchaguzi, na usimpomtaka mwanamke HAWEZ KAMWE HATA SIKU MOJA KU EXERCISE FEMININE POWER YAKE ,na Kwa hili, Huwa linawaumiza Sanaaaaa !!.

Kumbe Basi uangundua kua ,Mwanamke anapenda kua desirable,, Ni kweli kabisa, in fact mwanamke ambaye ni Undesirable huyo ni MWANAUME.


KAMWE HUPASWI KUMUONYESHA MWANAMKE INTENTIONS YOYOTE YA KUMTAKA ..

Ukimwonyesja tu, tayari mchezo umeisha ,ni muhimu sana Kwa Kila Kijana kujua kua " Kwa mwanamke , Nguvu ya Ukike ( feminine power) anaitoa Kwa MWANAUME.... ndioo hata demu awe Pisi kiasi gani ,kama haambiwi na mwanaume kua wee no Pisi, umenivutia, KWAKE SIO KITU TENA....( niliwahi waambia, hamna mwanamke anayejikubali 100% )

Sasa ni wewe Mwanaume wa kuamua Umpe hiyo feminine power au Usimpe....naaa ukweli ni kwamba HUTAKIWI KUMPA MWANAMKE HIYO NGUVU YAKE YA UANAMKE.

Ukweli ni Kwamba, Mwanamke hupata Self Esteem kutokana na ATTENTION anayopewa na Mwanaume

Kama Mwanadam anavyohitaji Maji Kukata kiu, na Hewa kupumua, Ndivo ilivyo , Wanawake wanapambana Kila siku kuhakikisha wanacatch ATTENTION ... Women wants to be NOTICED ..every woman on this Earth !!.


Kumbe madhaifu makubwa ya Wanawake ni ATTENTION na DESIRE.

Unapoacha kumpa hivo vitu, KINYUME chake, unakua ume bypass subconscious yake na unamlazimisha yeye kupambana zaidi na zaidi na zaidi ili tu umpe attention... Hamna mwanamke anayependa Asitamaniwe, Asipendwe na Mwanaume, Asiyevutia mwanaume ,Hayupo...HAYUPOOOOO!!


Ofcoz Kuna wakati Sasa unabidi uongee na mwanamke, Sasa unaongeaje naye ??.

Ongea naye Kwa mazungumzo ambayo ,YEYE ANALAZIMIKA KUKUTAKA ZAIDI KULIKO WEWE UNAVYOMTAKA

mnaweza msinielewe, ukweli ni kwamba Wanawake wanapenda Kuhangaika ili wamuwin mwanaume , yaan Wanawake kwao ni Furaha sana kumfanya mwanaume mwenye Thaman avutiwe nao na huangaika na kutoa Nguvu zaidi kukufanya uvutuwe nao .

Mpe nafasi mwanamke ya Kukuhangaika Kwa sababu ndivo anapenda.

Eeehh Ukishampa Attention nin kitafata Kwa mwanamke?? Anakupotezea ,hamu nawee inakata.

Ukiwa na Kiu, ukanywa maji, Si kiu kinakata na huna Tena ham ya maji mpaka kiu kikushike Tena??.

Namaanisha hivi, hujawah ona Dem anakutega weee, ukishamwonyesha unamtaka ,nayeye huyooo anabadilika ,anapotea ?? ...unaanza jiuliza huyu demu vipi Tena??


Usijilaumu, ndivo walivyo !!.

Sasa Nini unatakiwa ufanye ili umfanye kooo lake liwe na Kiu muda wote Cha ATTENTION ?? .

,Hakikisha unakua "Unpredictable " yaaan namaana hii

Leo unamfurahisha sanaaaa, Kesho unamfanya ajione hafai...kesho unamfanya ajione Malaika .Kesho unamfanya Ashinde na majonzi...kesho unambebesha mpaka anaone Dunia ndo hii... Kesho Anajiona mtumwa !!....

Mnaweza nishangaa,ila ukweli ni kwamba Wanawake wameumbwa kutohoa Furaha kutoka katika Huzuni yaaan unapokua unampitisha kwenye "Mlima wa fuaraha , kesho kwenye Bonde la maumivu".. unalazimisha akili yake iamini wewe ndio Kila kitu kwake.


Nini Faida ya hii?? Katika Dunia hii ya Mapenzi Uchwara , watu wanajiua n.k ... Hiii kitu inakuletea Wanawake weeeeeengi sana, alafu unakua wewe uko upande salama Kwa sababu unakua Hujazama Wala nn, ila yeye Mwanamke anakua kazama

In fact unakua kama King Mswati, yaaan Ishi kama Mfalme, Malikia wanakufata !!
Nitarudi nikiwa mzima

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Karne ya sasa malaya ni wengi kuliko wanawake. Na kuna asilimia 90% za kukumbana na malaya hivyo chochote utakachofanya ni kazi bure. Wanawake decent wamebaki wachache sana hivyo kuliko kupoteza muda kuhangaika na malaya na mahusiano or whatever the hell ni bora huo muda kufanya mambo mengine ya msingi.

Ni kujifaidisha mwenyewe, kula alafu unapotea kibabe, kujipa self-priority na kuwa selfish kupitiliza mpaka fish wenyewe washangae. Mwanamke decent mwenye upendo wa kweli yupo na atatokea tu.
 
Bandiko lako zuri,
Ila Lina hadhi ya miaka hamsini nyuma, kwa leo hii mwanamke gani atashindwa kujitambua kama anatakiwa.

Kwa uchunguzi wangu wa muda mrefu usio rasmi, ni kwamba wanaume wanaumizwa zaidi kuliko wanawake.

Kuna Kuna vitu viwili tu kwa wanawake

1.Sura nzuri/matako makubwa
Hapa mwanamke akijiona hivi wanasumbua sana, hata kama ufanyaje lazima atake kumiliki vitu fulani kama wewe, nyumba, biashara, na vingine vingi

2.Mwenye Elimu/kazi nzuri
Huyu anatesa ananyanyasa, ana jeuri anaweza kuwa na mwanaume mwingine waziwazi, na ukisema uongee sana mwisho atadai talaka, kwakuwa si lazima awe na wewe, kundi hili linaamini sana kwenye hamsini kwa hamsini tena usiombe kama biashara au kazi zake zinahusisha kwenda ughaibuni mara kwa mara.

Vikao, semina na mengine yanayowakutanisha na watu mbalimbali.
 
Back
Top Bottom